Kwa wapenzi wa Korean Dramas, hii ni thread yako!

Aigooooo, DramaFire is Back.

Siku za nyuma kidogo hii site tuliyo kuwa tunaitumia wengi kwa kudownload Korea Drama ilipotea Ghafra. Baadhi ya wadau nikiwewo mm tulikosa amani na furaha kabisa maana hii site ilikuwa ndio kimbilio la wengi hasa ukizingatia kuwa Episode za kwenye hio site zilikuwa zinachukua MB ama GB ndogo mno. Kiukwel sikuweza Download Drama yoyote ile tangu hii site ilipo potea ghafra.

Kwahyo Habari nzuri ni kwamba site hii imerudi, ila imekuja kivingine kabisa. Nafikiri walikuwa wanaiboresha zaidi ili iwe rafk kwa watumiaji.
Ni dramafire.com Ama!???
 
Jana nimejaribu imegoma kufunguka. Je naipatia wapi play store au? Niliyodownload jana nimeitolea google
Samahani mkuu sikuwa online hivyo sikuweza kujibu swali hili. Shukrani pia kwa mkuu alie kujibu hapo chini, Karibu.
 
TYuIEHR.jpg

Vipande Vya Aji 3 Vinavyoonyeshwa Muda Huu.
 
Wakuu nilikuwa nafuatilia mwendelezo wa drama ya dong yi kupitia dramafire.com lakini ghafla site ikawa haipatikani. Naweza kupata site nyingine nikaweza kuishusha niendelee nayo.... Maana nimejaribu kissdrama, dramafever, dramago zote chenga...cc aminas na members wote wa jukwaa hili.
 
Jaribu Dramanice.com.
Au EMPTY Njoo Uumpe Site Zengine.
Au yeyote Aloiona Iyo Drama kwa Site IPI Tunaomba Aje Atupe Msaada.
 
Wakuu nilikuwa nafuatilia mwendelezo wa drama ya dong yi kupitia dramafire.com lakini ghafla site ikawa haipatikani. Naweza kupata site nyingine nikaweza kuishusha niendelee nayo.... Maana nimejaribu kissdrama, dramafever, dramago zote chenga...cc aminas na members wote wa jukwaa hili.
Mkuu,
Unaweza kuelezea kiundani tatizo liko wapi kwenye hizo sites ulizozitaja?
 
Back
Top Bottom