Kwa wapenzi wa Korean Dramas, hii ni thread yako!

Kwa wapenzi wa Korean Dramas, hii ni thread yako!

Mkuu si unajua dunia kufaana? Huwa nachukua then nkimaliza nampa asiye nazo anacheck pia. Mana unakuta zinajaa sana nimekuw sana addicted na hii makitu na weka tena za kizungu, na documentaries kama nina likizo naweza shinda ndani week.
 
Daaah..manina walai...kumbe ile great seer huyo jamaa ndo yumo ndan?? Mm nlipewa ni copy nkazubaa coz kuna muvi nyng...nungejua ningechukua yan...
 
Back
Top Bottom