Kwa wapenzi wa Korean Dramas, hii ni thread yako!

Kwa wapenzi wa Korean Dramas, hii ni thread yako!

Actor Jo Min Ki Gets Fired From University For Alleged Sexual Harassment
Jo-Min-Ki1.jpg

mapema asubuhi ya tarehe 20 february mtumiaji mmoja wa mitandao ya kijamii aliweka taarifa kwenye ukurasa wake inayomuhusu muigizaji jo min ki kumfanyia vitendo vya udhalilishaji wa kijinsia mwanafunzi wa kike wakati alipokuwa akifanya kazi kama professor katika chuo kikuu cha cheongju.
baada ya kufanyika kwa uchunguzi muigizaji huyo alikutikana na hatia hivyo basi uongozi wa chuo umeamua kumvua nyadhifa ya uprofesa kwenye chuo.
ujumbe huo umeshafutwa lakini tokea mwezi november jo min ki alifanyiwa uchunguzi kuhusiana na sakata hilo la kumnyanyasa mwanafunzi wa kike.
"kiukweli hatujui kiundani maelezo ya mashtaka ya unyanyasaji wa kijinsia, lakini pia tunazuia kutoa taarifa ili kulinda faragha ya wanafunzi wetu."
ni kweli adhabu imewekwa kwa jo min ki na wizara ya jinsia na usawa pamoja na bodi ya wakurugenzi hivyo maamuzi ya mwisho yatatolewa ndani ya siku mbili hizi.
miongoni mwa drama alizoshiriki jo min ki ambaye kielimu ni professor ni pamoja na
admiral yi soon shin = mfalme seonjo
queen seondeok =mfalme jin pyeong
scarlet heart ryeo = mfalme wang gun
two weeks = moon il seok
east of eaden = shin tae hwan
five fingers = yoo man se
 
Jamani jamani huyu mbaba nnavyompendaga daah kweli nimeumia
 
Lee Seung Gi’s Agency Responds To Reports Of New Drama Casting
vyombo vya habari nchini korea vimeandika ya kwamba muigizaji na mwanamuziki lee seun gi amepata offer ya kuigiza kwenye drama inayokwenda kwa jina la Vagabond.
Hook Entertainment ambao wanamsimamia muigizaji huyo leo hii wametoa taarifa rasmi kuhusiana na uvumi huo.
ni kweli lee seung gi amepata offer ya kuigiza kwenye drama mpya licha ya kuwa anashiriki kwenye drama ya Hwayugi lakini mpaka sasa hajapata muda wa kuitathmini ofa hiyo,pia hajapokea script za drama hiyo hivyo basi lee seung gi hatoshiriki kwenye drama hiyo ambayo inategemea filming kuanza mwezi March.
Vagabond ni drama inayokadiriwa kuwa na bajeti ya won billion 20 (usd million 18) na itasimamiwa na kampuni ya Celltrion Entertainment, itaongozwa na PD Yoo In Shik (giant drama, history of salary man drama) na inategemewa kuonyeshwa na kituo cha SBS.
2538a50f26ead0b41d01df0fb5b7752501c417de671f89d34e93d7316d28483f.jpg

NB
nadhani amefanya maamuzi sahihi ya kupumzika,aminas noona si muende likizo japo pemba mukachume karafuu pamoja na lee seung gi, ukifanya masihara oh yeon soo atamchukua.
 
Actress Song Ha Neul Testifies On Sexual Harassment + Jo Min Ki Steps Down From Drama
Song-Ha-Neul-Jo-Min-Ki.jpg

