Kwa wapenzi wa Korean Dramas, hii ni thread yako!

Breaking: Actor Jo Min Ki Found Dead
Jo-Min-Ki.jpg
kama tutakuwa ni wafuatiliaji wazuri wa taarifa zinazowahusu korean celebrities kwenye mitandao na hata kwenye thread yetu pendwa nakumbuka niliwahi kuweka tarifa zinazomuhusu jo min ki ambaye ni veteran actor na pia ni professor wa chuo kikuu kushutumiwa kutumia umaarufu wake na nguvu yake kwa kuwanyanyasa kingono wanafunzi wa kike wa fani ya uigizaji na hata wafanyakazi wa sanaa ya uigizaji. kwa mujibu wa taarifa za leo ni kwamba jo min ki amefariki dunia na mwili wake umekutikana storage room karibu na ghorofa ya maegesho ya magari kwenye apartment yake anayoishi.
kwa mujibu wa taarifa ni kwamba wa kwanza kuuona mwili wa marehemu alikuwa ni mke wake na ndipo akaamua kuita polisi.
polisi hawajapata ushahidi wowote wenye kuonyesha ya kwamba jo min ki ameuliwa hivyo basi kuwepo uwezekano wa jo min ki amejiuwa lakini polisi bado wanaendelea na uchunguzi.
kupitia kampeni ya me too mnamo tarehe 20 february ndio zilipoanza shutuma za unyanyasaji wa kijinsia kwa jo min ki wakati alipokuwa ni professor wa chuo kikuu cha cheongju na licha ya kuwa alikanusha shutuma hizo lakini siku chache baadae muigizaji Song Ha Neul na wenzake walianza kusimulia matukio waliofanyiwa na jo min ki walipokuwa ni wanafunzi.
kwa mujibu wa taarifa za kituo cha polisi bwana jo min ki alipaswa kuhudhuria kituo cha polisi siku ya tarehe 12 machi kwa mahojiano juu ya kesi zinazomkabili.
Khantwe noona, aminas noona, EMPTY dongsaeng,Prishaz noona na wajoseon wengine tunapaswa leo tusahau mabaya yote aliyowahi kuyafanya marehemu na tumtakie kila kheri huko aendako, ni maumivu makubwa sana yanayowapata wanafamilia yake kwa kipindi hiki.

miongoni mwa drama nilizoziona ambazo ameshiriki jo min ki ni pamoja na
2 weeks
scarlet heart ryeo
queen seondeok

RIP JO MIN KI ahjussi.​
 
Letter Written By Jo Min Ki Surfaces After His Death
After his death was confirmed, it came to light that Jo Min Ki had handwritten a letter and delivered it to the media outlet Dispatch on February 26. His agency decided not to release the letter and opted for an official statement of apology instead.
Jo-Min-Ki1.jpg

The letter reads:
“Everything is my fault, my crime.
I was caught off-guard by it all and as time passed that became increasingly difficult for me to bear, I became a cowardly person who evaded and denied the issue.
I am ashamed and sorry. During the past seven years, I had no choice but to become a stern professor to my juniors who had begun the difficult path to become an actor.
In private, I tried to let go of that sternness. I want to apologize from the bottom of my heart to the juniors who felt humiliated or ashamed in that situation.
I am both sorry to you and grateful that at least now I can repent of my arrogance and wrongdoing.
Finally, I apologize to Cheongju University and the students of the theater department who are still devoting themselves sincerely to their art.”

Breaking: Lee Dong Wook And Suzy Confirmed To Be Dating

Love may be in the air for these two celebrities!
According to a report made on March 9 by news outlet TV Report, Lee Dong Wook and Suzy are reportedly dating. While they originally were just colleagues, their relationship recently progressed to a romantic one according to one source. Suzy had also previously named Lee Dong Wook as her ideal type back in 2012 during an appearance on SBS’s “Strong Heart.”
Various sources from the industry also shared that Lee Dong Wook fell for Suzy’s down-to-earth character. The couple are said to get along because of their similarly bright personalities, and have reportedly been spotted carefully going on dates together.
Both Lee Dong Wook’s and Suzy’s agencies — King Kong by Starship and JYP Entertainment – have stated they are currently checking with their respective artists.

