Gu family book ni nzuri,nimependa uhusiano wao kati ya bwana mdogo kang chil (lee seung gi) na mdada bae suzy.wakati wanaigiza hii drama 2011 kama sijakosea bae suzy alikuwa na miaka 18.bae suzy ndie mchumba wa handsome actors wa korea Lee min ho ambae pia ni mwimbaji kama alivyo demu wake amecheza drama kama faith,city hunter,boys over flower,personal taste na the heirs.kinachonivutia kwa lee seun gi ni uwezo wake wa kuigiza na pia sauti yake katika kuimba,katika kimeo changu nimejaza nyimbo zake pamoja na lyrics.ila jamaa tutamkosa kwa miaka miwili kwa sababu anatakiwa kutumikia jeshi. Nakushauri bidada prishaz ukimaliza gu family book itafute tamthilia yake nyengine king to heart,my girlfriend is gumiho na you are all surrounded. Endelea kuenjoy hiyo drama kwa sababu stori ni nzuri. Na nyimbo pia ni kali ktk gu family.taeyon,bae suzy na lee seung gi wameng'arisha katika ost za hiyo drama