Kwa wapenzi wa Korean Dramas, hii ni thread yako!

Nimeangalia kama KING GWANGAETO, EMPERIOR OF THE SEA, THE LAND OF WIND, BRIDAL MASK, FLOWEP, THE LAND OF WIND, KING CHOGO, CITY HUNTUR lakini sijaona drama bora kama JUMONG
yaani jinsi jumong alivoishi pamoja na oyi, mari na hypo dhana akaja kumpata mousong na mopalmo, drama iilipangika kwa kweli. Ni best mpaka sasa kwa korea
 
Ngoja nitaitafuta hii,ikiwa mbaya jiandae maana lawaza utazibeba.
Tell Her.
For Me Its The Best.
Koz Napenda Action.
Ila Yeye Ni Mwanamke Anaweza Akawa Anataka Romance.
Gwangaeto Mapenzi Aliyaweka Nyuma Sanaaaa.
Jumong Wengi Wanaona Ni Nzuri Koz Wengi Tulianza Kuiona Hiyo.
Ila Hakukua Na Strategies Za Kufa Mtu Kama Dae Jo Young Au Gwangaeto Au Wang Gun.
 
Namm Nishakua Addicted Siku Hizi Nikiona Haina Episode Zaidi Ya 50 Naiangalia Basi Tu.
EMPEROR WANG GUN Ndio Ndefu Na Nimemaliza Wiki Iliyopita Baada Ya Kupumzika Nilipofika Episode 100.
Ina Episode 200 Kamili.
 
Aisee, kati ya zote nilizoziona, slave hunter ni fupi sana!
 
Nikiona Fupi Tu Mood Ya Kuangalia Inapotea Kabisaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaa.
Ndo Maana Nyingine Siangalii Naangalia Tu Storyline Bas NAkausha.
 
Namm Nishakua Addicted Siku Hizi Nikiona Haina Episode Zaidi Ya 50 Naiangalia Basi Tu.
EMPEROR WANG GUN Ndio Ndefu Na Nimemaliza Wiki Iliyopita Baada Ya Kupumzika Nilipofika Episode 100.
Ina Episode 200 Kamili.
Duuuuuh hapana,hiyo ni too much sasa.
 
Tell Her.
For Me Its The Best.
Koz Napenda Action.
Ila Yeye Ni Mwanamke Anaweza Akawa Anataka Romance.
Gwangaeto Mapenzi Aliyaweka Nyuma Sanaaaa.
Jumong Wengi Wanaona Ni Nzuri Koz Wengi Tulianza Kuiona Hiyo.
Ila Hakukua Na Strategies Za Kufa Mtu Kama Dae Jo Young Au Gwangaeto Au Wang Gun.
Hapana,napenda actions pia.
Hii imenipelekea nitamani kujifunza kutumia sword na mimi.
 
Hahahahahaha Mumy ndo Mapenzi Sasa Nitafanyaje?Hiyo Gwangaeto Ina Episode Sijui 92. So Ujiandae.
Bwana hebu nichagulieni nyingine fupifupi!!!
Au kama vipi mniachie nifanye choice yangu.
Nitaanza na Queen of Ambitious.
 
Kuna "action drama series-The Three Musketeers" ya 2014 inasisimua ndani ya hadithi yake
 
Mkuu hiyo ni nzuri ila ni fantasy siyo history. toka kwenye kitabu cha Alexander Dumas. wamechukua story ya THE MUSKETEERS kama alivyoandika kwenye kitabu na kuiweka kama historical. hata ilivyotoka ilikosa views so ikaishia season 1 tu. wamejitahidi kidogo, but kwa wale wapenda real historical events kama mm hata sikuenjoy sanaaa na wala sikuimaliza.
 
Hapana,napenda actions pia.
Hii imenipelekea nitamani kujifunza kutumia sword na mimi.

Hahahahaha Unapenda Eeeh.

Hawa Ni Baadhi Ya Wanawake Ambao Wameonyesha Exceptional Swordsmanship Skills Katika Korean Historical Dramas;

Angalia Gwangaeto Kuna Mtoto Wa Kike Anaitwa SEOL JI princess wa MOHE MALGAL(Kama Uliangalia KINGDOM OF WIND/MUHYUL Huyu Ndo Aliigiza Kama Mchumba Wa Prince Muhyul Na Atakayemuoa Bila Riidhaa YAke Wala Kumpenda Pia Kama Uliangalia KIM SOO ROO Huyu Ndo Ataigiza Kama Princess Kutoka India Ila Kwenye Gwangaeto Anapiga Noma).Pia YAKYEON Atakayekuja Kuwa Mke Wa Gwangaeto Naye Alikua General Anapiga kama Hana Kili Nzuri.

Afu Kuna Mtoto Mwingine Wa Kike Anaitwa GEUMRAN Kwenye DAE JO YOUNG Bila Kumsahau LADY CHULIN Wako Fiti.

Afu Kuna DAEJU Kwenye EMPEROR WANG GUN.
Bila Kuwasahau Mtu Na Mama Yake JIN JOO Na Mama Yake GA OK Kwenye WARRIOR BAEK DONG SOO.

So Jitaidi Ufikie Hata Level Ya DAEJU Tu LoL.
 
Hapo na mimi nakubali, ila wale mtu na mama yake ktk warrior baek dong soo ni hatari kinomaa! Namkumbuka pia cheon na sword saint( kumwa)!
 
Hahahahaha Unapenda Eeeh.

Hawa Ni Baadhi Ya Wanawake Ambao Wameonyesha Exceptional Swordsmanship Skills Katika Korean Historical Dramas;

Angalia Gwangaeto Kuna Mtoto Wa Kike Anaitwa SEOL JI princess wa MOHE MALGAL(Kama Uliangalia KINGDOM OF WIND/MUHYUL Huyu Ndo Aliigiza Kama Mchumba Wa Prince Muhyul Na Atakayemuoa Bila Riidhaa YAke Wala Kumpenda Pia Kama Uliangalia KIM SOO ROO Huyu Ndo Ataigiza Kama Princess Kutoka India Ila Kwenye Gwangaeto Anapiga Noma).Pia YAKYEON Atakayekuja Kuwa Mke Wa Gwangaeto Naye Alikua General Anapiga kama Hana Kili Nzuri.

Afu Kuna Mtoto Mwingine Wa Kike Anaitwa GEUMRAN Kwenye DAE JO YOUNG Bila Kumsahau LADY CHULIN Wako Fiti.

Afu Kuna DAEJU Kwenye EMPEROR WANG GUN.
Bila Kuwasahau Mtu Na Mama Yake JIN JOO Na Mama Yake GA OK Kwenye WARRIOR BAEK DONG SOO.

So Jitaidi Ufikie Hata Level Ya DAEJU Tu LoL.
Mzee ulishawahi kuishi Korea nini maana haya majina unavyotaja utadhani mkorea halisi.
 
Back
Top Bottom