komba05
JF-Expert Member
- Jan 8, 2016
- 367
- 291
Yap, ila chilsuk alikuwa hana namna kwa munno, maana alikuwa akichezea kichapo tu!Naam,nimekumbuka sasa.
Tena aliruka kutoka juu ya mti na jambia lake.
Huku Deokman akifanikiwa kutoroka baada ya kubadilishana mavazi na Sohwa.
Ila hii series ni kiboko bwana!