Mac Alpho
JF-Expert Member
- Aug 5, 2019
- 13,953
- 27,825
Bwana wee utajua mwenyewe mimi ndio nimeshasema...acheni maneno yenu ya shombo kama drama hujaipenda ikosoe drama habari za akina dada sijui watu fulani inahusu nini? Nimewasemea ndio kwani kuna ubaya? Nina kaka zangu kibao wanaoangalia kdrama na hawapo humu wakikosewa lazima niwasemee na sio wao tu hata sisi umetudharau kuwa tunaangalia ishu pet pet
Mimi pia nimeshasema, siwezi kubadili chochote na wala sina raia yoyote wa kuniguard humu, tena nadhani nikazie kabisa.
Hizo pet project MIMI siwezi kuangalia, angalia wewe na hao kaka zako kibao wanaoziangalia (kama ulivyodai), shida iko wapi? We angalia hakuna sehemu nimekuzuia.
Naona unataka kulazimisha ionekane nimediss mtu humu wakati nililalamika kuhusu korean project za sikuhizi, ilmradi upate agenda tu, based on how umekuwa uki-attack yoyote anaeonekana kuwa kinyume na drama zako huko nyuma inaonekana unapenda mabishano na ushujaa.
Siendelei na huu mjadala tena, nimepuuza.