Kwa wapenzi wa Korean Dramas, hii ni thread yako!

Visasi vya kimapenzi...ukizipata nitag
 
Sikuhizi napata shida sana kupata drama nzuri za korea, hii ndio shida ya kuwa umeangalia drama nyingi nzuri , imefikia hatua natamani ndo ningekuwa sijawahi kuziangalia ili nizianze kwasasa.

Kila dram unayoshika a hovyo tu, hata zile zinazosifiwa ukiishika unakuta ni ya hovyo tu tofauti na zamani kitu kikiwa recommended ukikitafuta unakuta ni moto kweli, sasahivi drama nyingi ni za issue pet pet za kuangaliwa na dada zetu, zile genre za maana (thriller, Suspense, Crime&Investigation..nk) sikuhizi hawazifanyii project tena kama ilivyokuwa miaka ya nyuma (2000-2019)


Kibaya zaidi nishakuwa addicted na wakorea, drama culture nyingine sina hata moyo wa kutaka kuzifuatilia. Ngoja nitundike daruga kwasasa, nisubirie labda miaka ijayo watarudi vizuri tena.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Kila la heri. Mimi na familia yangu tunakutakia kustaafu kwema
 
Usitake kusema umeangalia drama zote maana wana dramas zaidi ya 500.


Hata mimi hiyo shida inanisumbua nishaangalia drama nyingi hadi sioni ipi ya kuanza ndio maana now naangaliaga Ongoings na Chinese Dramas nikiwa sina K-Drama ya kuangalia.


Ila zipo nyingi nzuri hujapekua zaidi hata romance angalia sio kila siku za akili nyingi.
 
A
Ads kwa Simu tumia brave browser , kwa pc install ublock extension via Google kudownload complete tumia onlykdrama.com au torrent site kwa zile drama maarufu , torrent site rarbg.to torrentgalaxy.to 13
 
Kabla hujastaaafuuu jamani angalia kwanza Flowers of the Prison 😂😂😂😂
 
Mkuu nimecheki cdrama inaitwa OUR secret (YouTube) yamoto💥🔥🔥 nimeanza kuwaelewa awa watu ebu nisaidie mkeka wa Kali ulizo cheki
 
Sikuhizi napata shida sana kupata drama nzuri za korea, hii ndio shida ya kuwa umeangalia drama nyingi nzuri , imefikia hatua natamani ndo ningekuwa sijawahi kuziangalia ili nizianze kwasasa.
  1. Pumzika kwanza kuangalia, huenda ni uchovu umekuandama
  2. Au mzuka wa kuangalia drama umekuishia
  3. Charge 🔋 yako
  4. Au rudi kuanzia mwaka 2015 kwenda chini

Kama utaniamini majira ya saa nane ya leo nimefuta drama hizi:
  1. Love to hate you: anachokiona talnam na numbisa mimi sikioni
  2. Rookie historian goo hae ryeong
  3. Red sleeve: hii sikuiangalia hata episode moja
Nimejaribu bossam steal the fate, hii
Kidogo imenipa mzuka wa kuendelea nayo

Hakuna drama mbaya ila kuna timing mbaya ya kuangalia drama.
Adui mkubwa ni timing na mwamko
 
Mkuu nimecheki cdrama inaitwa OUR secret (YouTube) yamoto[emoji95][emoji91][emoji91] nimeanza kuwaelewa awa watu ebu nisaidie mkeka wa Kali ulizo cheki
The Long Ballad(hii ni historical japo Wachina waongo kwenye action ina story nzuri humu unakutana na yule Taizong wa Tang watu wa Goguryeo tunampata vyema)

Arsenal Military Academy(hii nadhani anza nayo ni kali sana)

Insects Awaken(drama kali ya kivita ya mwaka juzi tu hii China na Japan nadhani battle zao unazijua)

City Of Streamer(hii naicheki kwa sasa)

Glory Of Special Forces


Mr Honesty

My Dear Guardian

Battle Of Changsha

Blood Of Youth


Zipo nyingi nzuri tutaendelea kupena taratibu
 
Hapa ndio shida ilipo tastes pia ni major factor
 
duh action za mule ndo ninazozipenda zile nyepesi zisizoumiza sana. Na masuala yaaisha ya mule gerezani niliburudika. Au aangalie shine or go crazy
Flower In Prison nzuri ila sidhani kama kila mtu anapenda historical drama isiyo na action hata kwa 10% zaidi ya sisi die hard fans.
 
[emoji16][emoji16][emoji16] hujajali kwamba umeambiwa unaangalia drama za wadada.
 
Romance huwa napenda Melodrama na nimeangalia nyingi kwelikweli, labda kama unaweza toa recommendation tuone kama ipo ambayo nitakuwa sijaiangalia.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…