Kwa wapenzi wa Korean Dramas, hii ni thread yako!

Kwa wapenzi wa Korean Dramas, hii ni thread yako!

Thanks mkuu Damush' namba moja nilimkubali sana kwenye swallow the sun,no 4 huwa ni msaidizi mzuri mno hasa kwa maboss wake, no 5 yeye nae haachagi kunichekesha hasa kny flames of ambition, no 13 is just the best in every drama.
Number 5 kwenye triangle alikuwa mkorofi
 
Dramanice.
Yourasiantv.
Myasiantv.
Hapo Ndo Unapata HD Na Full Korean Dramas Kwingine Chenga..
Hear It From Me,Guru Wa Hizi Vitu.
 
Dramanice.
Yourasiantv.
Myasiantv.
Hapo Ndo Unapata HD Na Full Korean Dramas Kwingine Chenga..
Hear It From Me,Guru Wa Hizi Vitu.
Mkuu unge nyoosha maelezo fresh hizo link labda kwa pc, kwa simu zina sumbua sana.
Halafu hazioneshi ni .com .net .eu nk.
Labda hii ndio ineleweka www.dramanice.eu
 
Dramanice.
Yourasiantv.
Myasiantv.
Hapo Ndo Unapata HD Na Full Korean Dramas Kwingine Chenga..
Hear It From Me,Guru Wa Hizi Vitu.
Halafu umepotea sana hapa....siku hizi kila nikiingia kny hizi site nakosa ile icon ya kudownload au inaniambia haiko nchini kwako wakati before nilikuwa napakua vzr! Hivi tatizo linaweza kuwa nini?
 
Halafu umepotea sana hapa....siku hizi kila nikiingia kny hizi site nakosa ile icon ya kudownload au inaniambia haiko nchini kwako wakati before nilikuwa napakua vzr! Hivi tatizo linaweza kuwa nini?
Majujumu Aisee.
Unatumia Browser Gani? Kama Una IDM Nakushauri Utumie Internet Explorer Au Google Chrome,Click Ile Alama Ya PLAY. Pia Na Mtandao Unachangia Kama Network Haiko Strong Download Link Znachelewa Kutokea.
 
Natumia IDM na huwa naplay kama ulivyonielekeza tatizo nyingi huwa nyingi naambiwa not available in ur region! Kwa hiyo hata icon ya play unakuta haitokei!
 
Natumia IDM na huwa naplay kama ulivyonielekeza tatizo nyingi huwa nyingi naambiwa not available in ur region! Kwa hiyo hata icon ya play unakuta haitokei!
Mhh Nashindwa Kukusaidia Kwa Hapa Wait Kidogo...
 
Jamani mimi sasa hivi nikiingia hizi site sioni icon ya download!
Prishaz mm huwa natumia simu kushusha hizo series, kutoka kwenye link nilizo weka katika comment zangu, web ambayo haipo kwenye comment zangu sikuziweka sababu ni kama unayo isema wewe.
 
Back
Top Bottom