Kwa wapenzi wa Korean Dramas, hii ni thread yako!

Kwa wapenzi wa Korean Dramas, hii ni thread yako!

Kwa wale wapenzi wazuri wa drama kali kuna hii inaitwa Pandora the beneath the paradise ni 🔥 🔥 🔥 baada ya kucheki big mouth hii ni nyingine Kali ya mwaka Huu ila ni ongoing drama ina story Kali, action kidogo na matukio ya kusisimua inayomfanya mtazamaji awe nashauku yakutazama next episode mpaka sasa nipo episode 10 ni noma sana
 
Kuna movie nimeicheki Jana ya kizungu ni noma sio mpenzi wa movie za kizungu kwa hivi karibuni ila hii nimeikubali inaitwa "Secret obsession" inamuhusu dada mmoja ambaye aliyepoteza kumbukumbu kutokana na tukio lililomkuta kiasi kilichopelekea hata jina lake alijui na hana kumbukumbu ya maisha yake, Wakati yupo hospital anatibiwa kuna mtu anajitokeza anadai ni Mumewe na haijulikani kama kweli ni Mumewe au lah?lakini ana vidhibitisho vyote vinaonesha ni mume wa huyo dada Na kama sio Mumewe lengo lake ni nini ndugu tafuteni ni noma sana kuna matukio humu hatari
 
Tunaoenda sawa na hii drama na sisi tusaidiane kumtambua Lee Seol halisi[emoji16]
IMG_20230411_174540_075.jpg
 
Back
Top Bottom