Kwa wapenzi wa Korean Dramas, hii ni thread yako!

Kwa wapenzi wa Korean Dramas, hii ni thread yako!

Huyu mkuu anataka akiangalia episode moja apate hamu ya kuangalia nyingine
Kwani joanah ile ni series maana mimi nilidhani ni movie na inaisha mfalme anapigana na mlinzi wake mpaka wanauana au kuna series yake?
Si ni ile movie mfalme alikuwa analiwa na mlinzi wake then alipooa akawa anashindwa mlala mkewe wakati jamii inahitaji mfalme apate mtoto akaamua amuombe mlinzi amsaidie kumbe mlinzi na mke wa mfalme wakanogewa huduma akapunguza kwa mfalme akawa anamshughulikia malkia mfalme akaanza pata wivu?
 
Hiyo sio ya kuangalia, inafacilitate ushoga
 
Kwani joanah ile ni series maana mimi nilidhani ni movie na inaisha mfalme anapigana na mlinzi wake mpaka wanauana au kuna series yake?
Si ni ile movie mfalme alikuwa analiwa na mlinzi wake then alipooa akawa anashindwa mlala mkewe wakati jamii inahitaji mfalme apate mtoto akaamua amuombe mlinzi amsaidie kumbe mlinzi na mke wa mfalme wakanogewa huduma akapunguza kwa mfalme akawa anamshughulikia malkia mfalme akaanza pata wivu?
Ile kitu ni nomaaaaaa
Jamaa si alikatwa naniliu?
Dah
 
Kwani joanah ile ni series maana mimi nilidhani ni movie na inaisha mfalme anapigana na mlinzi wake mpaka wanauana au kuna series yake?
Si ni ile movie mfalme alikuwa analiwa na mlinzi wake then alipooa akawa anashindwa mlala mkewe wakati jamii inahitaji mfalme apate mtoto akaamua amuombe mlinzi amsaidie kumbe mlinzi na mke wa mfalme wakanogewa huduma akapunguza kwa mfalme akawa anamshughulikia malkia mfalme akaanza pata wivu?
Nimekumbuka mkuu
Ilikuwa ni kama short movie,sio series
Nimeiona muda mrefu sana so nilishasahau
 
Namkubali huyu mtu anaeitwa Lee Min Ho, he's my best kwa kweli na mpaka sasa napenda drama yake ya The heirs sababu story yake ipo poa kwani ndo drama ambayo naweza kuiangalia mara nyingi bila kuchoka, kaigiza series nyingi nzuri zilizochangamka kama Boys over flowers, City hunter lakini bado ntaipendelea the heirs katika drama zote Korea, napenda drama nyingi nilizoziangalia na kuzifurahia like East of Eden, A man called God etc ila bado ntarudi kwenye The heirs because the drama is cool and emotional.
 
Hatari sana ivi katoa mpya au bado????
 
View attachment 464605 View attachment 464608 View attachment 464610 View attachment 464611 View attachment 464612 View attachment 464605 View attachment 464608 View attachment 464610 View attachment 464611 View attachment 464612
20177_620x.jpg

Korean drama film location (1)
Naweza kusema tv ndio dirisha la ulimwengu huu,kwani inatusaidia kuona maeneo mbali mbali ambayo hatujawahi hata kuyaona,hususan pale tunapoangalia korean drama ambazo kiukweli zimetufanya tuwe kama wajoseon wenye asili ya afrika naamini kuna maeneo ambayo location zake zinatuvutia sana.

N seoul tower(namsan tower)
ndio icon ya mji wa seoul, Kama ni muangaliaji wa korean drama basi huu mnara naamini utakuwa umeuona mara nyingi sana, kwenye mnara huu kuna cable car service ambayo inakupeleka kwenye njia kuingilia ndani ,kwa mfano kama umeangalia boys over flower utagundua kuwa ndio eneo ambalo kwa mara ya kwanza tulishuhudia bitterly cold date kati ya goo jun pyo na geum jan di jambo ambalo liliwafanya wagande kwenye cable car usiku mzima.pia kwenye my love from another star
20178_620x.jpg

20177_620x.jpg

images
images

Gwanghwamun :ni eneo ambalo lina historia ya takribani miaka 600,ndio eneo ambalo utakutana na feature ya mfalme sejong pamoja na admiral lee soo shin.kama umeangalia tamthilia ya iris 1 utagundua kuwa ndiio eneo ambalo wale magaidi wa north korea ndipo walipotegesha nuclear bomb,pia kama umeangalia queen hyun man ndio sehemu ambayo utashuhudia romantic kiss kati ya scholar kim beung do (ji hyun woo)pamoja na kim hee jin(yoo in na)

images
images
View attachment 464605

Korean folk village : naweza kusema ni eneo ambalo linafanana na maisha ya utawala wa joseon dynasty kuanzia makaazi ya kitamaduni,vifaa vya kitamaduni n.k.kutokana na sifa hizo ndio maana asilimia kubwa ya historical drama shooting location zinafanyika hapo, Sungkyunkwon Scandal,the moon that embrace the sun,jumong,gu family book ni baadhi ya drama ambazo location zilifanyika hapo.

images
images

Korean-Folk-Village.jpg

Petite france :
unalikumbuka lile magic kiss kutoka kwa domin joon kwenye my love from another star, kiukweli ni eneo ambalo linavutia, ni safi, simple design,pia kama umeangalia secret garden utagundua kuwa ndio eneo ambalo walikutana kwa mara ya kwanza kim joo won(hyun bin) na gil ra im(ha ji won) ni eneo ambalo lina takriban majengo 16 ambayo unaweza kuyatembelea na pia kupata chakula cha kifaransa pia muna maduka makubwa.
wordpress-10093521.jpg

Screen%2BShot%2B2016-06-23%2Bat%2B6.35.32%2Bpm.png
View attachment 464610 View attachment 464611
Bukchon Hanok Village: ni eneo ambalo limezungukwa na gyeongbokgung palace,jongmyo shrine,na ni eneo lenye nyumba nyingi za utamaduni wa joseon.personal taste,heartstring ni miongoni mwa drama ambazo location zake zilifanyika huko.
6974111876_5ef56744ec_z.jpg

Gyeongbokgung Palace: ni ikulu ya mwanzo kujengwa katika utawala wa joseon mwaka 1395 asilimia kubwa ya drama zinatumia eneo hili hususan kama ni eneo la mfalme,miongoni mwa drama zilizotumia location ya gyeongbokgung palace ni rooftop prince,the moon that embrace the sun,jang young sil,king sejong the great,n.k
8e1f43151c3ac01657fd1e9440ab1ecc.jpg

%255BTSKS%255D%255BThe.Moon.That.Embraces.The.Sun%255D%255B020%255D%255BKO_CN%255D%255B22-40-38%255D.png

Yeouido Hangang Park:
je unakumbuka makutano ya lee yun seong na kim nana kwenye city hunter? ni eneo ambalo lipo mkabala na hangang river , Yeouido Hangang Park ni kivutio cha watalii,ni eneo ambalo michezo mbali mbali huwa inafanyika kama vile marathon na pia ni eneo ambalo limekusanya ofisi na makaazi ya watu(resident)
446617_1.0_titleImage_1.JPG

1412595544-1797616203.jpg
Asante kwa huu uchambuzi...
Umenikumbusha series nyingi kupitia hizi picha na maelezo yake.
Hii Namsung sijui nimepatia sp' wanaipenda sana hata wasipoionyesha unaweza isikia kwenye maongezi yao. Cheers
 
Back
Top Bottom