Muigizaji song ha neul ambaye anafanya shughuli zake kwenye kumbi maalum (theatre) amezungumzia shutuma za unyanyasaji wa kijinsia zinazomkabili muigizaji jo min ki ambaye pia ni professor wa chuo kikuu.
Ikumbukwe kuwa upande wa chuo umethibitisha ya kwamba wamefanya uchunguzi juu ya suala hilo lakini upande wa jo min ki wamekanusha taarifa hizo na kuzichukulia kama ni uvumi kwa mteja wao, muigizaji huyo anasema vitendo vyake vya kuwagusa wanafuzi na kuwakumbatia (physical touch) hakuwa na malengo ya unyanyasaji wa kijinsia (molestation) ila ni kuwapa morali na matumaini ya kufikia malengo ya mafanikio (encouragement).
lakini upande mwengine siku ya jana muigizaji song ha neul aliandika kwenye ukurasa wake wa facebook kuhusiana na unyanyasaji wa kijinsia anaoufanya jo min ki kwa wanafunzi wake.
" mimi ni rookie actress ambaye ninafanya kazi zangu kwenye kumbi maalum za sanaa, na nilianza kazi baada ya kuhitimu elimu yangu kwenye chuo kikuu cha cheong ju. kiukweli huwa najaribu kusahau mambo yaliopita yaliowahi kunitokezea ila baada ya kusoma taarifa ya jo min ki ambayo anajitetea ya kwamba hana makosa juu ya shutuma za unyanyasaji wa kijinsia nimeshikwa na hasira sana.
mambo ambayo mimi,marafiki na wanafunzi wenzangu tumeyapitia na kuyavumilia sio "victimless rumors" wala sio uvumi na hadithi za kupanga.
mimi si mpumbavu kama nashindwa kutofautisha kati ya unyanyasaji wa kingono (molestation) na vitendo vya kumpa mtu morali (encouragement).kiukweli tumekutana na vitendo vingi vya unyanyasaji wa kijinsia ila niliogopa kuzungumzia suala hili hadharani na mpaka sasa pia naogopa kulizungumzia suala hilo lakini kama nitaendelea kuogopa kuna waathirika wengi wataendelea kuishi kwa uoga na khofu ndio maana leo nimeamua kulizungumzia suala hili.
mwaka 2013 wakati naingia chuoni walionizidi walinitahadharisha kuwa makini na jo min ki kuhusiana na vitendo vyake,lakini kwetu sisi wanafunzi tuliokuwa tunajifunza kuwa waigizaji wa theatre Professor jo min ki alikuwa na nguvu sana hivyo basi hakuna ambaye alithubutu kulalamikia vitendo vyake chuoni kwa sababu yeye alikuwa ni kama mfalme kwenye campus yetu na pia ni muigizaji mkubwa sana.
professor jo min ki alikuwa na officetel yake karibu na kampasi ya chuo hivyo basi alipokuwa anakuja kusomesha mara kwa mara alikuwa akiwaalika wanafunzi wa kike kwenye officetel yake wakati wa usiku, na alikuwa akiwaambia wanakwenda kujadili kuhusiana na uigizaji na masomo. njia pekee ya kuepukana na kadhia yake ilikuwa ni kwenda pamoja na marafiki zetu.
tulipokuwa tunakwenda mara nyingi alitaka tulale kwenye apartment yake na alitupa miswaki na nguo za kubadilisha. siku moja mimi na rafiki yangu tuliingia chooni na kufungua mfereji ili asisikie mazungumzo yetu wakati tulipokuwa tunajadili jinsi gani ya kuweza kutoroka ila tulishindwa kupata njia ya kutoroka hivyo basi baada ya kutoka chooni aliitulazimisha kulala kwenye kitanda chake.
baada ya hapo alipanda juu yangu na kunipaka lotion usoni huku akiniambia hii ni ya gharama sana na kiukweli sikuwa na chakufanya na akalala katikati yetu na kuanza kutupapasa na kuweka mikono yake kwenye viuno vyetu na aliendelea kufanya vitendo hivyo mara kwa mara na mpaka alipopata usingizi asubuhi yake tuliweza kuondoka
siku moja aliniita tena ofisini kwake lakini nikaamua kwenda na boyfirend wangu lakini bahati mbaya boyfriend wangu alikuwa ni dhaifu kwenye ulevi hivyo basi alipatwa na usingizi baada ya kulewa,niliogopa kwa kuhofia jambo baya litatokezea na sitopata msaada.
professor akaanza kuniuliza maswali kuhusiana na boyfriend wangu na mahusiano yetu
je tunafanya mapenzi mara ngapi kwa wiki
nilishikwa na aibu ila niliishia kucheka na nilijiapia siku hiyo nisilewe.Baadae jo min ki alikwenda kitandani baada ya kulewa na nilijaribu kumuamsha mpenzi wangu lakini hakuamka,professor akaniita chumbani kwake na ghafla akaanza kunigusa kifuani kwangu na nilipoanza kujipapatua akanicheka na kuniambia kumbe matiti yangu ni madogo sana kuliko nilivyodhania.
nilikereka sana nikaamua kumuamsha mpenzi wangu na kutoka kwenye officetel, siku ya pili tulipoonana alijifanya kama hakuna chochote kilichotokea usiku wa jana.
aliendelea kutuita ofisini kwake mara kwa mara na kutulazimisha tunywe pombe na siku moja senior student alilewa sana na kushindwa kujielewa baadae akatulazimisha tuondoke na kumlaza mwenzetu chumbani kwake lakini mimi nilikataa na nikalazimisha kuondoka na mwanafunzi mwenzetu jambo lililomkera jo min ki na kunitishia ya kwamba atanidhalilisha mbele ya hadhara.
mwaka 2014 tulikwenda karaoke room na jo min ki akaanza kutukumbutia kwa kutumia kisingizio cha kutupa pongezi na kuwataka wanafunzi wa kike kucheza muziki na kuanza kuwagusa sehemu ya kifua bila ya kujali kama yupo mbele yetu na alimvuta mwanafunzi mmoja ukutani na kumweka style ya kufanya mapenzi.
wakati tulipomuaga alikamata uso wangu na alinipiga busu la mdomo, kiukweli alitufanyia vitendo vingi vya kingono na mara nyingi ninapowaeleza watu yangu najihisi kama ni makosa yangu mwenyewe ila kwa sasa nimeifunza ya kwamba hayakuwa ni makosa yangu.
kiukweli waathirika wa vitendo hivi hawapaswi kuwa kimya na mtuhumiwa hapaswi kulindwa.
Song-Ha-Neul-post.jpg

