Kwa wapenzi wa Korean Dramas, hii ni thread yako!

Hiyo Puleeez utaitaja hadi kwa Hangul lakini sunbae ndio hivyo. Yupo vacation katika kisiwa cha Jeju.
hahahahhahhaaaaaaaa aanze kujiandaa kisaikolojia na mapemaaaa huenda vacation yangu ikawa ni ya miezi 6, na kitufe chenye kuonyesha alerts zangu nitakizima.
 
aminas nataka unipe update kuhusiana na episode ya jana kupitia drama ya black knight, je kim rae won ananasa kwenye mtego wa sharon baada ya sharon kumpelekea zawadi ya shati ambayo alikwisha ivaa?
halafu huyu ahjussi huu uhusika wake ananiweka roho juu, hahahahaaaaaa ila nimezipenda suti zake anazovaa.
Kim_Seol-Jin-p01.jpg
 
Ji-hye_Seo1.jpg

sharon anapaswa akubaliane na majaliwa yake na hapaswi kuendelea kulazimisha sehemu asiyopendwa, miaka 200 iliopita alimpenda sana soo hoo mwisho wa siku wivu wake ukapelekea kumuua mume wake na pia kumuua boon yi, hapo ndipo laana ilipoanza kumuandama.
miaka 200 mbeleni wanazaliwa tena wale wale aliyowaua kwa mkono wake na kwa mara nyengine ndoto yake ya kuishi akiwa na furaha na soo ho haifanikiwi.
huu wimbo wa mwanamama lee sun hee unamuhusu.
 
aminas nataka unipe update kuhusiana na episode ya jana kupitia drama ya black knight, je kim rae won ananasa kwenye mtego wa sharon baada ya sharon kumpelekea zawadi ya shati ambayo alikwisha ivaa?
halafu huyu ahjussi huu uhusika wake ananiweka roho juu, hahahahaaaaaa ila nimezipenda suti zake anazovaa.
Kim_Seol-Jin-p01.jpg
Kumbe ni Mwanaume Wa Maana Ivi Mule ndani Sijuhi Kachezaje Na Boss Wake Chizi Yule.

Alishindwa Naona Nguvu Zake Zinashindwa Kaamua Kumdaka Kwenye Kumuuzia Land Tena Baada ya Hae Ra Kumlazimisha Rae Won Afate Kama Uyu 200 Atakavyo. Ndo Kaamua kumkaribisha Nyumbani kwake Ila Rae Anajitahidi Sana Kumkwepa Ila Wapi Bibi Ki'nga'nganizi Uyu Lol!!!
 
na kwenye drama ya hwayugi yumo mvulana mmoja uhusika wake umenifanya niwe frustrated kama mzee wa chato, ni mhudumu wa bar sauti yake na vitendo vyake ni mchanganyiko wa jinsia mbili.
sharon si alimpelekea zawadi ya shati jeupe na baada ya shati lake kumwagiwa kahawa na mfanya kazi wake kwenye episode ya 10 akavaa shati jeupe, na sharon lile shati alishawahi kulivaa inamaana tayari lina joto lake.
 
Yah Nakumbuka Na Alisema Kuwa Akilivaa Ataact Vile Sharon Anataka Lakini Mambo Yameenda tofauti Na Alivyo Panga Sijuh Dawa Aikuingia.
Coz Aliongea Nae kawaida Mpaka Sharon Kukasirika Akaamua Kuondoka Mpaka Amkubalie Kuishi Kwake Ndo Atamuuzia Land Na Hakutaka Kuishi Nae Ila Hae Ra Ndo Alolazimisha Rae Akaamua Amkubarie kishingo Upande Tuuh.

Awa Nao Sijuh Wanataka Anzisha Aya Mambo Ya Jinsia Moja Maana Naona Wanaingia Ingia Tuuh.
 
jamii kubwa ya wakorea wanaonekana ni mahodari sana wa fasihi, ninaposoma lyrics nabaki kuduwaa kwa jinsi wanavyopangilia maneno yao na ubunifu mkubwa sana wa mashairi yao, kama ni mzembe mzembe kama mimi huwezi kufahamu kilichokusudiwa ndani ya nyimbo.
 
aminas noona leo nilipokuwa naangalia episode ya 4 ya drama ya hwayugi nimejifunza ya kwamba general dong na ha su nyeo ni mtu mmoja aliyeigiza nafasi mbili, uhusika wa kiume na uhusika wa kike.
mwili mmoja ila nafsi mbili.
aigooooo wakorea wanapenda ujanja ujanja.
Sung_Hyuk-p2.jpg

huwa nacheka sana huyu mzee anapomwita lee seung gi hyungnim
Jang_Gwang-p2.jpg
 
Seung GI Hana Adamu.
Hahahaha Mzee Kama uyo awe kaka yake kweli
 
aminas noona leo nilipokuwa naangalia episode ya 4 ya drama ya hwayugi nimejifunza ya kwamba general dong na ha su nyeo ni mtu mmoja aliyeigiza nafasi mbili, uhusika wa kiume na uhusika wa kike.
mwili mmoja ila nafsi mbili.
aigooooo wakorea wanapenda ujanja ujanja.
Sung_Hyuk-p2.jpg

huwa nacheka sana huyu mzee anapomwita lee seung gi hyungnim
Jang_Gwang-p2.jpg
series gani hiyo mkuu nii watch now
 
Back
Top Bottom