Lee-Dong-Wook-Suzy-2.png

kutokana na tofauti yao ya kiumri ninaamini uhusiano wao utadumu kwa muda mrefu na kutimiza malengo yao waliojiwekea.
aigoooo hizi habari sijui ni nzuri au mbaya kwa Khantwe na kachumba chake lee min ho.
ngoja tusubiri na tuone kama hii stori ina ukweli wowote au ni kama kick za mastar wa bongo movies
 
Lee Jong Suk In Talks To Star In New SBS Drama

On March 9, it was reported that the actor would be appearing in SBS’s upcoming drama “Hymn of Death.” A YG Entertainment source responded by stating, “Lee Jong Suk is currently positively considering an offer to appear in the upcoming SBS two-part series.”
The drama will be a remake of the 1991 film, which is based on the tragic true story of Yun Sim Deok, the first female soprano to achieve fame in Korea, and her lover, genius playwright Kim Woo Jin. The story has also been adapted into a musical as well.
If Lee Jong Suk takes the offer, he will be playing the male lead, Kim Woo Jin, and he will be reuniting with PD Park Soo Jin, as they both worked on SBS’s “While You Were Sleeping” in 2017. The drama will be a two-part series and a broadcast date has not been decided yet.
Lee-Jong-Suk.jpg
 
Breaking: Actor Jo Min Ki Found Dead
Jo-Min-Ki.jpg
kama tutakuwa ni wafuatiliaji wazuri wa taarifa zinazowahusu korean celebrities kwenye mitandao na hata kwenye thread yetu pendwa nakumbuka niliwahi kuweka tarifa zinazomuhusu jo min ki ambaye ni veteran actor na pia ni professor wa chuo kikuu kushutumiwa kutumia umaarufu wake na nguvu yake kwa kuwanyanyasa kingono wanafunzi wa kike wa fani ya uigizaji na hata wafanyakazi wa sanaa ya uigizaji. kwa mujibu wa taarifa za leo ni kwamba jo min ki amefariki dunia na mwili wake umekutikana storage room karibu na ghorofa ya maegesho ya magari kwenye apartment yake anayoishi.
kwa mujibu wa taarifa ni kwamba wa kwanza kuuona mwili wa marehemu alikuwa ni mke wake na ndipo akaamua kuita polisi.
polisi hawajapata ushahidi wowote wenye kuonyesha ya kwamba jo min ki ameuliwa hivyo basi kuwepo uwezekano wa jo min ki amejiuwa lakini polisi bado wanaendelea na uchunguzi.
kupitia kampeni ya me too mnamo tarehe 20 february ndio zilipoanza shutuma za unyanyasaji wa kijinsia kwa jo min ki wakati alipokuwa ni professor wa chuo kikuu cha cheongju na licha ya kuwa alikanusha shutuma hizo lakini siku chache baadae muigizaji Song Ha Neul na wenzake walianza kusimulia matukio waliofanyiwa na jo min ki walipokuwa ni wanafunzi.
kwa mujibu wa taarifa za kituo cha polisi bwana jo min ki alipaswa kuhudhuria kituo cha polisi siku ya tarehe 12 machi kwa mahojiano juu ya kesi zinazomkabili.
Khantwe noona, aminas noona, EMPTY dongsaeng,Prishaz noona na wajoseon wengine tunapaswa leo tusahau mabaya yote aliyowahi kuyafanya marehemu na tumtakie kila kheri huko aendako, ni maumivu makubwa sana yanayowapata wanafamilia yake kwa kipindi hiki.

miongoni mwa drama nilizoziona ambazo ameshiriki jo min ki ni pamoja na
2 weeks
scarlet heart ryeo
queen seondeok

RIP JO MIN KI ahjussi.​
Aisee Damushin sunbae nimeshtuka sana...but why [emoji24] [emoji24] [emoji24]
 
Breaking: Lee Dong Wook And Suzy Confirmed To Be Dating

Love may be in the air for these two celebrities!
According to a report made on March 9 by news outlet TV Report, Lee Dong Wook and Suzy are reportedly dating. While they originally were just colleagues, their relationship recently progressed to a romantic one according to one source. Suzy had also previously named Lee Dong Wook as her ideal type back in 2012 during an appearance on SBS’s “Strong Heart.”
Various sources from the industry also shared that Lee Dong Wook fell for Suzy’s down-to-earth character. The couple are said to get along because of their similarly bright personalities, and have reportedly been spotted carefully going on dates together.
Both Lee Dong Wook’s and Suzy’s agencies — King Kong by Starship and JYP Entertainment – have stated they are currently checking with their respective artists.

