Kwa wapenzi wa Korean Dramas, hii ni thread yako!

Wale tunao isubir Black kwa hamu tujuane mapema kabisa. Mzee wa 444 ndio nina hamu nae balaa hasa na wale Polisi wenzake ukikuta wakiwa pamoja na yy wanavyo zungumza napenda Yaani. Hahahahaaaa hii Drama inanifanya niwe Addicted nayo. Nitaanza kuitazama Queen seon duk huku nikiwa nisubili kila jmos na Jpil
a71828780538a65d740d4bc3a6fc5327.jpg
faa938e9b62daa5369f3ad785c82f305.jpg
91b1246b657f427d876dba5693d21d85.jpg
0d66efbc7e194166342c9270ff8aa86d.jpg
 
Damushin am so touched jamani mpaka imebidi niandike chochote, asante kwa compliment uliyonipa ukweli huwa nachungulia kwa nadra kny huu uzi. Tatizo toka mwaka huu uanze sijapata drama mpya kwa hivyo nikarudi kny american series...nikipata muda huwa nakuja kukusoma humu ili kujua nini kinaendelea, Amina nae ameongeza sana joto kwenye huu uzi. Tuko pamoja
 
Thanks Dear,Na Uwe Unapipitia Umu Mbona Kuna Drama Nyingi Na Nzuri Sana Zimetoka Huu Mwaka Na Ni Nzuri Sana yaani..
 
hahahahaaaaa kiwiliwili ni cha detective han moo gang ila vitendo vinafanywa na gream reaper 444 ambaye anajiita black.han moo gang tayari ameshafariki. au wewe unaonaje?
Nasikia tuu gream reaper ndo nini
 
Damushin am so touched jamani mpaka imebidi niandike chochote, asante kwa compliment uliyonipa ukweli huwa nachungulia kwa nadra kny huu uzi. Tatizo toka mwaka huu uanze sijapata drama mpya kwa hivyo nikarudi kny american series...nikipata muda huwa nakuja kukusoma humu ili kujua nini kinaendelea, Amina nae ameongeza sana joto kwenye huu uzi. Tuko pamoja
Karibu. Anza na Black ni ya mwaka huu na ni ongoing. Humo utaburudika vya kutosha na utacheka mpaka mbavu ziume.

Angalizo, inabidi hii Drama unaiangalia kwa umakini sana lakin ukiangalia kama unaangalia American series huto ambulia chochote. Inahitaji umakini balaa.
 
Katika Kdrama za akili kama hizi basi Liar game ilinisumbua sana akili.
 
Ukikumbuka jina la hiyo series nijuze.

Na hizo movies hebu nitajie hapa mkuu
Series inaitwa Meloholic (멜 로 홀 릭) Ni ongoing,na movie ziko nyingi ila niliyoiona mwanzo mwisho na ina story nzuri ni Frozen flower.
 
Katika movie ambayo najutia mb zangu kwenda bure ni hii Frozen Flower. Yaani movie mbaya kwel haina hata maadili alafu haieleweki kabisa.

Ila bado ninayo huwa kuna mambo flani Huwa nayaangalia kwenye hiyo movie.
 
Mambo gani tena hayo[emoji3] [emoji3] [emoji3] Ila movie nzuri mkuu we tulia uchek fresh.
 
Back
Top Bottom