Kwa wapenzi wa Korean Dramas, hii ni thread yako!

[emoji16][emoji16][emoji16] hujajali kwamba umeambiwa unaangalia drama za wadada.
Hakuna drama za wadada!

Ina maana wale wanaume waliopo kwenye zile drama nao ni wadada ama?[emoji23][emoji23]


Kama sivyo naangalia tu kwa sababu mimi ni fanboy kuwaangalia tu wadada wa Kikorea kwangu roho inasuuzika[emoji23][emoji854]
 
Bossam steal the fate ni drama nzuri sana.
 
[emoji16][emoji16][emoji16] hujajali kwamba umeambiwa unaangalia drama za wadada.
Ila Khantwe huwa unapenda violence na haupendi uhuru wa mawazo kabisa, hapo unataka kulazimisha ionekane nimekashifu watu wengine juu ya wao kuangalia drama za genre ambazo mimi sizikubali, kitu ambacho sijafanya.

Ni wapi nimepoint kuwa Al- Hadidy anaangalia drama za kike, huu si uchonganishi kabisa huu😄.

Ninachofurahi ni kwamba uliyetaka kumuingizia mawazo yako amekuelimisha vizuri, nadhani amekusaidia.
 
[emoji1787][emoji1787][emoji1787] vayolensi kwa vayolensi umesema drama za siku hizi zina ishu pet pet za kuangalia dada zako. Maana yake ni kwamba mwanaume anayeangalia drama hizo na kuzifurahia anaangalia drama walizotakiwa kuangaliwa na dada zake....hiyo sio vayolensi? Mimi mtu akisifia au kukandia drama afanye hivyo tu ila sikubali mtu akihusisha drama fulani na kundi fulani la watu. Toa maoni bila kugusa mtu hamjifunzi kwa mwenzenu Inno?
 
Waliocheki Duty After School Mpo?

Nafuu ya Zombies ila sio zile Spheres
 

Ushauri mzuri
Nilimuandikia ujumbe ila nikafuta maana mambo yalikua mengi
Mimi niliacha kusoma vitabu sababu kichwa kilichoka macho yanauma nikahamishia muda wote kwenye drama land

Hivyo apumzike
Saivi sina drama nyingi nazotizama ila variety world huko kila siku nagundua machimbo


Jaman hata ile bromance hujaielewa
Mie hiyo bossam nilijikaza had ep 11 nikaacha kuwaona aibu waigizaji, nikaweka kulee


Kitu kingine kufatilia ongoing kunanikata stimu hasa kama sio kali sana, wakat zaman ndo zilini excite
 

Wakati nausoma nilipaona pale
Nikasema khantwe hapiti bure hapa
Hahaha ukakomenti vingine nikasema okay

Kumbe uliliwekaa[emoji1787][emoji1787]
 

Anhaa.! Kwahiyo wakati unaandika ile comment ulikuwa katika nafasi ya usemaji kwaajili ya wanaume wasioweza kujisemea? Maana wao hawakuona tatizo isipokuwa wewe.

Ni kweli nilisema sikuhizi wakorea wamekeza kwenye pet projects(kitu ambacho ni real), ni wapi nilidai kuwa wanaume wote hawapaswi kuziangalia hizo project? Kwanini mnakuwa na ugonjwa wa kujihisi namna hiyo?

Anyways tayari nilishasema nilichojisikia kusema muda huo na sitakanusha chochote kile, maana context haikuwa kumkejeli au kumdhihaki mtu.

Uwe na wakati mwema comrade Khantwe.
 
Jamani ile series ilofahamika kwa jina la GLASS MASK. Naomba jina lake kamilia maake najarbu kudownload siipati. Au mwenye link yenye HD kuanzia 720p

Sent from my SM-A135F using JamiiForums mobile app
 
Bwana wee utajua mwenyewe mimi ndio nimeshasema...acheni maneno yenu ya shombo kama drama hujaipenda ikosoe drama habari za akina dada sijui watu fulani inahusu nini? Nimewasemea ndio kwani kuna ubaya? Nina kaka zangu kibao wanaoangalia kdrama na hawapo humu wakikosewa lazima niwasemee na sio wao tu hata sisi umetudharau kuwa tunaangalia ishu pet pet
 
Wakati nausoma nilipaona pale
Nikasema khantwe hapiti bure hapa
Hahaha ukakomenti vingine nikasema okay

Kumbe uliliwekaa[emoji1787][emoji1787]
[emoji1787][emoji1787][emoji1787] sikutaka mambo mengi ila yakanifuata inabidi nikabiliane nayo
 
😂
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…