Lee-Dong-Wook-Suzy-2.png

kutokana na tofauti yao ya kiumri ninaamini uhusiano wao utadumu kwa muda mrefu na kutimiza malengo yao waliojiwekea.
aigoooo hizi habari sijui ni nzuri au mbaya kwa Khantwe na kachumba chake lee min ho.
ngoja tusubiri na tuone kama hii stori ina ukweli wowote au ni kama kick za mastar wa bongo movies
Wooow am so happy. I hope Lee dong wook oppa will take a good care of this beautiful girl...Min Ho akwende zake huko anajiona handsome
 
Breaking: Actor Jo Min Ki Found Dead
Jo-Min-Ki.jpg
kama tutakuwa ni wafuatiliaji wazuri wa taarifa zinazowahusu korean celebrities kwenye mitandao na hata kwenye thread yetu pendwa nakumbuka niliwahi kuweka tarifa zinazomuhusu jo min ki ambaye ni veteran actor na pia ni professor wa chuo kikuu kushutumiwa kutumia umaarufu wake na nguvu yake kwa kuwanyanyasa kingono wanafunzi wa kike wa fani ya uigizaji na hata wafanyakazi wa sanaa ya uigizaji. kwa mujibu wa taarifa za leo ni kwamba jo min ki amefariki dunia na mwili wake umekutikana storage room karibu na ghorofa ya maegesho ya magari kwenye apartment yake anayoishi.
kwa mujibu wa taarifa ni kwamba wa kwanza kuuona mwili wa marehemu alikuwa ni mke wake na ndipo akaamua kuita polisi.
polisi hawajapata ushahidi wowote wenye kuonyesha ya kwamba jo min ki ameuliwa hivyo basi kuwepo uwezekano wa jo min ki amejiuwa lakini polisi bado wanaendelea na uchunguzi.
kupitia kampeni ya me too mnamo tarehe 20 february ndio zilipoanza shutuma za unyanyasaji wa kijinsia kwa jo min ki wakati alipokuwa ni professor wa chuo kikuu cha cheongju na licha ya kuwa alikanusha shutuma hizo lakini siku chache baadae muigizaji Song Ha Neul na wenzake walianza kusimulia matukio waliofanyiwa na jo min ki walipokuwa ni wanafunzi.
kwa mujibu wa taarifa za kituo cha polisi bwana jo min ki alipaswa kuhudhuria kituo cha polisi siku ya tarehe 12 machi kwa mahojiano juu ya kesi zinazomkabili.
Khantwe noona, aminas noona, EMPTY dongsaeng,Prishaz noona na wajoseon wengine tunapaswa leo tusahau mabaya yote aliyowahi kuyafanya marehemu na tumtakie kila kheri huko aendako, ni maumivu makubwa sana yanayowapata wanafamilia yake kwa kipindi hiki.

miongoni mwa drama nilizoziona ambazo ameshiriki jo min ki ni pamoja na
2 weeks
scarlet heart ryeo
queen seondeok

RIP JO MIN KI ahjussi.​
Rest well ahjuss[emoji30]
 
