Gyeoul
JF-Expert Member
- Jan 28, 2015
- 3,758
- 5,365
Wae!????Sitaki
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Wae!????Sitaki
Hmmmm!!!!Hizi drama za mishikaki (love triangle) stori zake ndio zile zile (yaani una-predict kirahisi kabisa).
Mfano:- Kwenye "The King Loves" nilisoma plot yake ambayo ni hii.
Won (Siwan) is a crown prince of Goryeo. He has a pretty appearance, but he also has a lust for conquest. He is best friends with Wang Rin (Hong Jong-Hyun) who comes from a royal family and is his bodyguard. Beautiful Eun San (Yoona) appears in front of the two young men. She is the daughter of the richest man. The three become good friends, but things change after Wang Won and Wang Rin both fall in love with Eun San.
Sasa hapo kwenye red si ndiyo nikaona huu (drama) utakuwa moto wa kuotea mbali lakini mwisho wa siku, ndio yale yale! Pumbavu zao.
Ila drama nyingi Za Historical Zina Izi Mambo Sana. Ya kwenda kinyume na Mategemeo.Hizi drama za mishikaki (love triangle) stori zake ndio zile zile (yaani una-predict kirahisi kabisa).
Mfano:- Kwenye "The King Loves" nilisoma plot yake ambayo ni hii.
Won (Siwan) is a crown prince of Goryeo. He has a pretty appearance, but he also has a lust for conquest. He is best friends with Wang Rin (Hong Jong-Hyun) who comes from a royal family and is his bodyguard. Beautiful Eun San (Yoona) appears in front of the two young men. She is the daughter of the richest man. The three become good friends, but things change after Wang Won and Wang Rin both fall in love with Eun San.
Sasa hapo kwenye red si ndiyo nikaona huu (drama) utakuwa moto wa kuotea mbali lakini mwisho wa siku, ndio yale yale! Pumbavu zao.
Bora tu niendelee kuangalia Waikiki! Moyo utafurahi. Ha!Ila drama nyingi Za Historical Zina Izi Mambo Sana. Ya kwenda kinyume na Mategemeo.
Acha uchonganishi, hyungnim. LOL!Ulimficha wapi ndugu yangu?
Acha uchonganishi, hyungnim. LOL!
hahahahaaaa kwa kukisia[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] mnataka kujiona wote kina sunbae au oppa??
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] mnataka kujiona wote kina sunbae au oppa??
Hah ha ha! Jiwe gizani.