Kwa wapenzi wa Korean Dramas, hii ni thread yako!

Mkuu ipo wapi hiyo, mbona niliyonayo haifanyi kazi!
Niliikuta humu miaka kadhaa nyuma. Ni muda kidogo sijaitumia sababu kifaa nilichokua nimeiweka sipo nacho kwa sasa... ni kama mwaka unapita. Lakini ni app moja nzuri sana kwa pc mkuu.
 
Jamani tuelekezeni namna ya kudownload hz Korean dramas.
Wengi tumezoea torrent, ila hz web mnazotutumia sijui drama5.com, dramafire.com wengine tumeshindwa kudownload hizo movie. Tunaomba mmoja ajitolee kutuelekeza step by step mpaka napata series yangu yote ikiwa na English subtitle yake. Msaada wenu wadau maana nimejaribu several times nimeshindwa na Leo usiku nataka kujinga na data bila kikomo ya Airtel ili nishushe hii series ya Giant naona wengi wameisifia namimi sijawahi kuiona. Pls pls pls
 
Tumia internet download manager. Halafu tembelea web inaitwa myasiantv.se tafuta drama unayotaka halafu iplay then itatokea kadude kanakwambia download.
 
Ok nimekusoma mkuu, hizo drama huko myasiantv.se huwa zinakuwa na english subtitle tayari au itabidi niingize tena subtitle baadaye?
 
Mkuu uyo bwana mdogo kim so hyun ni shidaa. Itafute drama yake nyengine inaitwa the moon that embrace the sun na nyengine inaitwa the producer.
Nilishaiona niliipenda sana pia...Kim so hyun ni mkali. Hongera kwa kuwashika majina hilo limenishinda!
 
Nimemaliza My love from another star ni nzuri sana lkn iliniliza kiaina.
Hii series ninayo nimeanza kuiangalia sijaona kama ni nzuri nimeacha.Hebu nishawishi niendelee kuiangalia.
 
Mwanzo pia nilitaka niachane nayo,episode za mwanzo niliangalia huku nikisoma JF kwa kuibia kuanzia nadhani episode ya tatu ikaanza kunikamata...nakutia moyo iangalie naamini utaipenda. Jana nilianza Gu family Book episode 2 so far hazikuwa mbaya...fighting!
 
Tumia internet download manager. Halafu tembelea web inaitwa myasiantv.se tafuta drama unayotaka halafu iplay then itatokea kadude kanakwambia download.
Obligado! Thanks sana mkuu.. Nimejaribu hata kne android and now nainjoy maseries ya kikorea kama kawaida.. Full appreaciate
 
First ilikua jewelry in the palace, halafu jumong!
 
Mwanzo pia nilitaka niachane nayo,episode za mwanzo niliangalia huku nikisoma JF kwa kuibia kuanzia nadhani episode ya tatu ikaanza kunikamata...nakutia moyo iangalie naamini utaipenda. Jana nilianza Gu family Book episode 2 so far hazikuwa mbaya...fighting!
Let me try
 
Gu family book ni nzuri,nimependa uhusiano wao kati ya bwana mdogo kang chil (lee seung gi) na mdada bae suzy.wakati wanaigiza hii drama 2011 kama sijakosea bae suzy alikuwa na miaka 18.bae suzy ndie mchumba wa handsome actors wa korea Lee min ho ambae pia ni mwimbaji kama alivyo demu wake amecheza drama kama faith,city hunter,boys over flower,personal taste na the heirs.kinachonivutia kwa lee seun gi ni uwezo wake wa kuigiza na pia sauti yake katika kuimba,katika kimeo changu nimejaza nyimbo zake pamoja na lyrics.ila jamaa tutamkosa kwa miaka miwili kwa sababu anatakiwa kutumikia jeshi. Nakushauri bidada prishaz ukimaliza gu family book itafute tamthilia yake nyengine king to heart,my girlfriend is gumiho na you are all surrounded. Endelea kuenjoy hiyo drama kwa sababu stori ni nzuri. Na nyimbo pia ni kali ktk gu family.taeyon,bae suzy na lee seung gi wameng'arisha katika ost za hiyo drama
Wow! Kumbe Bae Suzy na Lee Min ni wapenzi wa kweli! Asante kwa hizo proposal nitatafuta kuna mbili hapo sijaona, nilimkubali zaidi kny city hunter. Kama anajiunga jeshi tutammiss sana, suzy nae ni mrembo sana na anajua kazi. Naendelea ufurahia Gu family, lakini ukweli napenda sana nyimbo za korean drama.
 
Mie nina hadi file la korean songs kwny playlist yangu.
Napenda sana.
 
Nimeanza kuangalia Tree with deep roots,
Baada ya kumaliza Mary stayed out all night,

Lakini wapenzi mwenye full drama ya GOD OF TRADE plz anisaidie
Maana nimeishia kati wakati ndio inanoga.
 
Mie nina hadi file la korean songs kwny playlist yangu.
Napenda sana.
Duh! Nalitamani hilo file lako nilipate....niambie Mary stayed out ni nzuri? Ili niianze nikimalizana na Gu fam'
 
Yeah nzuri sana yani,
Haichoshi, na mwisho wake mtamu.
Si unamjua Jung Suk wa kwenye He is beautiful, Love rain na Pretty man?
Ndio yumo humo, hua habahatishi.

Moon wa kwenye Painter of the wind nae ndani ya nyumba.
 
Back
Top Bottom