Sijasema wewe ndio unafuatilia...namaanisha kuwa interested na mastaa unaoangalia kazi zao ni kitu cha kawaida. Suala la access nadhani tumuulize Damushin sunbae na aminas
aigooooo hii comment yako tokea juzi nilikuwa najifanya kama siioni, mian - hae noona.
nilichojifunza ni kwamba watanzania tulichelewa kuvutiwa na sanaa ya jamii ya wachina tofauti na tamaduni nyengine kama wazungu na wahindi ndio maana wafuatiliaji wengi wa korean entertainment wanaonekana ni wa ajabu kwenye jamii.kwenye ishu ya kufuatilia taarifa za wakorea mimi naona hakuna tofauti yoyote na yule anayefuatilia taarifa za bollywood, hollywood, philipines na hata nollywood.
wapo watu wanajua hadi chumba anacholala shah rukh khan.
mara nyingi natumia tovuti ya soompi, soompi forum, dramabeans, allkpop kwa ajili ya kuangalia taarifa.
ni mapenzi ya mtu juu ya anachokipenda wala sioni maajabu yoyote.​
 
aigooooo hii comment yako tokea juzi nilikuwa najifanya kama siioni, mian - hae noona.
nilichojifunza ni kwamba watanzania tulichelewa kuvutiwa na utamaduni wa jamii ya wachina ndio maana wafuatiliaji wengi wa korean entertainment wanaonekana ni wa ajabu kwenye jamii.kwenye ishu ya kufuatilia taarifa za wakorea mimi naona hakuna tofauti yoyote na yule anayefuatilia taarifa za bollywood, hollywood, philipines na hata nollywood.
ni mapenzi ya mtu juu ya anachokipenda wala sioni maajabu yoyote.​
mara nyingi natumia tovuti ya soompi, soompi forum, dramabeans, allkpop kwa ajili ya kuangalia taarifa.
Uzuri ni kuwa habar za hollywood zinatufikia hata tusipo zitaka.
Ila za Korea ni mpaka uzisake, something which ndio nlikuwa nashangaa.
Na unaonekana uko fit kwenye hii sector kwa hilo na kukubali muzee. We endelea kutuletea news hapa mi mwenyewe ntakuwa nachungulia mara moja moja hapa.
 
aminas noona hii black knight drama mwisho wake umenisikitisha sana, kim rae won anakuwa immortal lakini shin se kyung yeye anabaki kuwa na tabia za kibinadamu hatimae yeye anazeeka na kufa lakini kim rae won hafi wala hazeeki.
nimetokwa na machozi nilipokuwa naitazama hii episode lakini nimevutiwa na upendo aliouonyesha kim rae won kwa mke wake mpaka alipofikwa na umauti.
2b01fb41517b7bae96869670bb1fbcc14c9630ce.jpg

Kim%2BRae%2BWon%2BShin%2BSe%2BKyung%2B2017%2BNew%2BRomantic%2BDrama%2BBlack%2BKnight%2BMust%2BWatch%2BEpisode%2B1%2Band%2B2%2Breview%2BShin%2BSe%2BKyung%2BFashion%2BRed%2BCashmere%2BTrench%2BCoat.png
 
Breaking: Actor Jo Min Ki Found Dead
Jo-Min-Ki.jpg
kama tutakuwa ni wafuatiliaji wazuri wa taarifa zinazowahusu korean celebrities kwenye mitandao na hata kwenye thread yetu pendwa nakumbuka niliwahi kuweka tarifa zinazomuhusu jo min ki ambaye ni veteran actor na pia ni professor wa chuo kikuu kushutumiwa kutumia umaarufu wake na nguvu yake kwa kuwanyanyasa kingono wanafunzi wa kike wa fani ya uigizaji na hata wafanyakazi wa sanaa ya uigizaji. kwa mujibu wa taarifa za leo ni kwamba jo min ki amefariki dunia na mwili wake umekutikana storage room karibu na ghorofa ya maegesho ya magari kwenye apartment yake anayoishi.
kwa mujibu wa taarifa ni kwamba wa kwanza kuuona mwili wa marehemu alikuwa ni mke wake na ndipo akaamua kuita polisi.
polisi hawajapata ushahidi wowote wenye kuonyesha ya kwamba jo min ki ameuliwa hivyo basi kuwepo uwezekano wa jo min ki amejiuwa lakini polisi bado wanaendelea na uchunguzi.
kupitia kampeni ya me too mnamo tarehe 20 february ndio zilipoanza shutuma za unyanyasaji wa kijinsia kwa jo min ki wakati alipokuwa ni professor wa chuo kikuu cha cheongju na licha ya kuwa alikanusha shutuma hizo lakini siku chache baadae muigizaji Song Ha Neul na wenzake walianza kusimulia matukio waliofanyiwa na jo min ki walipokuwa ni wanafunzi.
kwa mujibu wa taarifa za kituo cha polisi bwana jo min ki alipaswa kuhudhuria kituo cha polisi siku ya tarehe 12 machi kwa mahojiano juu ya kesi zinazomkabili.
Khantwe noona, aminas noona, EMPTY dongsaeng,Prishaz noona na wajoseon wengine tunapaswa leo tusahau mabaya yote aliyowahi kuyafanya marehemu na tumtakie kila kheri huko aendako, ni maumivu makubwa sana yanayowapata wanafamilia yake kwa kipindi hiki.

