Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Omo! Omo! Omo. Ulikuwa wapi chingu? Bugoshipo-yo!![]()
Anyeonghaseyo.
Drama Bora Ya Mwaka Imeisha na Imeanza Drama Bora Nyengine Ya Mwaka.
![]()
Mkuu inaitwaje![]()
Anyeonghaseyo.
Drama Bora Ya Mwaka Imeisha na Imeanza Drama Bora Nyengine Ya Mwaka.
![]()
Iyo Ya Juu Inaitwa A Korean Odyssey.Mkuu inaitwaje
Iyo Ya Juu Inaitwa A Korean Odyssey.
Iyo Ya Chini Inaitwa Grand Prince Ni Mpya Kabisaa
daebak yaani huwezi kuamini hii notification yako nilipoiona nimeifungua faster kama shambulizi la wasiojulikana, aigooooo hata kama ungelinitukana pia ningefurahia siku ya leo, unajua kuna maandishi mangapi nimeyafuta kwa sababu nimekosa kuona notification zako?Mcd u Moree,
Kuna Ishu Inanifanya Nakuwa Sipatikani Kidogo Ila Nipo.
Niliwamis Umu Ndani Lol!
Damushin Bogoshipo
Aksante Kwa Huu Upendo Sikuwa Najua Etii.daebak yaani huwezi kuamini hii notification yako nilipoiona nimeifungua faster kama shambulizi la wasiojulikana, aigooooo hata kama ungelinitukana pia ningefurahia siku ya leo, unajua kuna maandishi mangapi nimeyafuta kwa sababu nimekosa kuona notification zako?
kila wakati nilibaki kujiuliza hivi lile andiko langu nililiokuwa nawaomba matajiri muwape nafasi celebrities wetu wawatangazie biashara zenu limemkera noona.
karibu tena
aleumdaun agassi
Lol! Siwezi Fanya Ivyo Japo Nilitaka kidogo Uniongopee Kama Umenimic Hahahahah!!LOL! Nilidhani nawe ulikuwa unalipa kisasi maana si kwa kupotea huko.
Anyways, karibu tena kijiweni my chingu!
Nenda Kwenye Hizi Site.nisaidie link ya site nzuri ambayo naweza angalia series online chief
Ata Suzy Wengi Walembeza Wakati Anaanza Kuigiza Ata Ile Drama Ya Gu Family Book Wengi Walimsema Kuwa Akuigiza Vizuri Ila Leo Yupo Wapi...beautiful lady jin se yeon ananirudisha kwenye starehe yangu baada ya siku 30, asilimia kubwa ya wapenzi wa korean drama wanamchukia huyu dada na wanasema uwezo wake wa kuigiza ni mdogo ila ngoja nimuangalie vizuri kwenye grand prince,
kumbe Yoon Shi-yoon ndiye aliyeigiza uhusika wa kim tak gu kwenye drama ya king of baking.cha kushangaza wanaomchukia zaidi ni wasichana.
grand prince episode 2 loading........
![]()
Sunbae, kumbe huyo noona ndiye muhusika mkuu kwenye Grand Prince?beautiful lady jin se yeon ananirudisha kwenye starehe yangu baada ya siku 30, asilimia kubwa ya wapenzi wa korean drama wanamchukia huyu dada na wanasema uwezo wake wa kuigiza ni mdogo ila ngoja nimuangalie vizuri kwenye grand prince,
kumbe Yoon Shi-yoon ndiye aliyeigiza uhusika wa kim tak gu kwenye drama ya king of baking.cha kushangaza wanaomchukia zaidi ni wasichana.
grand prince episode 2 loading........
![]()
Ulikuwa Hutaki Iangalia?Sunbae, kumbe huyo noona ndiye muhusika mkuu kwenye Grand Prince?
Sura yake sikuwa nimeitazama vizuri ila hilo smile limerudisha kumbukumbu kwa kweli! LOL!
aminas,
Naamua rasmi kufuta uamuzi wangu wa kutoiangalia hiyo drama. Huyo noona namkubali kupita maelezo.
Baadhi ya dramas alizoshiriki ambazo nimeziona ni "Doctor Stranger" & "The Flower in Prison".
Neeeee! Wae-yo?Ulikuwa Hutaki Iangalia?
Sunbae,aigooooo kumbe nilikuwa nakosa burudani kwa kipindi cha mwezi mmoja, hii waikiki drama inakufanya usahau dhiki zote za maisha zilizo mbele yako, naandika comment hii muda huu nikiwa naangalia episode ya kwanza.
wajinga watatu katika ubora wao uliotukuka pamoja na mtoto wao............
hahahahahahaha nimeangalia dakika ya 40 lakini nimeshacheka mara 20.
halafu kwa taarifa zilizotoka jana ni kwamba waikiki imeongezwa episode 4 zaidi hivyo basi itakuwa na jumla ya episode 20.
huyu mjinga aliyevaa nguo nyekundu ananifurahisha sana pale anaposhindwa kufahamu lugha ya ishara.
![]()