Kwa wapenzi wa Korean Dramas, hii ni thread yako!

Kim Jung Hyun (waikiki drama) and Seo hyun confirmed to lead MBC’s new drama Time' tomorrow and will attend the script-reading April 28
Seohyun-Kim-Jung-Hyun1.jpg

seo hyun
bad thief good thief
moon lover scarlet heart ryeo
 
Wandugu naombeni mnisaidie ni wap ntapata subtitle ya great seducer? Maana kuna episode hazina subtitle
 
aminas na Damushin sunbae nirudishieni hela ya bando niliyotumia kudownload Grand Prince!

Ndio mambo gani haya mlofanya kuifagilia hadi na mie nikaingia chaka?
mianhae, chingu ya.
nisichokipenda kwenye grand prince ni kwamba kila anachokifanya grand prince jin yang kinaonekana ni kibaya kwenye jamii hususan kwa mama yake na kila anachokifanya prince eun seong kinaonekana ni kitendo cha kishujaa na kinapaswa kupigiwa mfano.
production nzima ya hii drama wanatulazimisha tuamini ya kwamba jin yang hafai kuwa kiongozi anayepaswa kuisogeza nchi yake mbele kwa kisingizio cha kuwa ni mpenda tamaa.
IRi6fb.jpg

  • ukiangalia upande mwengine unagundua familia nzima ya kifalme haikumtendea haki prince jin yang tokea alipokuwa mdogo baada ya kumuondosha kwenye jumba la kifalme, hata kama ni mimi ningelirudi na roho ya kibabe.
  • nimebaki nikijiuliza kama kaka yao alipewa ufalme baada ya kifo cha baba yao sasa kwa nini queen dowager hataki kulisikia jina la jin yang kama ni mrithi wa madaraka na kufikia hatua ya kumlazimisha mfalme ni lazima apate mtoto wa kiume ili aje amrithi pindi atakapoachia ufalme wake.
  • kuhusiana na hoja ya ukorofi hata mfalme yi bang won (taejong) alikuwa ni mkatili aliyebobea lakini bado aliifanya joseon kuwa ni taifa la kuogopwa dhidi ya maadui na hata koo zilizokuwa zinaukodolea macho na kuuchukia ukoo wa yi (lee).
  • nisichokipenda kwa prince jin yang ni kwamba analazimisha kila cha ndugu kiwe ni cha kwake yeye,kimaisha ya ukweli hakuna ulazima wa ndugu wawili kugombania msichana mmoja.
  • ngoja tumsubiri aminas aje atupe utetezi wake naamini atakata kiu yako na kukushajihisha uendelee kuifuatilia.
 
12 Dramas To Look Forward To In Spring And Summer 2018

Suits
Suits3.jpg

imeanza jumatano ya wiki hii kupitia shirika la habari la taifa la korea (kbs 2tv). Suits ni remake ya series ya kimarekani inayozungumzia maisha ya Choi Kang Seok (Jang Dong Gun) ambaye ni mwanasheria mwenye uzoefu mkubwa sana pamoja na Go Yeon Woo (Park Hyung Sik) ambaye ameajiriwa na choi kang seok japokuwa hana leseni wala elimu ya kufanya kazi kwenye vitengo vya sheria.
Starring: Jang Dong Gun, Park Hyung Sik, Chae Jung An, Go Sung Hee.

Mistress
Mistress2.jpg

itaanza kuonyeshwa kupitia OCN siku ya leo (28/04/2018), mistress ni remake ya show iliokuwa ikionyeshwa na kituo cha habari cha uingereza BBC. inazungumzia maisha ya wanawake wanne ambao wanajikuta kila mmoja akihusika na matukio ya mauaji.
Starring: Han Ga In, Shin Hyun Bin, Choi Hee Seo, Goo Jae Yee.

