Kwa wapenzi wa Korean Dramas, hii ni thread yako!

Nilikua napenda drama za kikorea ila saiz wameishiwa stori, wamehamia kucheza stori za kufikirika mfano
i) mtu anaishi maisha ya mbele au nyuma ( time traveller) mfano wa movie ni FAITH
ii)Mtu anabadilika kuwa samaki, mbwa, chura, mfano mzur ni MY GIRLFRIEND IS GUMINHO
iii)Watu wa kutengeneza mfano ktk MR, ROBOT
iv)Mtu kufa akarudi dunian mfano LOVE IS REBORN

SO uongo kama huu umenifanya niache kuangalia drama zao kwakel wabadilike zaman walikua vizur sana
 
Ushamba mzigo, hizo fantasy drama hazipo Korea tu zipo kote. Nikushauri tu (in Dulla's voice) kabla hujaanza kuangalia drama hakikisha unaangalia ni genre gani uchague kama uingalie au uachane nayo....tunaoangalia drama kwaajili ya burudani ndio mambo tunapendaga hayo [emoji16]
Ila kingine nimegundua unaangalia zile cd zilizotafsiriwa... sijawahi kusikia kdrama inaitwa Mr Robot
 
Acha uongo wako hizo drama ulizozitaja mwanzo zina miaka zaidi ya 12 tangu zitoke sasa sijui unazungumzia zamani ipi.[emoji23]

Wameishiwa story kiaje na hali kuna historical na modern dramas nzuri zisizo na sifa ulizozitaja hapo

Unapozungumzia Gumiho ni Mythical nine tailed fox sio kama mbwa unaowajua wewe wa mtaani kwenu.
Pia leta drama ya mtu anabadilika kuwa chura hapa.

Kuhusu samaki wa kwenye movies sio Perege unaowajua wewe ni Mermaids ambao hawapo kwa movies za kikorea tu utawakuta na kwenye movies za mataifa mengine.
Ile Siren ni ya Kikorea?[emoji23][emoji23][emoji23]

Robots utawakuta kote tena kote hasa kwa Wazungu sijui nao wana Ukorea[emoji23][emoji23]

Time travelling nayo haipo kwenye Kdramas tu

Kingine fantasy zinaexist kote hata ukienda Philippines na China zipo sana.


Korean Dramas sio kila mtu lazima aangalie,wakongwe wa kupenda dramas hawachangui genre.


So yawezekana you don't belong to kdramas rudi kwa Wamarekani ukawaangalie akina Thor tu.

Hata jamaa yetu mzee wa tastes akiona andiko lako atacheka kwa dhati[emoji23]
 
Einstein77 Kuna baadhi zipo poa kwenye msafara wa mamba na kenge wapo mfano wa kazi safi zilizotoka hivi karibuni kuna "Big mouth" ni Kali kuanzia story mpaka mpangilio wa matukio kuna nyingine inaitwa "The glory" alafu kuna hii "Pandora beneath the paradise" ni on going drama ni Kali mno kila episode inapoisha una kuwa nakimuwemuwe wa kujua next episode itakuaje
 
Kuna baadhi zipo poa kwenye msafara wa mamba na kenge wapo mfano wa kazi safi zilizotoka hivi karibuni kuna "Big mouth" ni Kali kuanzia story mpaka mpangilio wa matukio kuna nyingine inaitwa "The glory" alafu kuna hii "Pandora beneath the paradise" ni on going drama ni Kali mno kila episode inapoisha una kuwa nakimuwemuwe wa kujua next episode itaku
Jamaa amejaribu kujenga hoja ila hayupo sahihi kwa asilimia inaweza ikawa kweli kwamba kiasi fulani wakorea hawatoi drama kali nyingi kama zamani lakini kuna drama zipo Kali kwa kipindi hiki hiki anachoponda sema tu hajabahatika kuziona mimi binafsi tangu nicheki innocent defendant, Vagabond sikufikiri wakorea watatoa kazi zingine nzuri lakini mwaka Huu wametupa Big mouth, kuna The glory pia kuna hii Pandora beneath the paradise nayo ni konyo n.k jamaa nilichogundua ni kwamba anachangamoto ya genre kabla ujacheki drama ni vizuri kuangalia genre unayoipenda mfano binafsi siwezi kuangaika na drama zenye genre ya fantasy wakati najua sizipendi.
 
[emoji1787][emoji1787][emoji1787] umemaliza kila kitu niongeze nini tena
 
Aliye na link ambapo naweza kudownload Deep Rooted Tree naomba aishee hapa.


 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…