Kwa wapenzi wa Korean Dramas, hii ni thread yako!

Kwa wapenzi wa Korean Dramas, hii ni thread yako!

lee bo young alibubujikwa na machozi wakati alipokuwa akielezea sababu iliompelekea akubali offer ya kushiriki kwenye drama inayojulikana kwa jina la mother ambayo itaonyeshwa kupitia kituo cha TVN siku ya jumatano na alhamisi, bo young alisema kwake yeye jambo la muhimu zaidi ni muonekano wake kwenye jamii kuliko viewer ship rating ya drama.
baada ya kufanikiwa kupata mtoto wangu kiukweli makala zinazozungumzia unyanyasaji wa watoto nimekuwa nikizifuatilia sana
wakati napokea ofa hii kulikuwa na kesi takribani tatu zinazohusu unyanyasaji wa watoto na kutelekezwa, suala hili lilizidi kuimarisha uamuzi wangu wa kukubali ofa hii.
ni wajibu wetu kuhakikisha tunakuwa karibu na watoto ili kuwaepusha na unyanyasaji na kutelekezwa.
lee bo young ameigiza uhusika wa mwalimu ambaye anaamua kukimbia na mtoto wa kike mwenye miaka 8 ambaye ametelekezwa na mama yake.
lee pia ameongeza kwa kusema nilikuwa na wasiwasi mkubwa sana kwa heo yool ambaye anaigiza nafasi ya mtoto hususan vipande vya uigizaji wa drama, nilikuwa na wasi wasi juu yake huenda akaingiwa na mshituko pamoja na hofu.
nilikaa pamoja na film staff na kulijadili suala hili na kuona jinsi gani tunaweza kumsaidia ili aweze kutofautisha kati ya maisha ya ukweli na maisha ya uigizaji,
namshukuru mungu ni mtoto ambaye yupo vizuri sana kimaarifa na kiukweli yupo vizuri.
Lee-Bo-Young-Heo-Yool-XPN.jpg
Hii drama naisubirua kwa hamu.
Natarajia itakuwa poa kama 'Oh My Gum Bi'.
 


I'm throbbing in your eyes.
In your hand
I'm swinging around.

You do not have a word with a few words.
If you do anything
I can not stand laughing.

You become love to me
To be a world to me
Now you let me breathe.

You become love to me
To be a world to me
I do not feel like this for some reason now.
I'll be there for you all the time.

What I can not do with my strength
With you being enchanted
I'm swinging around.

It seems to live only for you.
Now that I live like that
It's my pleasure.

You become love to me
To be a world to me
Now you let me breathe.

You become love to me
To be a world to me
I do not feel like this for some reason now.
I'll be there for you all the time.

To my weakness
No matter how far you go
After all, he's next to you.

Become love to me
To be a world to me
You make me dream of all

Become love to me
Be all to me
I do not feel like this for some reason now.
I'll be there for you all the time.
 
Zile Drama Ndo Hizi kwa Ninazozikumbuka.
Jumong
The Land of Wind
Emperor of The Sea
Gu Family Book
Empress Ki
Kings 2 Hearts
Night Watch Man
Scholar who Walks The Night
DOTS
Blood
Doctors
Faith
Personal Taste
The Heirs
Healer
K2
City Hunter
The Legends of the Blue Sea
Criminals Mind
Six Fly Dragon
Suspicious Partner
Remember
The King In Love
Moorim School
Cheese In The Trap
Goblin
Uncontrollably fond
My Love from Another Star
It's OK,This is Love
Warrior Baek Dong So
Rebel.Thief who stole the People
Ruler Master of the Mask
Moon Lovers Scarlet Heart Ryeo
Queen 4 7 Days
While You Were Sleeping
W
My Sassy Girl
Entertainment
Reunited World
You're All Surrounded
SCHOOL 2017
Cinderella & 4 Knights
Money flower - Ongoing
Black
Hwayugi - Ongoing
My Girlfriend Is Gumio
I'm Not A robot - Ongoing
Black Knight - Ongoing
Nipo namalizia warrior Baek Dong So...skuwah kujua kama n nzuri namna hii
 
na mo hyun endelea kuwa na matumaini ya kwamba siku moja kang pil joo atarudi kwako


You who have infiltrated me
Stay in the corner of the chest like the wind

Without hesitation
I'm just thinking about leaving it again.