Wok of Love
Wok-of-Love.jpg

inazungumzia maisha ya mpishi mashuhuri anayefanya kazi zake kwenye mgahawa unaopika vyakula vya asili ya china. Doo Chil Sung ni kijana anayejighulisha na biashara ya ukopeshaji wa fedha.
Starring: 2PM’s Junho, Jang Hyuk, Jung Ryeo Won

Rich Man, Poor Woman
Oh-Chang-Suk-Ha-Yeon-Soo-EXO-Suho-Kim-Ye-Won.jpg

ni remake ya tamthilia ya kijapan inayozungumzia maisha ya kijana ambaye ni genius programmer na pia ni CEO wa kampuni anayesumbuliwa na tatizo la kutokutambua sura,Kim Bo Ra ni msichana mwenye uwezo mkubwa sana wa kuhifadhi taarifa kwenye ubongo anajikuta anatafuta ajira, unajua kitatokezea kitu gani uanpokwenda kutafuta kazi kwa mtu ambaye ukiondoka tu ameshakusahau?
itaanza kuonyeshwa kuanzia Mei 9.
Starring: EXO’s Suho, Ha Yeon Soo, Oh Chang Suk, Kim Ye Won

Lawless Lawyer
Seo-Ye-Ji-Lee-Joon-Gi1.jpg

Bong Sang Pil ni mwanasheria maarufu sana na pia aliwahi kuwa member katika magroup ya kihuni,anaamua kutumia ngumi kwa ajili ya kupambana na wale wanaogopwa kuchukuliwa hatua na vyombo vya sheria.itaanza kuonyeshwa mei 12
Starring: Lee Joon Gi, Seo Ye Ji, Lee Hye Young, Choi Min Soo

Partners for Justice
partners-for-justice.jpg

gwenchana gwenchana
ni hadithi inayozungumzia timu maalum ya uchunguzi wa matukio ambapo ndani yake muna daktari anayechunguza miili ya marehemu na mwanasheria asiyekuwa na uzoefu katika kazi.
episode ya kwanza ni mei 14.
Starring: Jung Jae Young, Jung Yoo Mi, Lee Yi Kyung

Miss Hammurabi
Miss-Hammurabi.jpg

inazunguzmia maisha ya majaji watatu wenye tabia zinazotofautiana
episode ya kwanza itaonyeshwa mei 21
Starring: Go Ara, INFINITE’s L, Sung Dong Il, Ryu Deok Hwan, Lee Elijah

About Time

Lee-Sung-Kyung-Lee-Sang-Yoon2.jpg

hadithi ya wanadamu wawili wenye tabia za ajabu, mmoja ana uwezo wa kusimamisha wakati na mmoja ana uwezo wa kutambua mwanadamu ataishi muda gani.
episode ya 1 itaonyeshwa mei 21

Mr. Sunshine
lee-byung-hun-kim-tae-ri.jpg

kijana mwenye asili ya korea aliyekuwa akiishi marekani anaamua kurudi nyumbani kwao mwaka 1871. episode ya kwanza itaonyeshwa mwezi july
Starring: Lee Byung Hun, Kim Tae Ri, Yoo Yeon Seok, Byun Yo Han, Kim Min Jung

What’s Wrong with Secretary Kim?

Lee-Tae-Hwan-Park-Min-Young-Park-Seo-Joon1.jpg

hadithi inayowahusu muajiri na muajiriwa ambapo muajiri ni mtu asiyejali kabisa masuala ya kazi hatimaye karani wake anaamua kuacha kazi ili atafute sehemu itakayompa furaha na pia apate mwenza wa kufunga naye ndoa.
mwezi june itaanza kuonyeshwa.
Starring: Park Seo Joon, Park Min Young, Lee Tae Hwan, 2PM’s Chansung

Sketch
Lee-Dong-Gun-Rain-Lee-Sun-Bin-Jung-Jin-Young.jpg

hadithi inayozungumzia maisha ya askari aliyempoteza mke wake na hatimaye anaamua kutafuta ukweli juu ya chanzo cha kifo, pia anajikuta akifanya kazi na askari wa kike mwenye uwezo wa kufahamu matukio yatakayotokezea kwa siku tatu zinazofuata.
aigoooo huyu anafaa awe mchumba wangu kwani atanisaidia kujua kama ndani ya siku tatu nitapata pesa au sitapata pesa.itaanzakuonyeshwa mwezi mei

