Kwa wapenzi wa Korean Dramas, hii ni thread yako!

Kwa wapenzi wa Korean Dramas, hii ni thread yako!

Because This Is My First Life
EMPTY dongsaeng hii drama ilikuwa ni burudani mwanzo hadi mwisho yaani ilifika wakati natamani episode ziongezeke kutoka 16 hadi 100.
Because-This-Is-My-First-Life5.jpg

couple zote zilikuwa full burudani lakini kwangu mimi Ma sang goo na soo ji walikuwa na kitu chengine cha ziada ukilinganisha na couple nyengine.hahahaaaa ma sang goo anastahili offer nyingi zaidi za kuigiza.
Because-This-Is-My-First-Life-3.jpg

ila na wewe ho ra ng kila wakati unawaza ndoa kuolewa tu maisha yenyewe ndio haya ya mzee wa chato.
Kim-Ga-Eun-Kim-Min-Suk.jpg

wenzetu hawabanii watu wenye vipaji kama unaweza basi offer zitakuja wenyewe, kim min gyu amepata offer ya kuigiza kwenye drama ya Just Between Lovers, bwana mdogo tayari ameshakuwa maarufu nchini korea na muda si mrefu naamini atakuwa muigizaji mkuu wa drama.
DOlee29WkAA_i6L.jpg

huyu ahjumma kim sun young ni shidaaa yaani nafasi yoyote utakayomueka yeye anafanya vizuri,kiukweli uwezo wake wa kuigiza ni mkubwa sana ukilinganisha na waigizaji wengine.
fullsizephoto837526.jpg

wakorea waachwe kama walivyo na wasifananishwe na wapuuzi wengine kwenye kuandika stori za kuvutia.
full stop.
Yaani humo ndani hakuna aliyeharibu. Bado nina kiporo changu hapa cha ep 15 na ep 16 acha nikipashe moto!😀😀😀
 
mbona han moo gang alikufa zamani sana kama sikosei episode ya 2 au nimekosea?
kama hujanywa chai asubuhi kuielewa black ni ngumu labda uwe na maarifa ya dk shika.
Sunbae unakumbuka nilisema ukiachana na gream reaper kuna utata kuhusu detective Han hukunielewa sasa hivi ndo nimefumbuliwa hilo fumbo baada ya kujua kuwa Han Moo Gang sio Joon/Han Moo Chan ambae ndo alikuwa amefariki siku nyingi
 
Ni Mmojawapo Ninae Penda Ichi Anachofanya Pil Joo, Ndomana Ata kuwakutanisha Alitumia Njia ya Kumfanya Mo Hyun Ni Kujikuta Anampenda Boo Cheon Kwa Njia Yeyote

Nakumbuka Ata alishmwambia Baba Yake kuwa Atakaefanya Mipango yetu itimie Ni Mo Hyun Yeye ndo Atakaeamua Na Ni Baada ya Kumpenda Boo Cheon,Apo Sasa ni Chaguzi lake Mwenyewe Pil Joo Ahusiki na Maamuzi ya Nafsini Mwake
  1. upo sahihi sana lakini fahamu ya kwamba kang pil joo anampenda huyu binti na hata na mo hyun naye anampenda kang pil joo na alifika kumuokoa kwenye ziwa alipotaka kujiua, hivi unamfanyiaje michezo ya hatari mwenza wako ambaye alijitolea kukuokoa na kifo, tusizungumzie kwenye drama noona nataka uje kwenye maisha ya ukweli. kama wewe utajisikiaje utakapogundua?
  2. ni kweli na mo hyun ni chaguo lake mwenyewe kukubali kumpenda bo cheon lakini kang pil joo alipaswa atafute mpango mwengine wa kuirudisha kampuni ya cheong A mikononi mwake bila ya kujulikana mikakati yake.
  3. kiukweli namuonea huruma sana na mo hyun, halafu kang pil joo na jang bo cheon ni ndugu hivyo basi sidhani kama huko mbele pil joo ataweza kumuoa mke wa ndugu yake kisheria
 
Yaani humo ndani hakuna aliyeharibu. Bado nina kiporo changu hapa cha ep 15 na ep 16 acha nikipashe moto!😀😀😀
kwi kwi kwi yaani nimehiari niiweke kiporo black drama kuliko because this is my first life, yule paka tu alikuwa ni burudani tosha kumuangalia. nashindwa kuelewa paka wa huku kwetu uswahilini wana roho mbaya kama binadamu
because-this-is-my-first-life-2017-cat-episode-1.jpg

