mbelwaz
Senior Member
- Sep 12, 2017
- 133
- 121
Korea ni wakali hilo halina ubishiHuelewi uigizaji wao ila umeelewa kuwa wakorea wanaiga...hii nayo kali
Hatari
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Korea ni wakali hilo halina ubishiHuelewi uigizaji wao ila umeelewa kuwa wakorea wanaiga...hii nayo kali
Hatari
Korea ni wakali hilo halina ubishiHuelewi uigizaji wao ila umeelewa kuwa wakorea wanaiga...hii nayo kali
Hatari
Ni kweli wakorea wanaiga wajapan japo mie sio mpenzi wa movie za wajapan ila movie nyingi tu huwa wanaiga hao wajapan,we fuatilia hilo sio lazima uwe mfuatiliaji wa movie za wajapan ndio uweze kujua.Huelewi uigizaji wao ila umeelewa kuwa wakorea wanaiga...hii nayo kali
hahahaaa mimi tokea episode ya 34 walivyojiunga na show ya return of superman mpaka episode ya 116 ambayo ilikuwa ya mwisho kwao wao nilizifuatilia na kuziangalia bila ya kunichosha.Daah leo nimeshinda na hawa watoto kuanzia kwenye page ya baba yao insta, page za mashabiki YouTube huko yaani acha tu
Angalia release yearNi kweli wakorea wanaiga wajapan japo mie sio mpenzi wa movie za wajapan ila movie nyingi tu huwa wanaiga hao wajapan,we fuatilia hilo sio lazima uwe mfuatiliaji wa movie za wajapan ndio uweze kujua.
Nimetoa mfano wa Liar game ambayo baada ya kuicheki ya kikorea nikataka kujaribu kuitizama na ya wenyewe wajapan,japo wakorea wamecopy na kupaste ila ya wajapan ilinishinda maana kama nilivyosema huigizaji wao siuuelewi na pia nilijaribu Liar and his lover pia ilinishinda.
personal taste
[emoji23] [emoji23] oppa alikuwa mpole kwenye hii drama jamani sijui kwa vile alikuwa bado hana helaa??personal taste
Omo omo siwezi kumpindus bhana ila nitaenda kuomba kazi nyumbani kwao niwe nashinda nao sipati pichahahahaaa mimi tokea episode ya 34 walivyojiunga na show ya return of superman mpaka episode ya 116 ambayo ilikuwa ya mwisho kwao wao nilizifuatilia na kuziangalia bila ya kunichosha.
kwa sasa kbs tv wameamua kuzirejea tena special episode kwa ajili yao tu basi bado nazifuatilia hususan ninapokuwa na njaa. Noona tafadhali usije ukampindua mwanamama jung seong yeon
Umemaanisha jina la movie au?Angalia release year
Mwaka ambao zilitokaUmemaanisha jina la movie au?
Unatumia simu au PC? Kama simu dramania is the bestJamani naombeni link ambao Naeza pakua drama
Liar game ya wajapan:Mwaka ambao zilitoka
Mimi niliishia ep 8 na kuamua kuachana nayo!strongest deliveryman ndio drama yangu bora kwa mwezi huu kiukweli imenifunza mengi sana.
Huenda na hii ilikuwa 1 ya sabubu zilizofanya niishie ep 8.Ha!ha! The strongest deliveryman ni the best kwasababu hauwezi kutabiri kile kitakachotokea wakati unaona group hili limeshikilia biashara baada ya Siku kadhaa wanafanyiw fitina wanaanza tena na hayo ndiyo maisha yalivyo kuna kupanda na kushuka na kila MTU anapambana ili mkono uende kinywani
sent using TV ya chogo