Kwa wapenzi wa Korean Dramas, hii ni thread yako!

Kwa wapenzi wa Korean Dramas, hii ni thread yako!

Sunbae,
Fanya kuangalia eps zilizobaki hutojutia. Idiots watatu wamekutana humo ni full kuvunja mbavu! Nipo ep ya 8.
하하하 하하아아아 yaani kila tukio litakuacha na kicheko, heshima kwake muandishi na msimamizi wa hii project kwa kazi nzuri wanayoifanya, hivi kwa hali hii watatimiza ndoto zao walizojiwekea kwenye maisha?
mhhhhhhh ngoja niangalie episode ya 2.
 
Sunbae, kumbe huyo noona ndiye muhusika mkuu kwenye Grand Prince?
Sura yake sikuwa nimeitazama vizuri ila hilo smile limerudisha kumbukumbu kwa kweli! LOL!

aminas,
Naamua rasmi kufuta uamuzi wangu wa kutoiangalia hiyo drama. Huyo noona namkubali kupita maelezo.
Baadhi ya dramas alizoshiriki ambazo nimeziona ni "Doctor Stranger" & "The Flower in Prison".
flower in prison wakati inaonyeshwa kwenye kituo cha mbc nilikuwa naifuatilia lakini baadae niliishia njiani, hivi baadae anakuja kuwa na heshima gani yule msichana ok nyeo.
The%2BFlower%2Bin%2BPrison%2B6.jpg
 
Jang Hyuk revealed his reasons for not appearing in OCN 'Voice Season 2'.
Jang Hyuk recently had an interview after MBC 'Money Flower' ended. He said, "I cannot show a new look with 'Voice 2," and "I would have to play a character that is similar to the season 1 unfortunately".
Jang Hyuk is currently discussing the appearance in SBS new drama 'Greasy Melo'. "I want to do a lot of work as long as I am able to ," he said.
205270_171165_1856.jpg
 
flower in prison wakati inaonyeshwa kwenye kituo cha mbc nilikuwa naifuatilia lakini baadae niliishia njiani, hivi baadae anakuja kuwa na heshima gani yule msichana ok nyeo.
The%2BFlower%2Bin%2BPrison%2B6.jpg
Sasa si nitakuwa naharibu kwa ambao bado hawajaiona! Acha hizo sunbae we fanya kuimalizia utaona. LOL!
 
tvN wapo vizuri sana kwenye kuchagua waigizaji kupitia project zao.
lee joon gi amechaguliwa kuwa muigizaji mkuu wa drama inayokwenda kwa jina la lawless lawyer,ni drama inayozungumzia maisha ya mwanasheria Bong Sang Pil ambaye anaamua kutumia ngumi kwa ajili ya kutatua migogoro inayopaswa kutatuliwa kwa sheria.
tanzania tunahitaji wanasheria wenda wazimu kama hawa

하하하 하하아아아하하하 하하아아아 ukileta ujinga hamuna kunukuu vifungu vya sheria ni mwendo wa ngumi ya uso kama kibaka.
na ninavyompemnda lee joon gi kwenye martial arts yupo vizuri sana.

Lee-Joon-Gi1.jpg
 
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
You guys in this thread, mnapata wap time ya kuwafuatilia wakorea hadi vyumba wanavyo lala?

Khaa!

I mean mna pata wap access
Siyo time
Maana time najua watu wanayo
 
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
You guys in this thread, mnapata wap time ya kuwafuatilia wakorea hadi vyumba wanavyo lala?

Khaa!
[emoji23] [emoji23] [emoji23] umenifanya niangue kicheko. Kwani watu wanapata wapi muda wa kumfuatilia Diamond Platnumz hadi boxer aliyovaa?
 
[emoji23] [emoji23] [emoji23] umenifanya niangue kicheko. Kwani watu wanapata wapi muda wa kumfuatilia Diamond Platnumz hadi boxer aliyovaa?
Hahaha
Imebid niongeze
I just ment access sina maana ya time kwa maana ya muda. Mi huwa nangalia drama zao tuu maisha yanasonga

Sijawahi mfuatilia diamond kavaa boxer gani, may be umechanganya watu.
 
Hahaha
Imebid niongeze
I just ment access sina maana ya time kwa maana ya muda. Mi huwa nangalia drama zao tuu maisha yanasonga

Sijawahi mfuatilia diamond kavaa boxer gani, may be umechanganya watu.
Sijasema wewe ndio unafuatilia...namaanisha kuwa interested na mastaa unaoangalia kazi zao ni kitu cha kawaida. Suala la access nadhani tumuulize Damushin sunbae na aminas
 
Sijasema wewe ndio unafuatilia...namaanisha kuwa interested na mastaa unaoangalia kazi zao ni kitu cha kawaida. Suala la access nadhani tumuulize Damushin sunbae na aminas
Aaah
Humu ndani kuna watu wamezidi jaman.
Sema tunatofautina hobbie [emoji23].

Mimi napenda drama zao tuu. Ila majina yao yenye kushika kazi. Ila hapa kuna ntu anajua mpaja wamezali kijiji gani huko Korea! Mweeh!
 
Back
Top Bottom