Numbisa
JF-Expert Member
- Dec 12, 2016
- 301,221
- 1,172,274
Shukran mkuu
Unaweza tumia Kwa Simu au Ata Pc
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Unaweza tumia Kwa Simu au Ata Pc
Ni dramafire.com Ama!???Aigooooo, DramaFire is Back.
Siku za nyuma kidogo hii site tuliyo kuwa tunaitumia wengi kwa kudownload Korea Drama ilipotea Ghafra. Baadhi ya wadau nikiwewo mm tulikosa amani na furaha kabisa maana hii site ilikuwa ndio kimbilio la wengi hasa ukizingatia kuwa Episode za kwenye hio site zilikuwa zinachukua MB ama GB ndogo mno. Kiukwel sikuweza Download Drama yoyote ile tangu hii site ilipo potea ghafra.
Kwahyo Habari nzuri ni kwamba site hii imerudi, ila imekuja kivingine kabisa. Nafikiri walikuwa wanaiboresha zaidi ili iwe rafk kwa watumiaji.
Samahani mkuu sikuwa online hivyo sikuweza kujibu swali hili. Shukrani pia kwa mkuu alie kujibu hapo chini, Karibu.Je unaitumia kwa simu au Pc? Maana natumia dramania kwa simu.
Samahani mkuu sikuwa online hivyo sikuweza kujibu swali hili. Shukrani pia kwa mkuu alie kujibu hapo chini, Karibu.
we mzima Lakin?Ni dramadire.com Ama!???
Umejaribu kufunga nn mkuu? website ipi?Jana nimejaribu imegoma kufunguka. Je naipatia wapi play store au? Niliyodownload jana nimeitolea google
Ndee we, Uje Unielekezee Wpi??we mzima Lakin?
Hapana toa hiyo .com ukiona inakuzingua njoo nikuelekeze.
Umejaribu kufunga nn mkuu? website ipi?
Hapana mkuu hatutumii application yake.Sio kufunga bali kufungua baada ya kuidownload, dramafire application. Ina rangi ya kahawia na D herufi kubwa na f
Search kupitia Google neno Dramafire ukiwa na UC Browser.
Jaribu Dramanice.com.Wakuu nilikuwa nafuatilia mwendelezo wa drama ya dong yi kupitia dramafire.com lakini ghafla site ikawa haipatikani. Naweza kupata site nyingine nikaweza kuishusha niendelee nayo.... Maana nimejaribu kissdrama, dramafever, dramago zote chenga...cc aminas na members wote wa jukwaa hili.
Mkuu,Wakuu nilikuwa nafuatilia mwendelezo wa drama ya dong yi kupitia dramafire.com lakini ghafla site ikawa haipatikani. Naweza kupata site nyingine nikaweza kuishusha niendelee nayo.... Maana nimejaribu kissdrama, dramafever, dramago zote chenga...cc aminas na members wote wa jukwaa hili.
Hihihihi! Za Kutoweka!?Mkuu,
Unaweza kuelezea kiundani tatizo liko wapi kwenye hizo sites ulizozitaja?