Kwa wapenzi wa Korean Dramas, hii ni thread yako!

Kwa wapenzi wa Korean Dramas, hii ni thread yako!

Kwahiyo comrade Khantwe unahisi kuandika kwangu hapa, nia yangu ni kutaka kukuzima, uliwaka lini hapa jF kiasi cha kuhisi ninaweza kujipa kazi ya kukuzima, na kwa faida gani?

Washindwe kukuzima wa huko uraiani wanapokuona, nije kujihangaisha mimi hapa kwenye anonymity? Aaaah hii haiwezi kuleta mantiki.

We endelea na kazi yako ya kuwatetea kama walivyokutuma katika hili, wala mimi sina neno na wewe.
Mwamba huna baya sema bidada ana undugu na wakorea ndio maana unaandamwa
 
Niliamua kumpuuza ili tusi-dwell kwenye marumbano ambayo hayana tija yoyote.

Kwema lakini?
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787] eti kumpuuza...na migazeti yote uliyosha? Unajua maana ya kupuuza kweli wewe?
 
Ni ya mwaka[22] jnilishaipakua ila sikuitazana mana nilipitia reviews wanadai sio nzuri sana...

Kuanzia jan 2023 mpaka sasa sijaona serial killers drama tofauti na decoy labda tusubiri miezi ya mbeleni huko December kuna Voice 5 kama sijakosea...
 
Uchaguzi wa drama kuiangalia ama kutoiangalia ni pendeleo la mtu/taste ya mtu husika kuna wengine wanaangalia drama sababu tu ya muhusika mmoja,Wengine huvutiwa na story(haijalishi ni visasi,lovestory n.k), wengine wanapenda comedy,wengine action,wengine Sci- Fi....

Hapo ndio linapokuwa swala la upondaji wa tabaka moja dhidi ya lingine ambapo mara nyingi ni subjective opinions kuliko pure facts,binafsi naangalia drama yyt ile isipokuwa tofauti na zile ambazo hazikubaliani na principles zangu....

Hivyobasi kila mmoja awe huru na kile anachoangalia pasipo kuleta maoni yasio na tija na kuleta migogoro isio na msingi....

Current watchin
Ongoing dramas
Uncontrollably fond
 
Huyu ndio mwanaume [emoji16]
 
Back
Top Bottom