Khantwe
JF-Expert Member
- Dec 20, 2012
- 59,415
- 119,473
[emoji24] [emoji24] [emoji24] [emoji24] jamani amejua kunikomesha kamtu kakijua kanapendwa bwana.leo nina habari mbaya kutoka kwa sponsor wako choi jin hyuk.
CJH declined the offer to appear in MBC ‘Hospital Ship.’
Choi Jin Hyun's agency GTree said “Choi Jin Hyun hatoshiriki kwenye‘ Hospital Ship drama’ kutokana na mgongano wa ratiba zake za kazi.
![]()
[emoji23] [emoji23] af huyu sio sponsor bhana huyu oppa. Kama hujui tofauti ya sponsor na oppa muulize Nifah maana hata mimi sijui [emoji125] [emoji125]