Like a dream last night
If you keep recollecting your memory
Still I still find you
Twice to me again to me
Even if you can not come back
Still standing here
I guess I'll wait.

Promise not to be kept like a common greeting
Without saying that
I had to leave me

Like a dream last night
If you keep recollecting your memory
Still I still find you
Twice to me again to me
Even if you can not come back
Still standing here
I guess I'll wait.

Spreading in the cold wind
In that leaves
Take my heart and send it to you
Someday you someday come to me
Do you want to come back?

Like a dream last night

Like a dream last night
Even if you remember me
Still I'm still wandering
Twice in my ear again
The voice that can not be heard
Still standing here
I guess I'll wait.
I guess I'll wait.
 

When the flowing water
Wraps around my ankles
The painful memories I hide deep inside
All come back to life

Where can I lean on?
When everything that passes me
Become scars?

Nights that I thought about you
Were just greed to me
It breaks my heart but I know
So the destiny that chose me
Won’t linger and grasp onto you
I will leave you now

Every breath I spit out
Is like a thorn-like pain
Making me erase the love
That I hid deep inside

Where can I lean on?
When everything that passes me
Become scars?

Nights that I thought about you
Were just greed to me
It breaks my heart but I know
So the destiny that chose me
Won’t linger and grasp onto you
I will leave you now

If I can go back to you some day
Whenever that might be
If you haven’t forgotten me

Days I thought about you
Were the last remaining joy to me
The destiny that chose me
Isn’t anything other
Than only you

Now I’ll be
Forever by your side
 
na mo hyun endelea kuwa na matumaini ya kwamba siku moja kang pil joo atarudi kwako


You who have infiltrated me
Stay in the corner of the chest like the wind

Without hesitation
I'm just thinking about leaving it again.

Like a dream last night
If you keep recollecting your memory
Still I still find you
Twice to me again to me
Even if you can not come back
Still standing here
I guess I'll wait.

Promise not to be kept like a common greeting
Without saying that
I had to leave me

Like a dream last night
If you keep recollecting your memory
Still I still find you
Twice to me again to me
Even if you can not come back
Still standing here
I guess I'll wait.

Spreading in the cold wind
In that leaves
Take my heart and send it to you
Someday you someday come to me
Do you want to come back?

Like a dream last night

Like a dream last night
Even if you remember me
Still I'm still wandering
Twice in my ear again
The voice that can not be heard
Still standing here
I guess I'll wait.
I guess I'll wait.

Hii Sauti Aloanza Nayo Dooooh!! Yaani Anaimbia ndani kabisaa,and that feelings La!
Music Jamani So Sweet.
 
Mzee wa jumong sijaona kaz yake mpya kitambo, wakuu taarfa kma Ana kitu kipya karibuni
 
Mzee wa jumong sijaona kaz yake mpya kitambo, wakuu taarfa kma Ana kitu kipya karibuni
Ana Hii drama Yake Ambayo ni ya 2016,Inaitwa JANG YOUNGSIL.THE GREATEST SCIENTIST OF JOSEON
Baada Ya Hiyo Hana Tena Drama Mpya.
 
3 Couples Of “Hwayugi” That Tug On Our Heartstrings
L. Kim January 17, 2018



Interest for tvN’s weekend drama “Hwayugi” is increasing every episode, thanks to the three different couples who are unique in their own ways yet equally causes our hearts to flutter in excitement and anticipation.

