Tz mbongo
JF-Expert Member
- Mar 12, 2015
- 13,332
- 7,351
Hii si ndiyo jamaa mwishoni anawachanganya mdogo mtu na dada ake? Maana nimeichek muda sana.Haina love story nzuri ndo maana
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Hii si ndiyo jamaa mwishoni anawachanganya mdogo mtu na dada ake? Maana nimeichek muda sana.Haina love story nzuri ndo maana
Hii si ndiyo jamaa mwishoni anawachanganya mdogo mtu na dada ake? Maana nimeichek muda sana.
Ok nishakumbuka huwa nachanganya big man na bad guy,hii nadhani niliishia pale alipogongwa na pikipiki yule bibi aliyemuokota na kumlea.Hamna,hii ni jamaa aliyeokotwa mtaan na familia ya kitajiri wakamdanganya wao ni wazazi wake,nia yao ni kuupata moyo wake ili kuupandikiza kwa kijana wao aliyekua na matatizo ya moyo. Badala yake huyu kijana akagundua janja yao na kuwazidi ujanja na kuwapindua kwenye kampuni yao na utajiri wao
Yeah ana smilling face mwenyew ananvutiga sana nlimpenda toka kim nana kwny city hunterDuuuuh!!! hii drama ni balaa, ivyo vipande vitakuwa ni episode ya badaee leo??? Nimetokea kumpenda sna male lead japo cjawah ona kazi yake nyengine .....Mi Park min young tuh laah, Namkubali sna uyu dada ajuh kununa yaani Muda wote ni kucheka tuh,ata ukiangalia behind the scene za Drama alizocheza Unamuona ni Kutabasamu tuh
You are welcome oppa (ila nahisi unatakiwa uniite noona) . Binafsi kila nikilog in Jf huu ndo huwa uzi wangu wa kwanza kabisa kuchungulia. Hakika mchango wako ni mkubwa sana nisipokuona muda mrefu nakumisije na mahabari yako motomotohahahahaaaaaaaaaaaaaa nilipokuwa napitia ujumbe wa Khantwe na sojobizzy nimecheka sana,kwangu mimi ni jambo la furaha sana kuona wachangiaji wenzangu hususan kupitia thread hii wanathamini uwepo wangu hapa kiukweli nawashukuru sana na nakiri kutoka ndani ya kiwiliwilii changu kilicho hai mpaka muda huu ninapoandika ujumbe huu,binafsi nathamini sana michango ya memba wengine hata kama tunatofautiana kimtazamo mimi wala sichukii na sina kinyongo ila naamini na wengine mupo kama mimi.
pia nafurahi sana ninapoona thread hii inazidi kuwa na wachangiaji japo kuwa wengine wanakuja na kuondoka ila yote ni majukumu tu ndio yanayosababisha.
pia nitoe shukurani zangu kwa memba anayeitwa aminas kiukweli sijafahamu mpaka sasa ni jinsia gani ila yupo vizuri sana kwenye korean entertainment imefika wakati huwa nachungulia hapa niangalie ameandika kitu gani ili nipate kufuatilia.
Hahahahaha ngoja mi nkuite "Unni" cjui nmepatia maana zinanichanganyaYou are welcome oppa (ila nahisi unatakiwa uniite noona) . Binafsi kila nikilog in Jf huu ndo huwa uzi wangu wa kwanza kabisa kuchungulia. Hakika mchango wako ni mkubwa sana nisipokuona muda mrefu nakumisije na mahabari yako motomoto
That's right (nimejaribu kuandika ya kikorea imenishinda 🙂🙂)Hahahahaha ngoja mi nkuite "Unni" cjui nmepatia maana zinanichanganya
Hahahahaha utaweza tyu ungeandika hvohvo ungepata wa kukurekebishaThat's right (nimejaribu kuandika ya kikorea imenishinda 🙂🙂)
haha sema hata wao wanatuchanganya. Kwenye chuno nliona wanaume wanaitana unni sijui ilikuwa na maana ganiahsante sana ila mara nyingi sana huwa nasahau kutofautisha kati ya noona(dada kwa mwanamme) na unni(dada kwa mwanamke) ndio maana naona tabu kutumia neno hilo
Hahahahaha,Thanks Mkuu, Sante Sana,Mi Pia Nimejikuta naitembelea hii thread Mara kwa Mara sababu yako nikajikuta Mpaka Nkumisi Mwayaa, Mambo yamekuwa Mengi Mkuu ila tupo......hahahahaaaaaaaaaaaaaa nilipokuwa napitia ujumbe wa Khantwe na sojobizzy nimecheka sana,kwangu mimi ni jambo la furaha sana kuona wachangiaji wenzangu hususan kupitia thread hii wanathamini uwepo wangu hapa kiukweli nawashukuru sana na nakiri kutoka ndani ya kiwiliwilii changu kilicho hai mpaka muda huu ninapoandika ujumbe huu,binafsi nathamini sana michango ya memba wengine hata kama tunatofautiana kimtazamo mimi wala sichukii na sina kinyongo ila naamini na wengine mupo kama mimi.
pia nafurahi sana ninapoona thread hii inazidi kuwa na wachangiaji japo kuwa wengine wanakuja na kuondoka ila yote ni majukumu tu ndio yanayosababisha.
pia nitoe shukurani zangu kwa memba anayeitwa aminas kiukweli sijafahamu mpaka sasa ni jinsia gani ila yupo vizuri sana kwenye korean entertainment imefika wakati huwa nachungulia hapa niangalie ameandika kitu gani ili nipate kufuatilia.
Wow my song song couple. Mimi nlisikitishwa baada ya kuona taarifa hiyo eti baba yake yuko disappointed kisa Hye Kyo mkubwa kuliko mwanae..watu sijui wanavumishaga ili iweje yaani. Ila hawa nna wasiwasi wasijekuwa wanaoana kwa influence ya mashabiki maana mashabiki walikuwa wanawish sana hiki kitu kitokee yaani sijawahi kuona couple inayotamaniwa kwenda kwenye real life kama hiikwa mara ya kwanza leo baba wa muigizaji song joong ki amefanya mahojiano kuhusiana na taarifa za mtoto wake kufunga ndoa na mwanadada aliyemzidi kiumri kwa miaka 2 song hye kyo na alisema maneno yafuatayo
"song yupo kwenye umri mzuri sana kwa ajili ya kufunga ndoa na kama wazazi ni jukumu letu kuheshimu maamuzi ya mtoto wetu na zipo taarifa za uvumi zinazodai kama sisi tunapingana na ndoa hii iliyotangazwa kufanyika october 31 jambo ambalo ni la uongo. ninapenda kuona nikiitwa babu na mtoto atakayezaliwa na mwanangu na pia kumuona mtoto wangu akitekeleza majukumu yake ya kifamilia na pia kuzidi kufanikiwa kwenye kazi yake ya uigizaji.
![]()
pia ameendelea kusema ya kwamba bado mtoto wake anamtembelea mara kwa mara pamoja na marafiki zake hususan lee kwang soo ambaye ndiye rafiki yake mkubwa sana.
pia wakatii wakifanya kazi kwenye drama ya descendent of the sun song couple,jin goo,kim jin woo walikua wanalala hapa baadhi ya siku kwa sababu film location ilikuwa ni karibu
Anajidai na sura yake. Mwache achukue tu kwaanza mimi nshakuwa Mrs Choi sasa hivi teh japo karoho kanaumanoona huyu jamaa yako bado hataki tumuone sura yake, halafu nina wasi wasi ameshakusahau kwa sababu anapokea zawadi za wapinzani wako au umempa ruhusa?
![]()
![]()