Gyeoul
JF-Expert Member
- Jan 28, 2015
- 3,758
- 5,365
Hmmmm!!!! Unataka Angalia Drama Za Aina Gani!?????Kati ya hizo zote basi nimeipenda 'Hwayugi' na 'Money Flower'.
Black Knight kiroho safi naamua kuishia ep ya 10.
I am Not A Robot kila nikilazimisha macho kuamini lakini moyo unakataa.
Nothing 2 Lose huyo villan hana jipya nishamzoea.