DAEMUSHIN
JF-Expert Member
- Dec 15, 2015
- 22,428
- 120,464
gwenchanayoAigooo aigoooo JF nasi tuna kijiwe chetu cha kikorea.
Hahahah wakorea wa JF tukiongozwa na gwiji Damushinmuhyool
Asante sana mkuu kwa uchambuzi huu. Ama hakika huwa naumia sana nikisikia waigizaji niwapendao wanaenda kulitumikia jeshi.
Mwanzoni nilidhani ni wanaenda kwa hiyari kumbe ni sheria,safi sana.
Nitammiss sana Lee Min Ho na Kim Soo Hyun.
Vipi mkuu Bidam nasikia baada ya kulitumikia jeshi aliachana na kazi ya uigizaji na kuwa mjeshi kabisa,ni kweli?