Hadi kwenye Historical? Kama ni hivyo basi ni tatizo halisi
Yah unajua wakati Sun Dol anamshuku nilikuwa najiuliza kile kitu why anaonekana sehemu mbili wakati mmoja,hasa wakati Young Master Kim alivyokutana naye mtaani akajaribu kuzungumza nae ila hakupata response kana kwamba hawajawahi kuonana.Yule Tae gang ana pacha wake..
Duh kwakweli wanawake wengine wamependelewa huyu manzi aisee ameshushwa na mwenyezi Mungu ninaweza kusema yupo level ya kabisa ya uzuri most beautiful ila kama nimewahi kumuona hivi kwenye The veil si ndio huyu?Ni Nam Ji Hyun nadhani ushacheki Giant na Queen Seondeok View attachment 2570885
Wewe jamaa kwakweli una kitu huyu anaitwa nani?Huyu mzuri au sio mzuri[emoji23]View attachment 2570965
Nini maana ya Drama mkuu?Ongoing zinazoanza leo
1.Dury after school-ni thiller inahusu wanafunzi na walimu wa sungjin high school wanapokea task baada ya uvamizi wa aliens( so excited kuitazama) episodes 10
2.Joseon attorney:a morality- ni historical,law,romance ,drama kuhusu lawyer ambaye anatumia wateja wake kwa faida binafsi
Episodes 16View attachment 2571845View attachment 2571846
Sent from my SM-A127F using JamiiForums mobile app
Ha Yul Ri utamkuta kwenye Lovers Of The Red Sky,The Red Sleeve na Once Upon A Smal Time.Wewe jamaa kwakweli una kitu huyu anaitwa nani?
Huyo hayupo kwenye The Veil maybe umemchanganya na huyu.Duh kwakweli wanawake wengine wamependelewa huyu manzi aisee ameshushwa na mwenyezi Mungu ninaweza kusema yupo level ya kabisa ya uzuri most beautiful ila kama nimewahi kumuona hivi kwenye The veil si ndio huyu?
Inahusisha matukio hasahasa yenye migogoro katika nyakati mbalimbali za maishaNini maana ya Drama mkuu?
Mwandishi, Muongizaji, Waigizaji waliitendea haki hii drama, naikubali sana pia.Jewel in the Palace ya kitambo ila sijachoka kuiangalia
Episodes zilizobaki zitakuwa na matukio mengi sana..Yah unajua wakati Sun Dol anamshuku nilikuwa najiuliza kile kitu why anaonekana sehemu mbili wakati mmoja,hasa wakati Young Master Kim alivyokutana naye mtaani akajaribu kuzungumza nae ila hakupata response kana kwamba hawajawahi kuonana.
Queen naye kisasi chake kinaelekea pabaya ndio mke wa Song wa Byeokcheon,sasa anataka kumuua Princess katika harakati zake za kulipa kisasi kwa Right State Councillor.
Halafu Lee Hwan alivyoshambuliwa na mshale wa sumu mwanzo niliona kama Right State Councillor ndio mhusika ila sasa dots zote zinamuelekea Queen na Pacha wake Tae Gang.
Yule Monk sio mtu mzuri
Na wale mke wa mume waliopotezaga mtoto wao Byeokcheon sijui wanapanga nn maana zile silaha Sickles wanazosafirisha sijui zinaenda wapi.
Mambo mengi muda mchache hapo bado Min Jae Yi hajasafiaha jina lake na Section Chief Han bado hajamtambua.
Huku kuna harakati za kumuangusha Crown Prince
Anyway wiki ijayo kila kitu kitakuwa wazi.
Hiyo ya genre ya Thriller ndio mambo yangu sasa, ngoja niisubiri iishe.Ongoing zinazoanza leo
1.Duty after school-ni thiller inahusu wanafunzi na walimu wa sungjin high school wanapokea task baada ya uvamizi wa aliens( so excited kuitazama) episodes 10
2.Joseon attorney:a morality- ni historical,law,romance ,drama kuhusu lawyer ambaye anatumia wateja wake kwa faida binafsi
Episodes 16View attachment 2571845View attachment 2571846
Sent from my SM-A127F using JamiiForums mobile app
Yah nimekupata sasa kumbe yule demu wa little women ndio huyu kiukweli ni kisu haswaHuyo hayupo kwenye The Veil maybe umemchanganya na huyu.
Huyo yupo kwenye Suspicious Partner,100 Days My Prince,Witch's Diner,365 Days na Little Women View attachment 2572067
Kwa mfano mtu anasema,, mapenzi ya siku hizi yamejaa Drama,, au drama hii ni nzuri sana!! Anamaanisha Nini?Inahusisha matukio hasahasa yenye migogoro katika nyakati mbalimbali za maisha
Sent from my SM-A127F using JamiiForums mobile app
Pia unakuta mtu anasema,,,. Hii series imejaa drama, action nk,,, hapo nashindwa kuelewa kwakweliInahusisha matukio hasahasa yenye migogoro katika nyakati mbalimbali za maisha
Sent from my SM-A127F using JamiiForums mobile app
Dramas ni kama tamthiliya tu jiongeze na sifa ya tamthiliya zina mambo mengi yasiyo na uhalisia kuliko uhalisia wenyewe.Kwa mfano mtu anasema,, mapenzi ya siku hizi yamejaa Drama,, au drama hii ni nzuri sana!! Anamaanisha Nini?
Drama lina maana nyingi nyingi mkuu lakini kwa ki tamthiliaKwa mfano mtu anasema,, mapenzi ya siku hizi yamejaa Drama,, au drama hii ni nzuri sana!! Anamaanisha Nini?
Mkuu bado sijashiba hii hoja yako,,,mf unakuta Mtunzi wa Series anasifia series yake,,, anasema ktk hii series Kuna drama za kimapenzi, hustling za kimaisha,,, sasa hapo ndipo nabaki njia panda,,,ikiwa Series inamaana ya dramaDramas ni kama tamthiliya tu jiongeze na sifa ya tamthiliya zina mambo mengi yasiyo na uhalisia kuliko uhalisia wenyewe.
Hadi hapa utaelewa kwa nn vijana wanasema hivyo kuwa mapenzi yamejaa drama