Royal Warrior
JF-Expert Member
- Nov 19, 2015
- 1,166
- 2,143
Mie kingdoms of the winds na Gu family book nazipenda to the moon and back.. To be honest zimeniliza sana .. Zipo very emotional
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Hapana Sio Kuanguka Kwa Goguryeo Ni Kuanguka Kwa Koryo/Iliyoanzishwa Na Wang Guhn... Koryo Pamoja Na Balhae Walikua Wakijiita Kama Warithi Wa My Beloved Goguryeo.Kuna Hii mpya inayoendelea inaitwa six flying dragons ni shida inaonyesha historia ya kuanguka kwa dynasty ya gogreyo na kuibuka kwa dynasty mpya ya joseon baada general kufanya uasi na kuanzisha dynasty yake ya joseon.
Ndo Stori Ilivyotakiwa Iwe Koz Historically Jang Bogo Pia Aliuawa.Emperor of the sea tatizo mwisho wake sio mzuri, sikupenda jang bogo, na wenzake akiwemo master mo Chang walivyokufa!
Bad ended!
Gwangaeto Alikua Mtu Hatari, Ndie Aliyeipanua Goguryeo Na Kuwa Kubwa Na Imara Zaidi Ya Kingdom Nyingine Za Kikorea, Kipindi Chake Baekje, Silla, Japan, Mohe, Malgal, Khitan Wote Aliwaweka Chini Yaje Na Pia Alishida Vita Nyingi Dhidi Ya Chinese Sui. Na Ni Mmoja Kati Ya Wafalme Wa3 Wa Kikorea Ambao Walipewa Jina La Great King "DAEWANG" Pamoja Na Great King Sejong Wa Joseon Huyo Mwingine Ninemsahau.Kuna moja inaitwa king gwangaeto, aisee ni full mishe mishe!
Mshikaji aliecheza ktk jumung kwa jina la mugol, humo kafunika mbaaya kwa action!
Salute kwako mkuu, ila fengba na murong ba nao walikuwa very strategy ila walifeli kila muda!Gwangaeto Alikua Mtu Hatari, Ndie Aliyeipanua Goguryeo Na Kuwa Kubwa Na Imara Zaidi Ya Kingdom Nyingine Za Kikorea, Kipindi Chake Baekje, Silla, Japan, Mohe, Malgal, Khitan Wote Aliwaweka Chini Yaje Na Pia Alishida Vita Nyingi Dhidi Ya Chinese Sui. Na Ni Mmoja Kati Ya Wafalme Wa3 Wa Kikorea Ambao Walipewa Jina La Great King "DAEWANG" Pamoja Na Great King Sejong Wa Joseon Huyo Mwingine Ninemsahau.
Nimewakumbuka Sana Kina Sagal Hyeon, Dol Bisu, Yeo Sseokgae, Ha Muji, Ko Un, Fengba, Murong Un, Murong Xi, Murong Ba, Damju, Dandan, Ko Mu, Ko Nosa, King Asin, Buyeong, Mu Gol.
Ile Iko Vizuri Ila Nakushauri Uangalie DAE JOYOUNG Nayo Tamu Sana.
FengBa Was A Menace.Salute kwako mkuu, ila fengba na murong ba nao walikuwa very strategy ila walifeli kila muda!
Duuuhh uko vzuri salute kwako kutaja majina yote haya inabidi tukupeleke KoreaGwangaeto Alikua Mtu Hatari, Ndie Aliyeipanua Goguryeo Na Kuwa Kubwa Na Imara Zaidi Ya Kingdom Nyingine Za Kikorea, Kipindi Chake Baekje, Silla, Japan, Mohe, Malgal, Khitan Wote Aliwaweka Chini Yaje Na Pia Alishida Vita Nyingi Dhidi Ya Chinese Sui. Na Ni Mmoja Kati Ya Wafalme Wa3 Wa Kikorea Ambao Walipewa Jina La Great King "DAEWANG" Pamoja Na Great King Sejong Wa Joseon Huyo Mwingine Ninemsahau.
Nimewakumbuka Sana Kina Sagal Hyeon, Dol Bisu, Yeo Sseokgae, Ha Muji, Ko Un, Fengba, Murong Un, Murong Xi, Murong Ba, Damju, Dandan, Ko Mu, Ko Nosa, King Asin, Buyeong, Mu Gol.
Ile Iko Vizuri Ila Nakushauri Uangalie DAE JOYOUNG Nayo Tamu Sana.
Ni kweli unakumbuka hata ktk emperor of the sea?FengBa Was A Menace.
Nasikitika Anapewaga Supporting Character Most Times.
Yeah Kwenye Kingdom Of Wind Anakufa Mapema Tu.Ni kweli unakumbuka hata ktk emperor of the sea?
Korea Haswaaaa Tena Goguryeo Nimetokea Kuwish Ningeishi During The Glory Years Of Goguryeo.Duuuhh uko vzuri salute kwako kutaja majina yote haya inabidi tukupeleke Korea
Anafaa kucheza villain! Ila yule jamaa mugol nae alifunika kwa action balaa!Yeah Kwenye Kingdom Of Wind Anakufa Mapema Tu.
Pia Kwenye Dae Jo Young Yupo Ila Yeye Anafaa Akicheza Kama Villain Tu Au Wale MaBaddest.
Yeah Yuko Vizuri.Anafaa kucheza villain! Ila yule jamaa mugol nae alifunika kwa action balaa!
Damdoek yupo vizuri, nilipenda ile action walivyopigana na murong xiYeah Yuko Vizuri.
Namkubali Sana Prince Damdeok a.k.a THE GHOST GENERAL OF NORTH