Sweet Couple: Lee Seung Gi and Oh Yeon Seo
Despite their constant bickering, Son Oh Gong (Lee Seung Gi) and Jin Sun Mi (Oh Yeon Seo) are labeled as the sweet couple, due to their heart-racing lines and irresistible attraction to each other. During their first meeting 25 years ago, he made a contract with her that promised he would show up and protect her whenever she calls his name. The sly immortal ran away from the deal by stealing her memory of his name, but karma got him back with the magical bracelet (Geum Gang Go), and now he’s acting like a lovesick fool who’s head over heels for her. Their sweet moments yet sad reality have gardened much attention from the viewers.



Affectionate Couple: Cha Seung Won and Kim Ji Soo
In the previous episode, the heartbreaking love story of Woo Ma Wang (Cha Seung Won) and Na Chal Nyeo (Kim Ji Soo) was introduced. Every time Na Chal Nyeo is reborn, she encounters a miserable death. In order to save her, Woo Ma Wang must become a diety, and to do that, he protects Jin Sun Mi from being eaten by other spirits (and Son Oh Gong himself) and uses her skills of capturing evil spirits to elevate his status. As the story progresses, the viewers wonder if Woo Ma Wang will be able to save his loved one in the end.



Cute Couple: Lee Hong Ki and Lee Se Young
This unique couple consists of a pig monster P.K (Lee Hong Ki) and a naive zombie Jin Bu Ja (Lee Se Young). P.K always does whatever he can to help Jin Bu Ja, whether it’s getting her memories back or protecting her from the harsh words of Son Oh Gong. After finding out that Jin Bu Ja will no longer exist if Jin Sun Mi dies, he prevents Jin Sun Mi from being killed by other spirits. Their cute and innocent relationship never fails to bring a smile on viewers’ faces.
 
Nimekuwa Mtu Wa Kuisikiliza '' Breath'' Ya Lee Hi Na ''Lonely'' The Late, Zote Zimeandikwa Na The Late

Ikanibidi Nianze Kuifatilia Kwa Karibu Hii Breath Nikaja Ona au Kufahamu Kuwa Lee Hi Alikumbwa Na Hili Tatizo La DEPRESSION Mpaka Ikampelekea Kushindwa Kuhema Ikawa Inafikia Kipindi Anashindwa Kabisaa Kupumua Kwa Maana Ya Kwamba Pumzi Hukata.
''Back Then I found it Hard To breath at Times''
''I didn't Say Anything But it ate Me up Inside''
''Many Suffer From Them, Though People Are Put in a lot of tough situations these days. Its Not
Me Even those With office Jobs Suffer From it due to stress''


Ni Maneno Aloyasema Katika Moja Ya Interview Zake. Ni Tatizo Lilomchukua Muda Mrefu kupungua Na Si Kuacha Kabisa, Ndipo Alipoamua Kuimba Nyimbo Ya Kila Anachokipitia Akihisi Kuwa Si Yeye Pekee Anayeteseka Ivyo Ni Watu Wengi Wanaumia Na Akaamua Kupitia Kipaji Chake Awape Moyo Watu Vile Anavyojipa Moyo Yeye. Nyimbo Alitaka Aipe Jina La ''Breath'' Ikiwa Na Maana Ya Kuelezea Situation Yake, Ndipo Alipoweza Kupata Connection na The Late Na Kuamua Kumuandika Aya Mashahiri Ambayo Mwisho Wa Siku Yalikuwa Yanamuhusu Yeye Pia The Late.



Take a deep breath
Until both sides of your heart get numb
Until it hurts a little
Let out your breath even more
Until you feel
Like there's nothing left inside
It's alright if you run out of breath
No one will blame you
It's okay to make mistakes sometimes
Because anyone can do so
Although comforting by saying it's alright
Are just words

Someone's breath. That heavy breath
How can I see through that?
Though I can't understand your breath
It's alright I'll hold you

It's alright if you run out of breath
No one will blame you
It's okay to make mistakes sometimes
Because anyone can do so
Although comforting by saying it's alright
Are just words

Someone's breath. That heavy breath
How can I see through that?
Though I can't understand your breath
It's alright I'll hold you

Even if others think your sigh
Takes out energy and strength
I already know
That you had a day that's hard enough
To let out even a small sigh
Now don't think of anything else
Let out a deep sigh
Just let it out like that

