Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
I hv made a mistake kidogo. 남자 is boy not girlaminas ndio alicho maanisha wala hajakosea
Umeandika nn hapa mkuu, sijakuelewa kabisa?Kamsahmnida Rafiki
Ni kushukulu iyo MkuuUmeandika nn hapa mkuu, sijakuelewa kabisa?
Kuna hii CRIMINAL MINDS Ongoing now ipo vyemaManseee!
Nimeimaliza Hii Drama Rebel, Lol!!! Asieiona Aitafute Ni Daebak! Really Daebak! Omo Omo
Ost Zao tuuh, Chemistry Yao tuuh, Na mwisho Kwa kila actors alionyesha alichopewa na Allah ..
Imenifanya Nizisubiri kwa Hamu Awards za Mwaka Huu Can't wait Kabisaa...
MANSEEE
Yah,ila naskia wamecopy ile CM ya Hollywood though hii ya Hollywood Sijawahi Iona...Kuna hii CRIMINAL MINDS Ongoing now ipo vyema
Ilivyo km BONES au CSI ya Hollywood
Kuna mshkaj ana IQ 187 yaan ni zaid ya Genius
Ni nzuri hiyo, niiangalia wakati ikiwa bado ni ongoing, ni ya mwaka huu, ila ilishakamilika yoteManseee!
Nimeimaliza Hii Drama Rebel, Lol!!! Asieiona Aitafute Ni Daebak! Really Daebak! Omo Omo
Ost Zao tuuh, Chemistry Yao tuuh, Na mwisho Kwa kila actors alionyesha alichopewa na Allah ..
Imenifanya Nizisubiri kwa Hamu Awards za Mwaka Huu Can't wait Kabisaa...
MANSEEE
chingu ya gomawoKamsahmnida Rafiki
Ua Welcomechingu ya gomawo
Mm nmeangalia zote BONES an hyo CSI si kwamba CM wamecopy hapana ila ideas zinafanana maana zote zinahusiana na Uhalifu (crimes and thriller)Yah,ila naskia wamecopy ile CM ya Hollywood though hii ya Hollywood Sijawahi Iona...
Nope IPO mpaka ya Hollywood inaitwa Ivi Ivi CM Na hawa wakorea ndo wameicopy iyo na kutangeneza kivyao...Ila IPOMm nmeangalia zote BONES an hyo CSI si kwamba CM wamecopy hapana ila ideas zinafanana maana zote zinahusiana na Uhalifu (crimes and thriller)
OkNope IPO mpaka ya Hollywood inaitwa Ivi Ivi CM Na hawa wakorea ndo wameicopy iyo na kutangeneza kivyao...Ila IPO
Thanks alot[HASHTAG]#karibu[/HASHTAG]
- iris 2 = jang hyuk
- athena goddess of war = jung woo sung
- 3 days = park yoo chun
- a man called a god = song il kook
- 2 weeks = lee joon gi
- voice = jang hyuk
- heartless city = jung kyung ho
- police unit 38 = seo in guk
- time between dog and wolf = lee joon gi
- healer = ji chang wook
- signal = lee je hoon
- nine times travel = lee jin wook
- i miss you = park yoo chun
- defendant = ji sung
- tunnel = choi jin hyuk (Khantwe oppa)
- vampire prosecutor = yeon jung hoo