EMPTY dongsaeng unaionaje drama ya
the miracle we met mpaka ilipofikia episode ya 6?
- song hyun chul wapo wawili na wote wamezaliwa siku moja na wote wanapata ajali ya gari siku moja.
- na wanapatiwa matibabu hospital moja, mmoja anamiliki mgahawa na mwengine ni manager wa bank.
- mmoja hana mahusiano mazuri na mke wake na mwengine muda wote hushirikiana na mke wake kwa ajili ya kujitafutia riziki ilikuendesha familia yao.
- balaa gream reaper anafanya makosa alipokuwa kwenye majukumu ya kazi.
- mwili ni wa song hyun chul anayefanya kazi benki lakini roho ni ya song hyun chul anayefanya kazi ya mgahawani.
- balaaa si dogo akienda upande wa aliyekuwa mke wake haaminiki kwa sababu sura si ya kwake japokuwa roho ni ya kwake.
- kivyovyote analazimika azihudumikie familia zote mbili,aigoooo wakati mwengine namuonea huruma jinsi anavyohangaika kuudhihirisha ukweli kwenye jamii.
Episode 5 - imeangaliwa nchini korea 11.5%.
bado inaendelea kuongoza kuangaliwa zaidi nchini korea.
ahsante sana dongsaeng kwa wakati huu ambao waikiki imemaliza acha niendeleee kuitazama hii drama.
hawa waigizaji maveterani wamerudi kwa speed ya makombora ya hwasong.
I can not go back to you
I will not wake up in a dream
In the time
I'm standing in the air.
Just wait for me.
After another day
The night comes down
Light one by two.
Wu Wu
Lack of color
Like a shadow
Always hovering around you
I can not think of yesterday.
It slowly fades.
Just wait for me.
After another day
The night comes down
Light one by two.
Wu Wu
All the memories on the far side
If you turn on the light,
All of the past hours
Just wait for me.
After another day
The night comes down one by two
Light the fire
Just wait for me.
After another day
The night comes down
One by two