miongoni mwa drama nilizoziona ambazo ameshiriki jo min ki ni pamoja na
2 weeks
scarlet heart ryeo
queen seondeok

RIP JO MIN KI ahjussi.​
.Ooh too bad jamani namkumbuka sana kwenye Flames of desire na The great seer. Damushin noona anasema asante kwa taarifa anakutakia week end njema
 
hii risasi imepigwa juu lakini cha kushangaza muda huu kuna mtu imempata mgongoni, nadhani huyu sniper hana kosa lolote kwa sababu yeye amelenga juu.
bae suzy katika ubora wake na kadri wasichana wenzake wanavyozidi kumpiga majungu ya kwamba uwezo wake ni mdogo yeye ndio anazidi kujifunza na kurekebisha makosa yake na kuelekea kwenye mafanikio ya ahadi.
huu wimbo unaitwa “Midnight” unapatikana kwenye mini album inayoitwa “Faces of Love".
nadhani muda huu lee min ho huu wimbo bado ameendelea kuuweka kama ni ring tone yake pamoja na kachumba chake kinachoishi nchi ya kibabu cha chato kinachojua kila kitu.
ngoja namimi niuweke ringtone kwenye kijisimu changu cha tecno toleo la masikini wa kutupwa.
halafu mpigaji wa piano kwenye huu wimbo ni mchawi mmoja anayeitwa Yiruma (lee ru ma) ambaye amejifunza piano tokea ana miaka 5 na alipofikisha miaka 10 aliachana na taifa lake alilozaliwa na kuamua kwenda uingereza kujifunza zaidi maswala ya muziki, inamaana Yiruma ameshatimiza miaka 35 kwenye fani ya upigaji piano.
acha waliotuzidi waendelee kutuzidi kwa sababu ya ujinga wetu na maisha yote taifa linaloongozwa na wajinga............................................. (nissan nyeupe loading).

hii lugha ya kiingereza bado inaendelea kunitesa natamani matangazo ya ajira yaandikwe kwa kiswahili hivyo basi munivumilie na tafsiri yangu uchwara.

ninashindwa kupata usingizi
ila sidhani kama na wewe unapata usingizi
kama mwezi unavyoondoka
na wewe pia uliamua kuniacha​

tabia yangu mbaya pekee ni kuwa na subira
kila siku, bila ya kuelewa sababu naendelea kuumia
ninajaribu kukabiliana na hili tatizo
lakini umeniachia zawadi ya kutokwa na machozi.

Good night, sleep for me, instead of me
I can’t sleep again today, just in case
Good night, sleep for me, and good bye
I can’t sleep again today so I can’t even dream about you​

nimekuwa nikiendelea kusubiri
kila siku, bila ya kujua sababu, naendelea kujutia
kwa sababu ulikuja kwangu kiurahisi
na umeniacha kiurahisi zaidi

