Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Frozen flower si ni movie?Frozen flower
Huyu mkuu anataka akiangalia episode moja apate hamu ya kuangalia nyingineFrozen flower si ni movie?
Joanah unapenda kumuona mfalme akifanyishwa mchezo mchafu na mlinzi wake?
Kwani joanah ile ni series maana mimi nilidhani ni movie na inaisha mfalme anapigana na mlinzi wake mpaka wanauana au kuna series yake?Huyu mkuu anataka akiangalia episode moja apate hamu ya kuangalia nyingine
Hiyo sio ya kuangalia, inafacilitate ushogaKwani joanah ile ni series maana mimi nilidhani ni movie na inaisha mfalme anapigana na mlinzi wake mpaka wanauana au kuna series yake?
Si ni ile movie mfalme alikuwa analiwa na mlinzi wake then alipooa akawa anashindwa mlala mkewe wakati jamii inahitaji mfalme apate mtoto akaamua amuombe mlinzi amsaidie kumbe mlinzi na mke wa mfalme wakanogewa huduma akapunguza kwa mfalme akawa anamshughulikia malkia mfalme akaanza pata wivu?
Kali kinoma, nimeimaliza jana
Hivi imeshatoka?Ipo YouTube?Kali kinoma, nimeimaliza jana
Ile kitu ni nomaaaaaaKwani joanah ile ni series maana mimi nilidhani ni movie na inaisha mfalme anapigana na mlinzi wake mpaka wanauana au kuna series yake?
Si ni ile movie mfalme alikuwa analiwa na mlinzi wake then alipooa akawa anashindwa mlala mkewe wakati jamii inahitaji mfalme apate mtoto akaamua amuombe mlinzi amsaidie kumbe mlinzi na mke wa mfalme wakanogewa huduma akapunguza kwa mfalme akawa anamshughulikia malkia mfalme akaanza pata wivu?
Nimekumbuka mkuuKwani joanah ile ni series maana mimi nilidhani ni movie na inaisha mfalme anapigana na mlinzi wake mpaka wanauana au kuna series yake?
Si ni ile movie mfalme alikuwa analiwa na mlinzi wake then alipooa akawa anashindwa mlala mkewe wakati jamii inahitaji mfalme apate mtoto akaamua amuombe mlinzi amsaidie kumbe mlinzi na mke wa mfalme wakanogewa huduma akapunguza kwa mfalme akawa anamshughulikia malkia mfalme akaanza pata wivu?
Yah jamaa alikuwa ana wivu sana akaona mkewe anafaidi kuliko yeye yani ilimuuma kishenzi yule mfalme hanisiIle kitu ni nomaaaaaa
Jamaa si alikatwa naniliu?
Dah
[emoji13] [emoji13] [emoji13] [emoji13]Yah jamaa alikuwa ana wivu sana akaona mkewe anafaidi kuliko yeye yani ilimuuma kishenzi yule mfalme hanisi
Bure au unauza?Nina series za Korea zaidi ya 30 complete kama Kuna mtu akitaka tuexchange aniambie...pia ninazo za US and others nipo kariakoo 0762778385
Hatari sana ivi katoa mpya au bado????Namkubali huyu mtu anaeitwa Lee Min Ho, he's my best kwa kweli na mpaka sasa napenda drama yake ya The heirs sababu story yake ipo poa kwani ndo drama ambayo naweza kuiangalia mara nyingi bila kuchoka, kaigiza series nyingi nzuri zilizochangamka kama Boys over flowers, City hunter lakini bado ntaipendelea the heirs katika drama zote Korea, napenda drama nyingi nilizoziangalia na kuzifurahia like East of Eden, A man called God etc ila bado ntarudi kwenye The heirs because the drama is cool and emotional.
Legend of the blue sea ndo the latestHatari sana ivi katoa mpya au bado????