Someone's breath. That heavy breath
How can I see through that?
Though I can't understand your breath
It's alright I'll hold you
You really did a good job


NB. Yeyote Uliye,Unayeyaptia Labda Yasiwe Kama Haya au Yawe Kama Haya Katika Ngazi Yoyote Ya Maisha Unayoyapitia, Usivunjike Moyo Mpaka Kukupelekea Ukshindwa Kupigania Maisha Yako. Ukisimama Wewe Leo Vizuri Na Kuwa Strong Utatengeneza Kizazi Kizuri Sana Kijacho Kupitia Wewe. Furahi Kila Unapopata Sababu Ya Kufurahi Na Lia Kila Unapopata Sababu Ya Kulia, Kujikwaa Kusiondolee Safari Yako,Nyanyuka Na Ukaze Mwendo.
 
Na Mm leo acha nimtaje binti anae nivutia katika kiwanda cha Korea Drama. Baadhi yetu hapa mmekuwa mkiwataja wale wanao wavutia kwa namna moja ama nyingine. Nami leo nahitaji kulitoa la moyoni kabisa ili mfamu kuwa kuna binti navutiwa nae kwa jinsi alivyo.

KIM YOO JUNG ndie mwana Dada anae nivutia kunako kiwanda cha kutengeneza Drama bora kabisa dunia, namaanisha Korea Drama. Binti huyu kwa mara ya kwanza nilimfaham katika Drama ya Dong Yi kipindi hicho alikuwa binti mdogo sana.
ff261a9f031f02a2d35b4a4056b3e0d9.jpg
6727ae9b05efb087fc137de56eac1001.jpg


Kim Yoo Jung amezaliwa 22 Septemba 1999 huko Seoul, Korea Kusini. Dada yake Mkubwa Yeon Jung amezaliwa 1996. Mwaka 2008 alipokea tunzo yake ya kwanza baada ya kushinda kipengele cha "Best Child Actress" katika drama ya Iljimae iliyo kuwa ikirushwa kupitia kituo cha KBS kama sikosei vile.
40da93ca183d142cb396b03776ecb754.jpg
42f26501f7ecab204567354db244e39a.jpg


Amecheza katika Drama nyingi tu lakin hizi ndizo ninazo kumbuka.
Dong Yi 2010.
Flame of Desire 2010.
Thread of Lies 2010.
Grudge: The Revolt of Gumiho.
Because I love you 2017.
Secret Door.
Angry Mom.
Love in the moonlight.
Iljimae.
Hizo ni baadhi ya Drama ninazo kumbuka ambazo amecheza mrembo huyu anae vutia zaidi.
d097da79505bba5bc4c2b525436b45f7.jpg
9cefa3149dd550e15a83794c514ccc13.jpg


Mwana Dada huyu Mrembo alikuwa akiwania tunzo ya "Most Beautiful Korean Actress 2017" . Tunzo hizo zilikuwa zikiwalenga waigizaji wa kike wa Korea huenda Song Hye Kyo akaibuka mshindi maana anamzidi kwa mbali sana. Mrembo huyu yuko nafasi ya pili akifuatiwa na mwadada Song Ji Hyo. Mwisho wa upigaji kura ilikuwa 15 Januari.
97b02a7be5835dfbab3cb77d763f2f34.jpg

Pia MwanaDada huyu huyu anawania tunzo ya "Most Beautiful Women in the world 2017". Tunzo hii inalenga kwa Dunia nzima, yuko katika nafasi ya tatu. Mwisho wa kupiga kura ni Januari 25 mpigie kura kupitia link hii
http:/voteformost.net/most-beautiful-women-in-the-world-2017-poll
6363325843a808065ebe344f33291601.jpg


Huyo ndio mrembo ninae muelewe kunako kiwanda cha Korea Drama kila sifa ya uzuri anayo. Kama sikosei alikuwepo katika ugawaji wa Tunzo za KBS za mwaka jana.
b0b177b095debb9ae6b7346375a7fbcf.jpg