Good night, sleep for me, instead of me
Because I don’t even dare dream of you coming back
Good bye, go peacefully, farther away today
Only your heart left before but now, you’re really leaving​

na wewe umeniacha
 
EMPTY dongsaeng huyu tae hyun amenichekesha sana kwenye episode 3 baada ya kugundua mwanadada seo jin anatatizo la kuota sharubu kama mwanamme ndio maana anamficha sehemu ya uso wake, basi alimwambia
"hata kama kichwani kwako utaota migomba yenye kutoa ndizi basi mimi nitaendelea kukupenda."
aigooooooo upendo aliyouonyesha kwa seo jin ni wa kiwango cha standard gauge na zawadi aliyompelekea ya kudhihirisha upendo kwake ndio imemaliza kila kitu.
seo jin anafungua box anakuta kiwembe.
하하하 하하하 아아아하하하 하하하 아아아하하하 하하하 아아아하하하 하하하 아아아
siku yao ya kwanza kudate wameachana baada ya jamaa kushindwa kuacha tabia ya kuchokora pua yake.
kwi kwi kwi kwi
waikiki drama ni balaaaa kuna rafiki yangu nimempa episode 4 za mwanzo basi muda huu ananitafuta kwa nissan nyeupe, sijui anataka kunikutanisha na mmiliki wa kampuni ya nissan?
Waikiki03-00074.jpg

Waikiki03-00027.jpg
 
hii risasi imepigwa juu lakini cha kushangaza muda huu kuna mtu imempata mgongoni, nadhani huyu sniper hana kosa lolote kwa sababu yeye amelenga juu.
bae suzy katika ubora wake na kadri wasichana wenzake wanavyozidi kumpiga majungu ya kwamba uwezo wake ni mdogo yeye ndio anazidi kujifunza na kurekebisha makosa yake na kuelekea kwenye mafanikio ya ahadi.
huu wimbo unaitwa “Midnight” unapatikana kwenye mini album inayoitwa “Faces of Love".
nadhani muda huu lee min ho huu wimbo bado ameendelea kuuweka kama ni ring tone yake pamoja na kachumba chake kinachoishi nchi ya kibabu cha chato kinachojua kila kitu.
ngoja namimi niuweke ringtone kwenye kijisimu changu cha tecno toleo la masikini wa kutupwa.
halafu mpigaji wa piano kwenye huu wimbo ni mchawi mmoja anayeitwa Yiruma (lee ru ma) ambaye amejifunza piano tokea ana miaka 5 na alipofikisha miaka 10 aliachana na taifa lake alilozaliwa na kuamua kwenda uingereza kujifunza zaidi maswala ya muziki, inamaana Yiruma ameshatimiza miaka 35 kwenye fani ya upigaji piano.
acha waliotuzidi waendelee kutuzidi kwa sababu ya ujinga wetu na maisha yote taifa linaloongozwa na wajinga............................................. (nissan nyeupe loading).

hii lugha ya kiingereza bado inaendelea kunitesa natamani matangazo ya ajira yaandikwe kwa kiswahili hivyo basi munivumilie na tafsiri yangu uchwara.

ninashindwa kupata usingizi
ila sidhani kama na wewe unapata usingizi
kama mwezi unavyoondoka
na wewe pia uliamua kuniacha​

tabia yangu mbaya pekee ni kuwa na subira
kila siku, bila ya kuelewa sababu naendelea kuumia
ninajaribu kukabiliana na hili tatizo
lakini umeniachia zawadi ya kutokwa na machozi.

Good night, sleep for me, instead of me
I can’t sleep again today, just in case
Good night, sleep for me, and good bye
I can’t sleep again today so I can’t even dream about you​

nimekuwa nikiendelea kusubiri
kila siku, bila ya kujua sababu, naendelea kujutia
kwa sababu ulikuja kwangu kiurahisi
na umeniacha kiurahisi zaidi

Good night, sleep for me, instead of me
Because I don’t even dare dream of you coming back
Good bye, go peacefully, farther away today
Only your heart left before but now, you’re really leaving​
ninashindwa kupata usingizi
ila sidhani kama na wewe unapata usingizi
kama mwezi unavyoondoka
na wewe umeniacha
Hahahaa Sunbaeniiiiiim....kibabu cha wapi??? Mi simo kwa kweli. Ila mimi sijui kwa nini muziki wa Kikorea sijawahi kuvutiwa kuusikiliza. Wimbo pekee nilionao kwenye kisimu changu ni ule wa Jinsu How can I love you uliotumika kwenye drama ya Descendants of the sun
 
Back
Top Bottom