Nami natumia simu sijui nitadownload vipijamani🙁 nifundisheni kudownload hizo movie kwenye io website plzzz
Asante kwa huu uchambuzi...View attachment 464605 View attachment 464608 View attachment 464610 View attachment 464611 View attachment 464612 View attachment 464605 View attachment 464608 View attachment 464610 View attachment 464611 View attachment 464612![]()
Korean drama film location (1)
Naweza kusema tv ndio dirisha la ulimwengu huu,kwani inatusaidia kuona maeneo mbali mbali ambayo hatujawahi hata kuyaona,hususan pale tunapoangalia korean drama ambazo kiukweli zimetufanya tuwe kama wajoseon wenye asili ya afrika naamini kuna maeneo ambayo location zake zinatuvutia sana.
N seoul tower(namsan tower)
ndio icon ya mji wa seoul, Kama ni muangaliaji wa korean drama basi huu mnara naamini utakuwa umeuona mara nyingi sana, kwenye mnara huu kuna cable car service ambayo inakupeleka kwenye njia kuingilia ndani ,kwa mfano kama umeangalia boys over flower utagundua kuwa ndio eneo ambalo kwa mara ya kwanza tulishuhudia bitterly cold date kati ya goo jun pyo na geum jan di jambo ambalo liliwafanya wagande kwenye cable car usiku mzima.pia kwenye my love from another star
![]()
![]()
![]()
![]()
Gwanghwamun :ni eneo ambalo lina historia ya takribani miaka 600,ndio eneo ambalo utakutana na feature ya mfalme sejong pamoja na admiral lee soo shin.kama umeangalia tamthilia ya iris 1 utagundua kuwa ndiio eneo ambalo wale magaidi wa north korea ndipo walipotegesha nuclear bomb,pia kama umeangalia queen hyun man ndio sehemu ambayo utashuhudia romantic kiss kati ya scholar kim beung do (ji hyun woo)pamoja na kim hee jin(yoo in na)
View attachment 464605![]()
Korean folk village : naweza kusema ni eneo ambalo linafanana na maisha ya utawala wa joseon dynasty kuanzia makaazi ya kitamaduni,vifaa vya kitamaduni n.k.kutokana na sifa hizo ndio maana asilimia kubwa ya historical drama shooting location zinafanyika hapo, Sungkyunkwon Scandal,the moon that embrace the sun,jumong,gu family book ni baadhi ya drama ambazo location zilifanyika hapo.
![]()
![]()
![]()
Petite france :
unalikumbuka lile magic kiss kutoka kwa domin joon kwenye my love from another star, kiukweli ni eneo ambalo linavutia, ni safi, simple design,pia kama umeangalia secret garden utagundua kuwa ndio eneo ambalo walikutana kwa mara ya kwanza kim joo won(hyun bin) na gil ra im(ha ji won) ni eneo ambalo lina takriban majengo 16 ambayo unaweza kuyatembelea na pia kupata chakula cha kifaransa pia muna maduka makubwa.
![]()
View attachment 464610 View attachment 464611![]()
Bukchon Hanok Village: ni eneo ambalo limezungukwa na gyeongbokgung palace,jongmyo shrine,na ni eneo lenye nyumba nyingi za utamaduni wa joseon.personal taste,heartstring ni miongoni mwa drama ambazo location zake zilifanyika huko.
![]()
Gyeongbokgung Palace: ni ikulu ya mwanzo kujengwa katika utawala wa joseon mwaka 1395 asilimia kubwa ya drama zinatumia eneo hili hususan kama ni eneo la mfalme,miongoni mwa drama zilizotumia location ya gyeongbokgung palace ni rooftop prince,the moon that embrace the sun,jang young sil,king sejong the great,n.k
![]()
![]()
Yeouido Hangang Park:je unakumbuka makutano ya lee yun seong na kim nana kwenye city hunter? ni eneo ambalo lipo mkabala na hangang river , Yeouido Hangang Park ni kivutio cha watalii,ni eneo ambalo michezo mbali mbali huwa inafanyika kama vile marathon na pia ni eneo ambalo limekusanya ofisi na makaazi ya watu(resident)
![]()
![]()