Bado anaumri mdogo sana nadhani akiendelea kukitendea kazi kipaji chake huenda akafika mbali sana.
2eb864d78a269961f66552345bad0ab4.jpg
6d11a8ac16e07dd3dd222e1838c24597.jpg

Inna, mumu, Numbisa na Bacyclerbacy mwenzenu huyu hapa.! [emoji16]
 
Na Mm leo acha nimtaje binti anae nivutia katika kiwanda cha Korea Drama. Baadhi yetu hapa mmekuwa mkiwataja wale wanao wavutia kwa namna moja ama nyingine. Nami leo nahitaji kulitoa la moyoni kabisa ili mfamu kuwa kuna binti navutiwa nae kwa jinsi alivyo.

KIM YOO JUNG ndie mwana Dada anae nivutia kunako kiwanda cha kutengeneza Drama bora kabisa dunia, namaanisha Korea Drama. Binti huyu kwa mara ya kwanza nilimfaham katika Drama ya Dong Yi kipindi hicho alikuwa binti mdogo sana.
ff261a9f031f02a2d35b4a4056b3e0d9.jpg
6727ae9b05efb087fc137de56eac1001.jpg


Kim Yoo Jung amezaliwa 22 Septemba 1999 huko Seoul, Korea Kusini. Dada yake Mkubwa Yeon Jung amezaliwa 1996. Mwaka 2008 alipokea tunzo yake ya kwanza baada ya kushinda kipengele cha "Best Child Actress" katika drama ya Iljimae iliyo kuwa ikirushwa kupitia kituo cha KBS kama sikosei vile.
40da93ca183d142cb396b03776ecb754.jpg
42f26501f7ecab204567354db244e39a.jpg


Amecheza katika Drama nyingi tu lakin hizi ndizo ninazo kumbuka.
Dong Yi 2010.
Flame of Desire 2010.
Thread of Lies 2010.
Grudge: The Revolt of Gumiho.
Because I love you 2017.
Secret Door.
Angry Mom.
Love in the moonlight.
Iljimae.
Hizo ni baadhi ya Drama ninazo kumbuka ambazo amecheza mrembo huyu anae vutia zaidi.
d097da79505bba5bc4c2b525436b45f7.jpg
9cefa3149dd550e15a83794c514ccc13.jpg


Mwana Dada huyu Mrembo alikuwa akiwania tunzo ya "Most Beautiful Korean Actress 2017" . Tunzo hizo zilikuwa zikiwalenga waigizaji wa kike wa Korea huenda Song Hye Kyo akaibuka mshindi maana anamzidi kwa mbali sana. Mrembo huyu yuko nafasi ya pili akifuatiwa na mwadada Song Ji Hyo. Mwisho wa upigaji kura ilikuwa 15 Januari.
97b02a7be5835dfbab3cb77d763f2f34.jpg

Pia MwanaDada huyu huyu anawania tunzo ya "Most Beautiful Women in the world 2017". Tunzo hii inalenga kwa Dunia nzima, yuko katika nafasi ya tatu. Mwisho wa kupiga kura ni Januari 25 mpigie kura kupitia link hii
http:/voteformost.net/most-beautiful-women-in-the-world-2017-poll
6363325843a808065ebe344f33291601.jpg


Huyo ndio mrembo ninae muelewe kunako kiwanda cha Korea Drama kila sifa ya uzuri anayo. Kama sikosei alikuwepo katika ugawaji wa Tunzo za KBS za mwaka jana.
b0b177b095debb9ae6b7346375a7fbcf.jpg


Bado anaumri mdogo sana nadhani akiendelea kukitendea kazi kipaji chake huenda akafika mbali sana.
2eb864d78a269961f66552345bad0ab4.jpg
6d11a8ac16e07dd3dd222e1838c24597.jpg

Inna, mumu, Numbisa na Bacyclerbacy mwenzenu huyu hapa.! [emoji16]
Hata mm nna tuzo yangu ujue ohooo[emoji12]
 
Back
Top Bottom