Numbisa
JF-Expert Member
- Dec 12, 2016
- 301,221
- 1,172,274
Ndio nilishaiangalia
Umeshaicheki IRIS?
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Umeshaicheki IRIS?
Ipi nyingine ina viwango vile?Ndio nilishaiangalia
Sioni IRIS 2
Ipo bwana mkweSioni IRIS 2
Mama mkwe fanya unitafunie basiii.....Ipo bwana mkwe
Acha kudeka. Iris 2 ipo ila iris 3 ndo sijaionaMama mkwe fanya unitafunie basiii.....
Shushu la mkwe linakaribia laana, ngoja nikomae...Acha kudeka. Iris 2 ipo ila iris 3 ndo sijaiona
Komaa. Kiukweli hii mimi sijawahi kuiangalia kila nikitaka kupakua naiachaShushu la mkwe linakaribia laana, ngoja nikomae...
Sasa naweza kuipakua maana nimerudi.... Nikishindwa nitakwambiaKomaa. Kiukweli hii mimi sijawahi kuiangalia kila nikitaka kupakua naiacha
Naombeni link ya kudownload JUMONG maana ni kitambo sana so nimeimiss...!
Thanks.
angalia Athena na yenyewe viwango kama vya IRISIpi nyingine ina viwango vile?
Ahsanteeee, naisakaangalia Athena na yenyewe viwango kama vya IRIS