NB:
In South Korea, an officetel (Korean: 오피스텔, a portmanteau of 'office' and 'hotel'), is a multi-purpose building with residential and commercial units. This is a type of studio apartment or studio flat.
 
Park Bo Gum Graduates From Myongji University
Park-Bo-Gum-1-XPN.jpg

On February 21, the actor attended his graduation at Myongji University in Yongin. Ahead of the ceremony, he commented with a smile,
“Thank you for coming all the way here. I am so nervous for graduation. I learned a lot over four years, and I want to thank my schoolmates, seniors, juniors, and professors.”
Park-Bo-Gum-4-XPN.jpg

Park Bo Gum entered Myongji University in 2014 as a musical theatre major. He is known to have attended school very diligently and is graduating after exactly four years. In July 2017, he also participated in the senior graduation musical “Hairspray” as the music director.
Park-Bo-Gum-5-XPN.jpg
 
Lee Hyun Woo Enlists In The Military
Lee-Hyun-Woo1.jpg

On February 19, he entered the 1st Division recruit training center in Paju.
Before he entered, he commented with a smile, “I am excited. I am not sure why, but I am excited.”
He shared that he is not worried at all and slept well. For his last meal before enlisting, he ate bulgogi (marinated beef) and short rib soup.
When asked if he received advice from celebrity friends, he responded, “They gave me a lot of advice.
Park Seo Joon hyung did, and Kim Soo Hyun hyung is also in the military, and when I contacted him during his breaks, he told me a lot of helpful things.”
A few days prior, Lee Hyun Woo shared a photo after getting his hair cut. The image shows the message “Come back safe” written with his hair.
After five weeks of basic training, he will continue on active duty with his official assignment.

Kheri ya kuzaliwa iwe kwake mwandada han hyo joo kwa kutimiza miaka 31. nilimpeda sana kwenye W drama, iljimae na dong yi.

