Kwa wapenzi wa Korean Dramas, hii ni thread yako!

Kwa wapenzi wa Korean Dramas, hii ni thread yako!

Guys dramania app haifanyi kazi tena ni kwangu tu au kuna wengine wana experienc hii kitu tangu juzi.
 
Mkuuu Mimi namkubali sana huyu Lee Jung -suk ,na uyu park shin hye ,,,wanaperfom vzr sana
ni kweli mkuu wameperform vizuri sana humo,ukitaka drama nyingine ya Lee Jong Suk ambayo pia imeandikwa na mwandishi huyohuyo wa Pinnochio icheki i can hear your voice kama hujaiona imetulia sana hiyo au tafuta W ya mwaka jana nayo niliikubali sana.
 
I can hear your voice tayar nimeichek IPO vzr nimeikubal sana t ,vp io W ipo vizuri nayo ???
 
Emperor-Wang-Gun.jpg
mr choi soo jong. Ktk emperor wang gun
Emperor-Wang-Gun.jpg
 
Hii nayo Korea drama,nauliza
Ndio hii ni moja kati za korea drama nying za kihistoria ya korea (sageuk) ambayo inasimulia jinsi UNIFIED SHILLA ilivyoanguka na leter three kingdoms zilivyotokea tena yaani shila, leter baekje na leter goguryeo (majin empire and leter taebong empire) kingdom hizi zikapinduliwa na WANG GUN na kuanzisha taifa la KORYEO. na pia inasimulia jinsi wang gun alipo unit leter three kingdoms na kuform the GREAT GORYEO. kumbuka unification ya kwanza ilifanywa na kim chun chu wa shilla
 
Mkuu unapata taabu sana download kitu kinaitwa Dramanian kwa phone afu utakuta vitu vyenye Mp4 vioande vipande then angalizia hivyo vipande kwa PC au Tv
Hutotika home
Dramanian naipata playstore?
 
Back
Top Bottom