Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Tigo...Dah
Hatimae sina kitonga siku ya pili nahisi kuumwa
Msaada[emoji22]
Tigo...
GB 35 kwa elfu 30
GB 25 dakika 1000 message kwa elfu 30
Kwenye ripoti ya CAG wewe humo?Hizo pesa jaman [emoji26]
Nipo nala viporo tu ambavyo nlidhan haviliki
Younglady and gentleman
Kwenye ripoti ya CAG wewe humo?
Ina maana hutafuni hela ya umma
Kwa mwezi?Hizo pesa jaman [emoji26]
Nipo nala viporo tu ambavyo nlidhan haviliki
Younglady and gentleman
Kwa mwezi?
Ni kweli hakitoshi aiseeNinacho cha hivyo na hakitoshi matumizi ya kawaida
Huyu mzee huwa namkubali sana kwenye historical dramas.Mdomo ni mlango wa majanga na ulimi ni kisu cha kujichinja mwenyewe, mwenye kuudhibiti mdomo wake na kuficha ulimi wake popote aendapo ataishi kwa amani.
View attachment 2582448
Ni kweli hakitoshi aisee
Mimi siku hizi natumia tu Airtel zile mb 300, nachagua drama zenye mb chache kila siku napakua episode 2 zinanitosha kwa kweliUmeona eh
Mimi siku hizi natumia tu Airtel zile mb 300, nachagua drama zenye mb chache kila siku napakua episode 2 zinanitosha kwa kweli
NakutumiaNadhan ndo kilichobaki nitarudi Nkiri
Sasa hap file la mb 300 nililipata sijui moja kujarib jarib likanipotea tena navurugwa
Mimi siku hizi natumia tu Airtel zile mb 300, nachagua drama zenye mb chache kila siku napakua episode 2 zinanitosha kwa kweli
Unataka kupigana?[emoji1491]
Aisee mnakwama wapi mbona mimi napakua drama hata 2 asubuhi kwa kitonga cha ttcl kila sikuNadhan ndo kilichobaki nitarudi Nkiri
Sasa hap file la mb 300 nililipata sijui moja kujarib jarib likanipotea tena navurugwa