Kwa wapenzi wa Korean Dramas, hii ni thread yako!

Kwa wapenzi wa Korean Dramas, hii ni thread yako!

Battle ya Pil Jo na Harabeoji Imenifanya Nicheke Sana,Pale Mnapokutana Wote wajuzi Na Wote Amshindwi Kwenye Mnachokitaka Ndo Hali Huwa Vile.
Bonge Moja La Vita Ambalo Kuangalia Kwangu kote Drama Sijawahi Ona.
Pil Joo Ni Bae Kabisaa.
Harabeoji Akaamua Atulie Tuuh.
 
RVbLXE.gif

Hii Scene,Lol!! Ma Wang is Crazy..Ila Great Sage Ni Nuts
 
74031fa8e12924de6d6352d7684df16e.jpg

Jeon tae-soo amefariki jana baada ya kusumbuliwa na Depression. Ni muigizaji wa korea ya kusini, drama yake maarufu "Sungkyukwan Scandal". Amefariki akiwa na umri wa miaka 34. Pia ni mdogo wa muigizaji maarufu Ha Ji-won aliyeigiza Empress Ki.
 
KBS President Is Removed From His Position After 141 Days Of Strikes
baada ya siku takribani 141 tokea kuanza mgogoro ndani ya shirika la utangazaji la nchini korea kusini (kbs) hatimae bodi ya wakurugenzi kwa pamoja wamekubali kumfukuza raisi wa shirika hilo anayejulikana kwa jina la KO DAE YOUNG.
mashitaka dhidi ya ko dae young yalifunguliwa rasmi mnamo januari 8/2018 ambapo miongoni mwa mashitaka aliyofunguliwa ni pamoja na kutokuheshimu mamlaka ya waandishi wa habari katika kufanya majukumu ya kazi zao za kila siku.
taarifa rasmi ya makao makuu ya kbs inasema;
Ko-Dae-Young.jpg

tumeshinda japokuwa imetuchukua siku 141 ambazo ni siku 70 zaidi ukilinganisha na mgomo waliofanya MBC ambao nao tulianza mgomo siku moja lakini hatimae KO DAE YOUNG ameondoka, kwa sasa shirika hili ni kama linazaliwa upya.
tumeondoa kikwazo kikubwa sana ambacho kilikuwa kimesimama njiani jambo ambalo lilisababisha kbs kuwa ni kama shirika la mtu binafsi na si taasisi ya wananchi wa korea.
lengo letu si kuwa bora kama miaka 10 iliopita ila dhamira yetu kubwa ni kujitoa kwenye minyororo ya utumwa.
tutaiunda kbs ambayo itagusa moja kwa moja maisha ya wananchi wetu.


wafanyakazi walioshiriki kwenye mgomo huu wamesema wataamua kurudi kazini mnamo januari 24.
NB:
Raisi wa korea kusini ndio ana mamlaka ya kumteua au kumuondoa rais wa shirika la habari la korea (KBS)
 
The Immortal Yi Soon Shin.

Hahahahaahhaaaa ngoja kwanza nicheke maana si kwa burudani ile naenjoy kwenye hiyo Drama. Bonge la Drama ambayo haichoshi kutizama mda wote ni burudani na kujifunza mengi. Mkuu Damushin hii kitu imenibidi niianze tu upya maana sikumbuki ata niliishia episode ya ngapi hahaaa. Mkuu naamini kuwa hii burudani umekwisha anza kuifuatilia hahaha navuta picha vile unaenjoy.

Kinacho nifurahisha katika Drama hizi za Historical hukosi kichwa kilicho bora katika plan. Hahaha yule master plan wa Japanese (Yoshira) mm huyu mzee plan zake nacheka tu.
abb40ff288fb00a6969b0a1d94c69ddd.jpg
Huyu mzee ukute ana mshauri General wake Konishi ni burudani tupu na vile yuko serious sasa mm nacheka kweli. Hii Drama hakika ni burudani tosha vile watu wametulia humo na kile wanafanya adi raha aisee.

