Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Nasubiria lunch ifike nikimbie kkoo mara moja nikainunue hyo uliyoifumbia macho[emoji23] [emoji23] [emoji23]Hahahahahaaaaa uwiiiiiiii najua wengi wataanza na hiyo.
Binadamu sisi viumbe wa ajabu sana.
Usiangalie na watoto pls,make sure unapata original nafikiri utanunua copies 2/1 tu coz sio ndefu sana.Nasubiria lunch ifike nikimbie kkoo mara moja nikainunue hyo uliyoifumbia macho[emoji23] [emoji23] [emoji23]
Hiyo hapo mkuu!Dramania mbona haipo kwani we huwa unazipata wapi?
Aigoo aigoo! Bado unakaidi kuita unni siyo? Enjoy mpenzi najua kuna vipengele utalia lazima kama ni mwepesi kama mie...halafu unipe series mpya maana nimebaki kurudia na kuangalia za wazungu.Noona Prishaz nipo naangalia fated to live you ni nomaaaa.
Thank you
Hahahaha kama nakuona unavyosubiria muda ufike....Nasubiria lunch ifike nikimbie kkoo mara moja nikainunue hyo uliyoifumbia macho[emoji23] [emoji23] [emoji23]
Hapana. Nimeangalia nyingi za kikorea sijaona yenye mapenzi deep so am curiousUnapenda za Mapenzi eee???
Mmh youtube? Ina episode ngapi?Nimeshasahau. Niliicheki mwaka juzi au mwaka jana mwanzoni.
Kama vipi angalia kupitia YouTube.
Khaa zilizotafsiriwa sitaki kabisaUsiangalie na watoto pls,make sure unapata original nafikiri utanunua copies 2/1 tu coz sio ndefu sana.
BTW unapenda original au zilotafsiriwa?
Mimi ni original sipendi makelele na ni uongo mtupu.
The tree with deep roots, ukiitazama utajaza ndoo kwa machoziJamani hii The Moon That Embraces The Sun inaniliza hadi kichwa kinauma.
Nipo episode ya 5 sasa...
Daaah Wakorea ni noma.
[emoji106] [emoji108] [emoji106] [emoji108] [emoji106] [emoji108] [emoji106] [emoji119] [emoji119] [emoji119]Nyingine Six Flying Dragon
Kingdom of the windIangalie tu kama hujaanza bado my love, utaipenda tu.
Mwanzo haieleweki eleweki ila mbele inanoga sana.
Mapenzi, Visasi, Ubaguzi (Jap vs Joseon), etc ni moja ya vitu ambavyo utavikuta mule.
By the way natafuta series ingine yenye mkono, mishale au swords mwanzo mwisho ya kikorea, msaada basi wa list my dearest Baby Nifah .
Nimeangalia Man Called God, Jumong, Emperor of the Wind, Bridal Mask, so usiziweke
We acha tu nataka nichukue angalau 5 za kuanzia mwezi huu,Hahahaha kama nakuona unavyosubiria muda ufike....
Original bibie shule nilienda kufanya nini?[emoji23] [emoji23] [emoji23] why nisiangalie na watoto? hata wa miaka 2? toto lenyewe nikikaa sebuleni na yy kashafikaUsiangalie na watoto pls,make sure unapata original nafikiri utanunua copies 2/1 tu coz sio ndefu sana.
BTW unapenda original au zilotafsiriwa?
Mimi ni original sipendi makelele na ni uongo mtupu.
Hivi ulishaangalia My Young Wol The Spy?Naipenda sana.Aigoo aigoo! Bado unakaidi kuita unni siyo? Enjoy mpenzi najua kuna vipengele utalia lazima kama ni mwepesi kama mie...halafu unipe series mpya maana nimebaki kurudia na kuangalia za wazungu.
Hata mimi nilishangaa. Hadi namaliza mkono ulikuwa mdomoni.Hapana. Nimeangalia nyingi za kikorea sijaona yenye mapenzi deep so am curious
Hata sikumbuki,itafute pls.Mmh youtube? Ina episode ngapi?
Mkuu hiyo ni historical bila shaka.The tree with deep roots, ukiitazama utajaza ndoo kwa machozi
Unataka kunambia korea wanaweza kuwa na deep erotic kiasi hicho?A Frozen Flower is a 2008 South Korean historical erotic film. It is directed by Yoo Ha and stars Jo In-sung, Joo Jin-mo and Song Ji-hyo.
Source: Wikipedia
Noooope kuna waliosoma na wanapenda zilotafsiriwa Joh.Original bibie shule nilienda kufanya nini?[emoji23] [emoji23] [emoji23] why nisiangalie na watoto? hata wa miaka 2? toto lenyewe nikikaa sebuleni na yy kashafika