Cats don't have a neocortex unlike humans. So they don't get bored or depressed even if they have the same food and do the same thing.
se hee amejaa nukuu kichwani mwake, hahahahaaaaaaaaaaa
 
  1. na moo hyun nitakunga mkono mpaka mwisho haijalishi maamuzi utakayoyachukua, sijui kwa nini baba yako ana tamaa za uraisi.
  2. hao watu wawili ukaribu wao unanipa msisimko kama nakunywa dawa za asili.nimekumbuka bad guy drama
 
The Last 8 Kdramas That Will Premiere In 2017
8 Korean dramas will start this month, bringing the total number of premieres this year to 69


Monday-Tuesday Broadcast

  1. Office Romantic Comedy starting on December 4: KBS 2’s Jugglers. A self-sacrificing and multi-tasking office secretary has to juggle many tasks at once for her cold, stoic boss but their roles become somewhat reversed when he ends up moving into her house as a new tenant. (Starring Choi Daniel and Baek Jin-hee)
    Jugglers-Poster-1.jpg
  2. Office Comedy starting on December 4: tvN’s Rude Miss Young-ae Season 16. Lee Young-ae’s story as a female office worker continues for the 16th time. I know—that’s a lame about-the-series intro but I could really hardly find a synopsis somewhere else that is quite detailed and satisfactory (plus I’m not a fan of the series). Anyways, it is essentially about the office life of the unmarried titular character who might have to tie the knot this season. (Starring: Kim Hyun-sook)
    Rude-Miss-Young-ae-16-Poster-1.jpg
  3. Melodrama starting on December 11: JTBC’s Just Between Lovers. Two young individuals emotionally scarred by their past carry on living their lives while still in pain and learn to find hope and solace in each other’s company. (Starring: Lee Joon-ho and Won Jin-ah | From PD Kim Jin-won of The Innocent Man and writer Yoo Bo-ra of Secret Love)
    Just-Between-Lovers-Poster-1.jpg

    Wednesday-Thursday Broadcast
  4. Fantasy Romance starting on December 6: KBS2’s Black Knight. A mysterious man with an assistant who has somehow lived for 200 years is more than willing to do everything and battle a dangerous fate for the woman she loves and wants to protect. (Starring: Kim Rae-won and Shin Se-kyung | From PD Han Sang-woo of Man From the Equator and writer Kim In-young of Unkind Ladies)
    Black-Knight-Poster-a.jpg
  5. Sci-fi Romantic Comedy starting on December 6: MBC’s I’m Not A Robot. A man who has a severe “allergy to humans” that keeps him from developing any close relationship with anyone falls in love with a female humanoid robot, which is actually a real human who impersonates the machine. (Starring Yoo Seung-hoo and Chae Soo-bin | From PD Jung Dae-yoon of W-Two Worlds and writer Kim Seon-mi of Shine or Go Crazy)
Im-Not-A-Robot-Poster-1.jpg
Saturday-Sunday Broadcast
  • Family Melodrama starting on December 9: tvN’s The Most Beautiful Goodbye In The World. A dedicated mother learns one day that she has terminal cancer, so her ungrateful family gathers in support of her during the remaining days of her life. (Starring Won Mi-kyung and Choi Ji-woo | From PD Hong Jong-chan and writer No Hee-kyung of Dear My Friends
    The-Most-Beautiful-Goodbye-In-The-World-Still.png

  • Action Crime Thriller starting on December 16: OCN’s Bad Guys: City of Evil. Two genius prosecutors and one hotheaded detective form a team with a convicted gangster and a framed, revenge-seeking criminal to catch even worse criminals. (Starring Park Joong-hoon, Kim Moo-yul, Yang Ik-joon, Joo Jin-mo , and Ji Soo | From PD Han Dong-hwa of Police Unit 38 and writer Han Jung-hoon of the original Bad Guys)
    Bad-Guys-City-of-Evil-Poster-1.jpg
  • Fantasy Romance starting on December 23: tvN’s Hwayugi. In a world where dark spirits are roaming around, a human with the ability to see them team up with the great Monkey King and the Bull Demon King to battle the bad ones and search for “the light.” (Starring Lee Seung-gi and Oh Yeon-seo | From PD Park hong-kyun of Queen Seon-deok and Hong sisters of Master’s Sun)
    Hwayugi-still.png
 
Back
Top Bottom