Kwa wapenzi wa Korean Dramas, hii ni thread yako!

Kwa wapenzi wa Korean Dramas, hii ni thread yako!

Korean drama zimeendelea sana!!!
Zamani kwenye scene za kubusiana walikia wanagusanisha lips tu tena wanawaziba msione, leo nimeangalia series moja wananyonyana ndimi hatari.... Bila chenga [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
[emoji23] [emoji23] [emoji23] yaani ni balaa hawa...wanapenda kunyonyana kama nini...hivi mimi nilijua za kutengeneza wananyonyana ukweli ukweli?
 
Wapendwa wangu,wanafamilia yangu ya Joseon [emoji23] [emoji23] [emoji23] na Seoul. Sasa hivi naangalia drama ya good doctor na karibia nitaimaliza.
Wakati wote huu nimekuwa nikiburudika na hii OST,nimeona ni vyema nikishare na Wanakorea wenzangu.
Nimeikubali sana

cc Damushin Khantwe Prishaz (Noona umepotea sana,khaaa)
Enjoy it guys
 
[emoji23] [emoji23] aigoo unanionea mi nimefatisha tu aliyosema Paprika
Mi-ahn-hae-yo = samahani
aid7301484-v4-728px-Apologize-in-Korean-Step-4.jpg.webp
 
Wakuu kuna series mpya ina episode 1 tu inaitwa Fabricated city wameirelease february 9 ni shida sana kama kawaida mkali wa thriller ji Chang-wook wengne wnamuita K2 hajakosea
 
Napenda vikorea vinavyohusu mambo ya shule mfano nilivyoangalia na vina story nzuri sana ni The heirs,To the beautiful you,High school love,playfull kiss,boys before flowers,heartstrings
 
Back
Top Bottom