Gyeoul
JF-Expert Member
- Jan 28, 2015
- 3,758
- 5,365
Amin, Aksante kwa dua Yakohahahahahaaaaaa kila la kheri na utashika nafasi ya pili baada ya mke wa kwanza.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Amin, Aksante kwa dua Yakohahahahahaaaaaa kila la kheri na utashika nafasi ya pili baada ya mke wa kwanza.
Au Nafasi Ya Pili So Nzuri Etiihahahahahaaaaaa kila la kheri na utashika nafasi ya pili baada ya mke wa kwanza.
inategemea na mwenye nafasi jinsi anavyoichukulia, wapo wengine wameshikilia nafasi ya pili lakini jninsi walivyo na nidhamu na uwajibikaji wanawashinda waongozaji jadweli.Au Nafasi Ya Pili So Nzuri Etii
Mwazungumzia hesabati sio? au nimesoma vibaya?inategemea na mwenye nafasi jinsi anavyoichukulia, wapo wengine wameshikilia nafasi ya pili lakini jninsi walivyo na nidhamu na uwajibikaji wanawashinda waongozaji jadweli.
Ndio tupo kwa HisabatiMwazungumzia hesabati sio? au nimesoma vibaya?
Mie zilinipiga chenga hivyo nakaa pembeni.Ndio tupo kwa Hisabati