CnoLGf2UIAA3NUn.jpg

saeng il chuk ha ham ni da
saeng il chuk ha ham ni da
sarang ha neun -- (han hyo joo) shi
saeng il chuk ha ham ni da
 
Park Bo Gum Graduates From Myongji University
Park-Bo-Gum-1-XPN.jpg

On February 21, the actor attended his graduation at Myongji University in Yongin. Ahead of the ceremony, he commented with a smile,
“Thank you for coming all the way here. I am so nervous for graduation. I learned a lot over four years, and I want to thank my schoolmates, seniors, juniors, and professors.”
Park-Bo-Gum-4-XPN.jpg

Park Bo Gum entered Myongji University in 2014 as a musical theatre major. He is known to have attended school very diligently and is graduating after exactly four years. In July 2017, he also participated in the senior graduation musical “Hairspray” as the music director.
Park-Bo-Gum-5-XPN.jpg
Hongera Zake...
Nimeona Hii Leo Naona Watu Wameifanya itrend kila Kona.
 
Kheri ya kuzaliwa iwe kwake mwandada han hyo joo kwa kutimiza miaka 31. nilimpeda sana kwenye W drama, iljimae na dong yi.

CnoLGf2UIAA3NUn.jpg

saeng il chuk ha ham ni da
saeng il chuk ha ham ni da
sarang ha neun -- (han hyo joo) shi
saeng il chuk ha ham ni da
A k a Mrs Jong Suk.
Mi Tabasamu lake Tuuh Kama Min young.

Hongera Ya kuongOza Mwaka.
 
Lee Seung Gi’s Agency Responds To Reports Of New Drama Casting
vyombo vya habari nchini korea vimeandika ya kwamba muigizaji na mwanamuziki lee seun gi amepata offer ya kuigiza kwenye drama inayokwenda kwa jina la Vagabond.
Hook Entertainment ambao wanamsimamia muigizaji huyo leo hii wametoa taarifa rasmi kuhusiana na uvumi huo.
ni kweli lee seung gi amepata offer ya kuigiza kwenye drama mpya licha ya kuwa anashiriki kwenye drama ya Hwayugi lakini mpaka sasa hajapata muda wa kuitathmini ofa hiyo,pia hajapokea script za drama hiyo hivyo basi lee seung gi hatoshiriki kwenye drama hiyo ambayo inategemea filming kuanza mwezi March.
Vagabond ni drama inayokadiriwa kuwa na bajeti ya won billion 20 (usd million 18) na itasimamiwa na kampuni ya Celltrion Entertainment, itaongozwa na PD Yoo In Shik (giant drama, history of salary man drama) na inategemewa kuonyeshwa na kituo cha SBS.
2538a50f26ead0b41d01df0fb5b7752501c417de671f89d34e93d7316d28483f.jpg

NB
nadhani amefanya maamuzi sahihi ya kupumzika,aminas noona si muende likizo japo pemba mukachume karafuu pamoja na lee seung gi, ukifanya masihara oh yeon soo atamchukua.
Kuna Page Nilishwahi andika kuhusu Hii Ishu ya kupumzika lol!! Anatumika Sana. Ana Ishu kibao Yaani.

Sina jinsi Tuuh Maana na Ela pia Tunataka, Ila Hmmmm!!!!
 
Kuna Page Nilishwahi andika kuhusu Hii Ishu ya kupumzika lol!! Anatumika Sana. Ana Ishu kibao Yaani.

Sina jinsi Tuuh Maana na Ela pia Tunataka, Ila Hmmmm!!!!
fedha ni muhimu lakini afya ni muhimu zaidi kwa ustawi wa mwanadamu, hawa wasanii huchoka sana wakati wa uigizaji, kwa sababu kila screen ina muda wake wa kuigiza,unaweza ukakuta muda wako bado ina maana unapaswa kusubiria muda wako ufike jambo linalopelekea muda wa kupumzika kuwa ni mdogo, wakati huo huo pengine una shughuli ya kushoot show nyengine. lazima uchoke
 
Back
Top Bottom