Admiral Yi Soon Shin, inaonekana huyu kiumbe alikuwa ni moto wa kuotea mbali. Alikuwa ni mwaume mwenye kila sifa inayo mpasa kila mwanaume kuwa nayo.
Mwanaume Jasiri
Mwanaume mwenye upendo kwa watu wake
Mwanaume mbishi kushidwa
Mwanaume Mbunifu
Mwanaume mwenye Msimamo
Mwanaume mwenye kuvutiwa na kupedwa na watu wake. Hii ni kauli moja ya mzee alie itamka baada ya kuingia katika himaya ya Admiral Yi Soon Shin mzee huyo alisema
"This is where the great Admiral Yi Soon Shin is the feared man that drives even the devil away.!". Hakika alikuwa ni mwenye kupedwa sana.
Mwanaume asie ogopa kifo hii ni moja ya sifa yake iliyo wafanya mpaka maadui waogope kiasi kwamba ilifikia kipindi yule Yoshira anamwambia Konishi kuwa "your deal with Yi Soon Shin" hahaaa alikuwa ni mtu balaa sana kwa kweli. Moja ya kauli yake kuhusu kifo ni hii.

"Those who seek death shall live and those who seek life shall die". Kwa kauli hiyo inaonyesha kuwa huyu mwanaume kuhusu kifo yeye alikuwa haofii kabisa, ndio maana ata kipindi anapigwa risasi alizuia kabisa taarifa zisisambae kwa watu.
Ni mwanaume alie kuwa na heshima ya kiwango cha juu na kufuata kanuni vile zinataka. Moja ya tukio lililo waacha watu washangae ni pale alipo toa amri ya kuwaua watu wake watatu walipo kuwa wakijaribu kutoroka na kauli yake ilikuwa hii

"without discipline, order will crumble. And without order we can't fight the enemy. I would do worse to stop the order from crumbling."
759006a55afc3f272c30864dde84a01a.jpg


Hii ni sanamu yake iliyoko huko mjini Seoul, Korea Kusini
82ab0be9f1a343ce32f1656fda0aa67e.jpg
43dd57d1ed63478514cca9369dfde314.jpg


Kim Myoung Min aliye cheza kama Admiral Yi Soon Shin katika Drama hiyo hakika amecheza kwa ufasaha mkubwa Sana. Ameonyesha ni mzuri sana katika kazi hizi za plan ata kwenye Six Flying Dragons alicheza vizuri sana. Kile alicho kifanya kwenye Six Flying Dragons kakizidisha mara dufu hahaaa.
f06ead0c2bcf0c9d01f80e42ff0c22c6.jpg
Pongezi kwake kafanya kile alicho weza kufanya.

Mkuu Damushin Sunbae acha sisi tuendelee kupata burudani na elimu kutoka kwa Admiral Yi Soon Shin kupitia drama ya The Immortal Yi Soon Shin wakati huo akina EMPTY, Prishaz, na aminas wakiendelea kujishauri.

mjr95.
 
180122-7143-4-j7dZL.jpg


DT_WnuVU8AEj9z9.jpg


DT_ajK2VAAEkF54.jpg


Song Song Couple. Wapo kwenye Maonyesha Ya Mavazi Ya Kiume Na Kike Mjini Paris Yanayojulikana Kwa Jina La
DIOR FASHION WEEK
Ambapo Song Jong Ye Aliudhulia Ya Kiume Inayoitwa DIOR HOMME, Na Song Hye Ye aliudhulia Ya CHRISTIAN DIOR (HAUTE COUTURE)
Wote Kwa Pamoja As Married Couple Wamehudhulia Hii Show Safi Sana...Mungu Azidi Kuwatangulia
 
Maonesho-Ona
Maonyesho-Onyo
1.Umemwona dj muphy anayetafsiri series za kiokorea?
2.Ukiiba series yangu ya kikorea nitakuonyesha.
 
Back
Top Bottom