Kwa wapenzi wa Korean Dramas, hii ni thread yako!

Kwa wapenzi wa Korean Dramas, hii ni thread yako!

wedding scene kulikuwa na mvua wakati wa shooting
88d633e2gy1fh96hyprbjj20qo0k0gpf.jpg

0062xV5ggy1fh8px8pr95j30xc0m9wjz.jpg

88d633e2gy1fh8psez2jnj213z0qon5n.jpg

88d633e2gy1fh8psjxf09j20qo13zjxm.jpg

88d633e2gy1fh8pslv9m9j20qo13zwn1.jpg

88d633e2gy1fh8psp8do9j20qo13zdmw.jpg
Nilichokikubali pia kwenye Hii drama ni Uigizaji wao yaani, Mi King Young kama sijakosea jina lake Yupo poa sana yaani
 
Duuuuh!!! hii drama ni balaa, ivyo vipande vitakuwa ni episode ya badaee leo??? Nimetokea kumpenda sna male lead japo cjawah ona kazi yake nyengine .....Mi Park min young tuh laah, Namkubali sna uyu dada ajuh kununa yaani Muda wote ni kucheka tuh,ata ukiangalia behind the scene za Drama alizocheza Unamuona ni Kutabasamu tuh
nimeamua kukuwekea fans thread ya drama hii utapata daily information
[Current KBS Drama 2017] ♚ Seven day Queen 7일의 왕비 ♚ - Weds & Thurs @ 22:00 KST
 
Ata abari za kuwa wanadate walikanusha pia ila mwisho wa siku wanatangaza ndoa....Nachopendea agency zao ni kuwa huwa wanaheshimu mawazo Yao...awatangazi mpaka wenyewe wawe tayari...
hahahhaaaa ni kweli hata wiki iliyopita walipo kutwa kwenye mji wa Bali walijaribu kukanusha
 
Ila pia wanadai Aina Ratings Nzuri pia ...Lbada kutokana na izi Drama Ambazo zinaonyeshwa mudaa sawaa na hiyo ambzo zina ratings nzuri
 
Ila pia wanadai Aina Ratings Nzuri pia ...Lbada kutokana na izi Drama Ambazo zinaonyeshwa mudaa sawaa na hiyo ambzo zina ratings nzuri
wakorea hawafuatilii sana historical drama nilichogundua labda waigizaji wawe maarufu kama lee min ho,song joong ki,kim so hyun halafu kama ulivyosema ushindani ni mkubwa sana
 
wakorea hawafuatilii sana historical drama nilichogundua labda waigizaji wawe maarufu kama lee min ho,song joong ki,kim so hyun halafu kama ulivyosema ushindani ni mkubwa sana kwa sababu kadr siku zinavyosogea vyombo vya habari vinavyokuwa na haki ya umiliki wa hizi kazi vinaongezeka.
kbs tv
tvn
mbc
sbs tv
ocn
jtbc
n.k
Na Apa MBC Ndio Mama lao????
 
kuna series yoyote ya kifalme ya mwaka huu 2017au 2016 ya porini lakini aina kama ya jumong,slave hunter,??plz naomba mrejesho
 
Na walijaribu kuficha sana huu uhusianon wao,Na kitu kimojawapo nachowapendea mastar wa korea,wanajaribu sana kutofautisha kazi na maisha yao binafsi safi sana yaani, Nimeikubali sana Relationship yao,Japo wengi wansema kuwa Song hye Kyo anaweza kuwa Mjamzito...
Dooh kijana hacheleweshi
 
Duuuuh!!! hii drama ni balaa, ivyo vipande vitakuwa ni episode ya badaee leo??? Nimetokea kumpenda sna male lead japo cjawah ona kazi yake nyengine .....Mi Park min young tuh laah, Namkubali sna uyu dada ajuh kununa yaani Muda wote ni kucheka tuh,ata ukiangalia behind the scene za Drama alizocheza Unamuona ni Kutabasamu tuh
Mimi sijaiona bado ila nimeangalia cast huyo kaka amecheza movie moja inaitwa when a man falls in love japo sio lead pia kwenye my love from another star aneonekana kakipande kadoogo
 
Huyu mzee anaitwa "Ahn Suk-hwan"

Namuelewa saana...Yan katka K-dramas...huyu ndo bonge la Comedian wangu....kiasi kwamba aki'act part ya kuwa'serious naonaga haimnogei....alaf anapga shoo muvi nying sana...mm nimemkuta katka...
-BRIDAL MASK
-THE SLAVE HUNTERS
-BOYS OVER FLOWER
-PERSONAL TASTE
-JOSEON GUNMAN...

Kama umekutana nae katka muv ambayo kaigiza kama comedian lazma umpende yan....hahah...big up sana mzee Ahn Suk-hwan!!

Angekuwa ni mbongo hiyo tayi kwa sifa angeiweka nje. Shubaaamit.!!!!
 
kumkuta mwanaume ametoga saa zingine ni ushoga wote wanatazama hizi drama huwa wanaliwa k***ga

wewe utapata wapi mda wa kuziangalia ilihali every time basha wako yupo nyuma huko anakutawanya mavi? Shenzi taipu!!!!
 
Yaani naomba uangalie iyo Queen of Seven days ni Nomaaa yaani utaichoka inasisimua balaa,Na ina Ost nzuri sana kam ni mpenzi wa zile nyimbo
Nime download ep 2 tu bado sijaanza kuitizama naimalizia man to man kwanza,ila lazima niitizame namkubali sana yule dem mule mi namwita Kim nana..jina lake la kwenye city hunter.

Nyimbo zao ninazo mie tena.
 
Back
Top Bottom