Starring: Rain, Lee Dong Gun, Lee Sun Bin, Jung Jin Young

Life
ni hadithi inayozungumzi migogoro ya kuwania madaraka yanayotokezea kwenye hospitali kubwa nchini korea. itaanza kuonyeshwa july
Starring: Lee Dong Wook, Cho Seung Woo, Won Jin Ah, Moon So Ri

lee-dong-wook-cho-seung-woo-won-jin-ah1.jpg

Nataka Anza Angalia Suits Sema download Imekuwa Mtihani Kwangu Yaani.
 
mianhae, chingu ya.
nisichokipenda kwenye grand prince ni kwamba kila anachokifanya grand prince jin yang kinaonekana ni kibaya kwenye jamii hususan kwa mama yake na kila anachokifanya prince eun seong kinaonekana ni kitendo cha kishujaa na kinapaswa kupigiwa mfano.
production nzima ya hii drama wanatulazimisha tuamini ya kwamba jin yang hafai kuwa kiongozi anayepaswa kuisogeza nchi yake mbele kwa kisingizio cha kuwa ni mpenda tamaa.
IRi6fb.jpg

  • ukiangalia upande mwengine unagundua familia nzima ya kifalme haikumtendea haki prince jin yang tokea alipokuwa mdogo baada ya kumuondosha kwenye jumba la kifalme, hata kama ni mimi ningelirudi na roho ya kibabe.
  • nimebaki nikijiuliza kama kaka yao alipewa ufalme baada ya kifo cha baba yao sasa kwa nini queen dowager hataki kulisikia jina la jin yang kama ni mrithi wa madaraka na kufikia hatua ya kumlazimisha mfalme ni lazima apate mtoto wa kiume ili aje amrithi pindi atakapoachia ufalme wake.
  • kuhusiana na hoja ya ukorofi hata mfalme yi bang won (taejong) alikuwa ni mkatili aliyebobea lakini bado aliifanya joseon kuwa ni taifa la kuogopwa dhidi ya maadui na hata koo zilizokuwa zinaukodolea macho na kuuchukia ukoo wa yi (lee).
  • nisichokipenda kwa prince jin yang ni kwamba analazimisha kila cha ndugu kiwe ni cha kwake yeye,kimaisha ya ukweli hakuna ulazima wa ndugu wawili kugombania msichana mmoja.
  • ngoja tumsubiri aminas aje atupe utetezi wake naamini atakata kiu yako na kukushajihisha uendelee kuifuatilia.
Tuseme Ivi Kuna Stori Nyuma Ya Maisha ya Jin Yang Ambayo Hii Drama Aijatupa, Sababu ya Kumfanya Akaishi Nje Ya Palace na Peke yake Kwa Muda Mrefu.

Siku Zote Mama Huwa Amtumpi Mwanaye Hata iweje Na Inavyoonekana Kuna Sababu ya Queen Dowager Kutojishuhulisha Na Jin yang.

Na Kama Umeanza Angalia Tangu Mwanzo Hii drama Utaona Ni jinsi gani Whi Alimpenda kaka yake na Akaamua kuziba Maskio na Macho ili asitenganishe Undugu na Broo Wake.

Jin yang Alimuu kijakazi wa whi Makusudi Tuuh kutokan na Tamaa Yake Na Whi Akampotezea Akaja Kumpenda Binti Ambaye Whi alishaanza Kumpenda Apo ndipo whi Aliposhindwa Kuvumilia

Tukija kwa Siasa Whi Hakutaka Kabisaa kujihusisha Na Ayo Mambo Ila Dowager kukomboa Ufalme wao Ikabidi Amuungize Uko Ndipo kaka Mtu akaamua kuunda hila za kusudi Tuuh kutoa uhai Wa Ndugu yake.

Mpka Apo Jin yang Anaonewa au Tuuh Unamtetea eti.?
 
Hahahaa hii Waikiki we acha tu, kumbe nilikosa uhondo namna hii.!!! Hahahaa ngoja kwanza nije huko wanako toa MB kibao kisha nishushe mzigo wote
 
Back
Top Bottom