DAEMUSHIN
JF-Expert Member
- Dec 15, 2015
- 22,428
- 120,464
hahahaaaaa kifurushi kinaanza saa 5 usiku.Song manse ni balaaa hunifurahisha akiwa na njaa, minguk atajifanya kuimba yeye ni mwendo wa kulaHahaa jana nimejiunga cha usiku nikaishia kumuangalia mchumba wangu Song Manse...sio kwa usingizi ule