Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Barabara kabisa! Gamsamnida sunbae.
hahahahaahhaaaaaa ngoja nilale, umenifurahisha sanaMkuu Damushin watu tuko kwenye mazoezi ya kuachana na hiv vitu alafu unatupigia msumari wa nguvu na hizo kazi 17. Mm hizo zitanisamehe kabisa ila hiyo Mr. Sunshine napenda inikute lol.
Aya In Sha Allah tukijaaliwa.hahahahaahhaaaaaa ngoja nilale, umenifurahisha sana
HapanaaaaSamahani Sana mkuu sikuwa huku, ningekupa mwongozo. Vp Ulifanikisha?
Ndio Nimekuita..Abeee umeniita?
[emoji23] [emoji23] usipende kuniita huku kijiweni umesahau nipo kwenye zoezi la kuacha ulevi?Ndio Nimekuita..
Kuna Mtu Nae Anataka Acha Ulevi Ndo Nikaamua Kukuunganisha Nae Mwaya.[emoji23] [emoji23] usipende kuniita huku kijiweni umesahau nipo kwenye zoezi la kuacha ulevi?
[emoji23] [emoji23] sidanganyikii
Mrejesho wangu lini? Kama umeshindwa sema tu mwaya!
Hahahhhhaaahhhhaaaaaaaa!![emoji23] [emoji23] sidanganyikii
Lol! Mwaya Nimejaribu Kilichonishinda Ni Kutafuta Msaniii Spaoni Pakutafutia.! Ndo Nilitaka Kukuambia.Mrejesho wangu lini? Kama umeshindwa sema tu mwaya!
Nini Na Wewe.Hahahhhhaaahhhhaaaaaaaa!!
Ha hh a hhaaahhaaa!
Angalia upande wa juu-kulia (top right) kabisa, kuna ki-picha cha 'magnifying glass'.Lol! Mwaya Nimejaribu Kilichonishinda Ni Kutafuta Msaniii Spaoni Pakutafutia.! Ndo Nilitaka Kukuambia.
Mmmhh!Angalia upande wa juu-kulia (top right) kabisa, kuna ki-picha cha 'magnifying glass'.
Kibofye hicho kisha itakuja sehemu ya ku-search.
Nasubiria mrejesho (kama kawaida yangu). Hihihihii!