Kwa wapenzi wa Korean Dramas, hii ni thread yako!

Kwa wapenzi wa Korean Dramas, hii ni thread yako!

Yule Tae gang ana pacha wake..
Yah unajua wakati Sun Dol anamshuku nilikuwa najiuliza kile kitu why anaonekana sehemu mbili wakati mmoja,hasa wakati Young Master Kim alivyokutana naye mtaani akajaribu kuzungumza nae ila hakupata response kana kwamba hawajawahi kuonana.

Queen naye kisasi chake kinaelekea pabaya ndio mke wa Song wa Byeokcheon,sasa anataka kumuua Princess katika harakati zake za kulipa kisasi kwa Right State Councillor.

Halafu Lee Hwan alivyoshambuliwa na mshale wa sumu mwanzo niliona kama Right State Councillor ndio mhusika ila sasa dots zote zinamuelekea Queen na Pacha wake Tae Gang.

Yule Monk sio mtu mzuri

Na wale mke wa mume waliopotezaga mtoto wao Byeokcheon sijui wanapanga nn maana zile silaha Sickles wanazosafirisha sijui zinaenda wapi.

Mambo mengi muda mchache hapo bado Min Jae Yi hajasafiaha jina lake na Section Chief Han bado hajamtambua.

Huku kuna harakati za kumuangusha Crown Prince

Anyway wiki ijayo kila kitu kitakuwa wazi.
 
Ongoing zinazoanza leo
1.Duty after school-ni thiller inahusu wanafunzi na walimu wa sungjin high school wanapokea task baada ya uvamizi wa aliens( so excited kuitazama) episodes 10

2.Joseon attorney:a morality- ni historical,law,romance ,drama kuhusu lawyer ambaye anatumia wateja wake kwa faida binafsi
Episodes 16View attachment 2571845
images%20(10).jpg

Sent from my SM-A127F using JamiiForums mobile app
 
Duh kwakweli wanawake wengine wamependelewa huyu manzi aisee ameshushwa na mwenyezi Mungu ninaweza kusema yupo level ya kabisa ya uzuri most beautiful ila kama nimewahi kumuona hivi kwenye The veil si ndio huyu?
Huyo hayupo kwenye The Veil maybe umemchanganya na huyu.

Huyo yupo kwenye Suspicious Partner,100 Days My Prince,Witch's Diner,365 Days na Little Women
a831a1ecdbb7330a9161e4fb977faa91.jpg
 
Jewel in the Palace ya kitambo ila sijachoka kuiangalia
Mwandishi, Muongizaji, Waigizaji waliitendea haki hii drama, naikubali sana pia.

Huyo leading male actor wa kwenye hiyo drama anaonekana kuwa na kipaji sana maana hata kwenye Dong Yi alikuwa vizuri (akicheza kama mfalme).

Love story ya mule ni moto[emoji91].

Jewel in the palace "Dae jang Geum"
 
Yah unajua wakati Sun Dol anamshuku nilikuwa najiuliza kile kitu why anaonekana sehemu mbili wakati mmoja,hasa wakati Young Master Kim alivyokutana naye mtaani akajaribu kuzungumza nae ila hakupata response kana kwamba hawajawahi kuonana.

Queen naye kisasi chake kinaelekea pabaya ndio mke wa Song wa Byeokcheon,sasa anataka kumuua Princess katika harakati zake za kulipa kisasi kwa Right State Councillor.

Halafu Lee Hwan alivyoshambuliwa na mshale wa sumu mwanzo niliona kama Right State Councillor ndio mhusika ila sasa dots zote zinamuelekea Queen na Pacha wake Tae Gang.

Yule Monk sio mtu mzuri

Na wale mke wa mume waliopotezaga mtoto wao Byeokcheon sijui wanapanga nn maana zile silaha Sickles wanazosafirisha sijui zinaenda wapi.

Mambo mengi muda mchache hapo bado Min Jae Yi hajasafiaha jina lake na Section Chief Han bado hajamtambua.

Huku kuna harakati za kumuangusha Crown Prince

Anyway wiki ijayo kila kitu kitakuwa wazi.
Episodes zilizobaki zitakuwa na matukio mengi sana..
Nahisi yule mke na mume wenye mgahawa wanaplan nzito sana sio kwa kutuma silaha zile mara kwa mara

Rafiki wa crown prince sijui atamjua lady min jae mana kimtindo crown prince anaoa..

Nachosuburi watuoneshe ilikuwaje kuwaje tae gang awe na pacha mana episodes za mwanzoni crown prince alisema alikutana naye mtaani tu alikuwa mwizi then ndio akamchukua...

Sent from my SM-A127F using JamiiForums mobile app
 
Ongoing zinazoanza leo
1.Duty after school-ni thiller inahusu wanafunzi na walimu wa sungjin high school wanapokea task baada ya uvamizi wa aliens( so excited kuitazama) episodes 10

2.Joseon attorney:a morality- ni historical,law,romance ,drama kuhusu lawyer ambaye anatumia wateja wake kwa faida binafsi
Episodes 16View attachment 2571845View attachment 2571846

Sent from my SM-A127F using JamiiForums mobile app
Hiyo ya genre ya Thriller ndio mambo yangu sasa, ngoja niisubiri iishe.
 
Dramas ni kama tamthiliya tu jiongeze na sifa ya tamthiliya zina mambo mengi yasiyo na uhalisia kuliko uhalisia wenyewe.

Hadi hapa utaelewa kwa nn vijana wanasema hivyo kuwa mapenzi yamejaa drama
Mkuu bado sijashiba hii hoja yako,,,mf unakuta Mtunzi wa Series anasifia series yake,,, anasema ktk hii series Kuna drama za kimapenzi, hustling za kimaisha,,, sasa hapo ndipo nabaki njia panda,,,ikiwa Series inamaana ya drama
 
Back
Top Bottom