fettydia
Senior Member
- Aug 31, 2016
- 116
- 81
Ya mjini ni love story, Kim wobin na suzy bae ndio starlingsya mjin au kijijin????? action zipo au love stor tu???
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Ya mjini ni love story, Kim wobin na suzy bae ndio starlingsya mjin au kijijin????? action zipo au love stor tu???
Search Google Biograohy Yake Wikipedia Watakuletea Kazi Zake Zote.series ambazo huyo mzee yupo naomba mzidondoshe humu kama vile kingdom of wind akijulikana kama boss stering muyool almahalufu kama jumong
Dr Jin hatare sana,,Kuna ambaye ameshaiona Dr Jin?
Google Huyo Mtu Utaletewa Kazi Zake. Easy Like That.Kwenye series ya god of war na Guam heo, namzungumzia main character, je Luna series zingine kacheza?, km a zip naombeni mnitajie maana Jamaa alicheza vzr sana.
series ambazo huyo mzee yupo naomba mzidondoshe humu kama vile kingdom of wind akijulikana kama boss stering muyool almahalufu kama jumong
Mkuu nimepeta avatar yako umenikumbusha Boys before flowersmkuu unaweza kunisaidia kupata soft copy ya vitabu vya samguk sagi na yusa,pia unaweza kuniwekea link ya kuangalia tamthilia ya yeon gaesomun.pia mkuu umesahau yi bang won alikuwa mtawala wa tatu wa joseon hapa nilipo naangalia the great king sejong.
Yap, tupo wengi sana,ningependa ianzishwe thread maalum ya wapenzi wa korean drama ost naamini wapo wengi sana
Kali sana hiiiNiliipenda IRIS sijawahi kuona mfano wake
Kama wewe ni mpenzi wa Korean Dramas, karibu katika thread hii tupate ku share kuhusu kazi hizo hatari za mkorea.
Tuambiane;
- Ipi ni drama yako bora ya kila wakati kwako?
- Ni ya aina gani? (Wengi tumezoea kusema za 'mjini' na 'vijijini')
-Nini kinakuvutia sana katika hiyo Drama?
Pia:
- Nani ni Msanii wako Bora wa kiume na wa kike na baadhi ya drama alizoigiza?
- Nani ni sexiest Actor au Actress kwa maoni yako?
- Ipi ilikua Drama yako ya kwanza ya kikorea kuiona?
- Ni Drama gani ya kikorea unaitafuta sana na unapata wakati mgumu kuipata? (Unaweza ukasaidiwa kuipata na mashabiki wengine)
*Pia tumia thread hii kufahamishana kuhusu drama mpya zilizotoka au unayohisi ni nzuri ila haijapata umaarufu sana!!
Karibu tujumuike! Saraghae! Kumooyo!!
=========
Baadhi ya Links za Dramas mbali mbali za Korea...;
Be Strong Geum Soon
Princess Ja Myung Go
THREE DAYS (2014)
Swallow the Sun
Jumong
King Guenchoggo
=====
Links za ku-download drama za Kikorea;
- Watch Drama Online | Korean Drama | Japanese Drama | Taiwanese Drama | Hong Kong Drama | Chinese Drama
- GoodDrama.Net
======
Updated: Kwa mjadala na kubadilishana uzoefu kuhusu series za jumla za movies mbalimbali, za zamani na mpya, Unaweza pia kufuatilia UZI HUU hapa Series (Special thread) ..
Kazi kwako.. Enjoy!
Hiyo ni noumaaaaadaah! brid mask ni shegerei. namkubal sana leka ntu& mkidan pamoja na chief kimura ukimtupia apo na sunji. penda sana iyo drama sijaona mfano wake