Kwa wapenzi wa Korean Dramas, hii ni thread yako!

Kwa wapenzi wa Korean Dramas, hii ni thread yako!

Thanks Damushin hii kitu niliitafuta sana yaani. aminas ngoja niichukue tutakuja angalia pamoja dear.
0e9d4a8971cf00009c469e442293f2bb.jpg
Nitajie website ya hii kitu
 
Mbona mnaiongelea sana king in love wakati kuna vitu vngne vizito tu??

sent using TV ya chogo
 
Ktu kama the strongest deliveryman,reunited world au school 2017 japo imeisha last week

sent using TV ya chogo
Yah Zina Ubora Zake Lakini, Aziifikia The King Loves Mi Izo Zote Nimeziaangalia Na Nina Ziaangalia Kasoro Iyo Ya Reunited World Nimeishia Kati Bado Sijaendelea Kuiangalia Lakini Iyo School Mpka Imeisha Na Iyo Strongest, Kuanzia Story Mpaka Ubora Wa Kazi The King Loves Ipo Juuu Yao Kiukweli Kabisaa..
 
nilichogundua historical drama nyingi zinazozungumzia taifa la joseon mara nyingi film location zinafanyika Gyeongbokgung (Gyeongbok Palace) kwa sababu ndipo yalipokuwa makaazi ya mfalme (royal family) na aliyetoa jina hilo ni waziri mkuu wa mwamzo wa taifa la joseon bwana jung do jeon (sambong). ni eneo ambalo ni kivutio cha utalii na kila jumanne eneo hilo hufungwa kwa ajili ya shughuli maalum ya uigizaji na pia kwa ajili ya kufanyiwa matengenezo madogo madogo.
pia kuna Korean Folk Village pia nieneo maarufu na ni kivutio cha utalii nchini korea pia hutumika kama ni location kwa ajili ya historical drama.

MBC tv wao wana film location yao kwa ajili ya historical drama na waliamua kupaita Yongin Dae jang geum Park. Wamepaita dae jang geum ni kwa sababu ya mafanikio waliyoyapata kutokana na historical drama ya dae jang geum (jewel in the palace). ni eneo lililojengwa 2005 na lililozinduliwa rasmi 2011 kama ni kivutio cha utalii, ni eneo linalokadiriwa kuwa na ukubwa wa 2,500,000 m².(2.5 km)
sam_4189.jpg

Tamthilia kama jang yeong sil, queen seondeok, yi san, shine or go crazy, empress ki, scholar who walk the night, dong yi , jumong, the moon that embrace the sun,gye baek,gu family book,goddess of fire film location zimefanyika yongin daejanggeum park na cha kufurahisha zaidi wamejenga majengo yenye kushabihiana na tawala tatu muhimu zilizopita (goryeo, baekje, silla)
sam_3969.jpg

picha ya gari ambalo lilitumiwa na wahusika wa drama ya flower in prison
sam_3980.jpg

kama umeangalia empress ki jengo hili lilitumika kama ni makaazi ya watumishi wa mfalme katika tawala ya kichina ya yuan
empresski_e11-avi_20160430_180338-576.jpg

pia wamejenga ikulu inayofanana na Gyeongbukgung palace iliyopo Seoul na kama umeangalia the moon that embrace the sun basi eneo hili utalikumbuka
sam_4003.jpg

004wxw70

pia wamejenga soko kwa ajili ya uuzwaji wa bidhaa mbali mbali za kitamaduni
sam_4026.jpg

sam_4033.jpg

pia kuna eneo linaitwa Yeolseongak ambalo kama umeangalia empress ki Seung Nyang na Ta Hwan walikuwa wamekaa pamoja kwenye daraja
sam_4076.jpg

empresski_e16-avi_20160430_174024-507.jpg

pia pamejengwa uwanja mkubwa ambao hutumika kama ni uwanja wa mazoezi kwa ajili ya wanajeshi na kama umeangalia queen seondeok walikuwa wanatumia hwarang kwa ajili ya mazoezi na hata mechi ya mpira kati ya goryeo na yuan kwenye empress ki walitumia eneo hili.
sam_4065.jpg

pia kuna eneo ambalo hutumika kama ni gereza na pia kama ni eneo la interogation kwenye drama na kama sikosei hata kwenye drama ya kings in love eneo hili limetumika
sam_4166.jpg

8fee147fa29b64f7353fc3bf63e1feb59efe995a.jpeg

90123377b144f482b991e003e38fd7dcac24a95c.jpeg

kwa ufupi korean drama film location zipo nyingi sana ila nimejaribu kuweka za MBC tv
Hizi sehemu kuzijua ni ngumu saana, inabidi uwe mfuatiliaji makini sana, la sivyo kila drama utajua kuwa inaektiwa sehemu nyengine.
 
Hivi fort buyeo ya ktk jumong na ile fort buyeo ktk land of the wind ni ile ile au nyengine? (site walipo igizia)
 
Wakuu hivi episode ya mwisho (92) ya king gwagaeto naipataje nisaidieni maarifa nimejaribu kuidownload katika websites ninazozijua inagoma. Natanguliza shukurani.
 
Daaah nmeangalia drama kadhaa za kikorea but six flying dragons nmetkea kuipenda kupta maelzo... Yan nairudiarudia tuh... Huyu dogo Lee bang won ananikosha kinoma[emoji4]
 
Back
Top Bottom