Kwa wapenzi wa Korean Dramas, hii ni thread yako!

Emperor of the sea tatizo mwisho wake sio mzuri, sikupenda jang bogo, na wenzake akiwemo master mo Chang walivyokufa!
Bad ended!
Kwel kkabisa jang bogo hakustahil kufa namna ile baada ya mikiki .visa na mikasa yote na maisha aliyopitia hiv hainaga muendelezo yule mtoto wake mchanga ilikuwaje after that??
 
Yaani kufa kwa jang bogo ni sawa kufa kwa munno ktk great queen!
 
Kuna hii wadau inaitwa six flying dragons iko poa sana bado haija isha lakini, kwa wale wanaopenda kuangalia online mnaweza fanya hivyo, halafu vilevile kuna nyingine mpya inaitwa Jang Yeong Sil, sterling ni jumong kwenye series ya jumong ni mpya ndo kwanza ina epsode 6 mpaka sasa, unaweza watch online, zote hizo ni za ki joseon era
 
Mkuu umenikumbusha maumivu niliyoyapata Munno alipofuka,nililia sana.
Uroho wa Bidam wa kung'ang'ania vitabu ulipelekea kifo cha jembe langu Munno.
 
Hapo kwenye Six flying dragons nahisi itakuwa ya kichina mkuu,Korea hawana pigo za dragons.
Ila asante kwa hiyo habari njema ya series mpya ya jembe langu la kikorea....my favourite actor II Guk Sung (Jumong),nimeshainote kwenye diary kabisa.
 
Korea Haswaaaa Tena Goguryeo Nimetokea Kuwish Ningeishi During The Glory Years Of Goguryeo.
Wewe unapaswa kuwa Korean mate wangu,sio kwa kuipenda huko Korea kama mimi....lol
Mimi hadi kesho natamani niende South Korea,ikitokea hivyo tu.... I'll die a happy woman.
 
Hapo kwenye Six flying dragons nahisi itakuwa ya kichina mkuu,Korea hawana pigo za dragons.
Ila asante kwa hiyo habari njema ya series mpya ya jembe langu la kikorea....my favourite actor II Guk Sung (Jumong),nimeshainote kwenye diary kabisa.
Ni ya kikorea mzee.
 
Mkuu six flying dragons ni ya kikorea, mi ni mfuatiliaji mzuri sana wa hizi drama, unaweza ku google ili ucheki cast yao. Halafu the word dragon ina imply watu kwenye hii drama, unaweza ku google upate storyline ya hii drama
 
Nitaicheki,asante.
 
Mkuu umenikumbusha maumivu niliyoyapata Munno alipofuka,nililia sana.
Uroho wa Bidam wa kung'ang'ania vitabu ulipelekea kifo cha jembe langu Munno.
Munno nashangaaa Kwanini alikufa
 
hua mimi naangalia zilizotafsiriwa na arushas djs kina murphy na ommy dj sanasana nlizozipenda ni
~gu family book
~swallow of the sun
~na iris two
 
Saddest!
Mimi nilitamani Munno abaki hai aje kumuoa Sohwa,na Deokman aolewe na Yushin....
Ila ndio hivyo tena,Korean series ziko dissapointed sana.
Na mimi nilijua hivyo hivyo, ila jilsuk nae alimpenda sana sohwa!
 
Alimpenda sana na kumtesa sana ndio maana Sohwa hakumpenda.
Tofauti na gentleman (ila harsh sana kwa mwanafunzi wake Bidam) Munno alikuwa anamuokoa sana Sohwa.
Na upumbavu wa Chilsuk ndio ulisababisha Sohwa akauwawa.
Hivi Sohwa aliuwawa na watu wa Mishil au na Chilsuk katika mapambano ya yeye na Munno chini ya ule mti?
 
Sohwa aliuwawa na chilsuk, alidhani ni doekman then alikata jambia!
 
Naam,nimekumbuka sasa.
Tena aliruka kutoka juu ya mti na jambia lake.
Huku Deokman akifanikiwa kutoroka baada ya kubadilishana mavazi na Sohwa.
Ila hii series ni kiboko bwana!
 
Back
Top Bottom