The Immortal Yi Soon Shin.
Hahahahaahhaaaa ngoja kwanza nicheke maana si kwa burudani ile naenjoy kwenye hiyo Drama. Bonge la Drama ambayo haichoshi kutizama mda wote ni burudani na kujifunza mengi. Mkuu
Damushin hii kitu imenibidi niianze tu upya maana sikumbuki ata niliishia episode ya ngapi hahaaa. Mkuu naamini kuwa hii burudani umekwisha anza kuifuatilia hahaha navuta picha vile unaenjoy.
Kinacho nifurahisha katika Drama hizi za Historical hukosi kichwa kilicho bora katika plan. Hahaha yule master plan wa Japanese (Yoshira) mm huyu mzee plan zake nacheka tu.
Huyu mzee ukute ana mshauri General wake Konishi ni burudani tupu na vile yuko serious sasa mm nacheka kweli. Hii Drama hakika ni burudani tosha vile watu wametulia humo na kile wanafanya adi raha aisee.
Admiral Yi Soon Shin, inaonekana huyu kiumbe alikuwa ni moto wa kuotea mbali. Alikuwa ni mwaume mwenye kila sifa inayo mpasa kila mwanaume kuwa nayo.
Mwanaume Jasiri
Mwanaume mwenye upendo kwa watu wake
Mwanaume mbishi kushidwa
Mwanaume Mbunifu
Mwanaume mwenye Msimamo
Mwanaume mwenye kuvutiwa na kupedwa na watu wake. Hii ni kauli moja ya mzee alie itamka baada ya kuingia katika himaya ya Admiral Yi Soon Shin mzee huyo alisema
"This is where the great Admiral Yi Soon Shin is the feared man that drives even the devil away.!". Hakika alikuwa ni mwenye kupedwa sana.
Mwanaume asie ogopa kifo hii ni moja ya sifa yake iliyo wafanya mpaka maadui waogope kiasi kwamba ilifikia kipindi yule Yoshira anamwambia Konishi kuwa "your deal with Yi Soon Shin" hahaaa alikuwa ni mtu balaa sana kwa kweli. Moja ya kauli yake kuhusu kifo ni hii.
"Those who seek death shall live and those who seek life shall die". Kwa kauli hiyo inaonyesha kuwa huyu mwanaume kuhusu kifo yeye alikuwa haofii kabisa, ndio maana ata kipindi anapigwa risasi alizuia kabisa taarifa zisisambae kwa watu.
Ni mwanaume alie kuwa na heshima ya kiwango cha juu na kufuata kanuni vile zinataka. Moja ya tukio lililo waacha watu washangae ni pale alipo toa amri ya kuwaua watu wake watatu walipo kuwa wakijaribu kutoroka na kauli yake ilikuwa hii
"without discipline, order will crumble. And without order we can't fight the enemy. I would do worse to stop the order from crumbling."
Hii ni sanamu yake iliyoko huko mjini Seoul, Korea Kusini
Kim Myoung Min aliye cheza kama Admiral Yi Soon Shin katika Drama hiyo hakika amecheza kwa ufasaha mkubwa Sana. Ameonyesha ni mzuri sana katika kazi hizi za plan ata kwenye Six Flying Dragons alicheza vizuri sana. Kile alicho kifanya kwenye Six Flying Dragons kakizidisha mara dufu hahaaa.
Pongezi kwake kafanya kile alicho weza kufanya.
Mkuu
Damushin Sunbae acha sisi tuendelee kupata burudani na elimu kutoka kwa Admiral Yi Soon Shin kupitia drama ya The Immortal Yi Soon Shin wakati huo akina
EMPTY,
Prishaz, na
aminas wakiendelea kujishauri.
mjr95.